morocco

  1. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Viongozi/Mashabiki 250 watua Morocco kushangilia U17

    Mawaziri na viongozi waandamizi wapo Morocco kuwapa hamasa U17
  2. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Ni ndoto za alinacha kujenga Flyover Mwenge na Morocco

    Nimeona mtandsoni waziri Wa Ujenzi, Bw Ulega akijipigia sound at serikali itajenga Flyover Mwenge na Morocco. Kama mkazi wa Dar, nikikumbuka hizi sinkelele za kwanzankuzisikia. Zaidi ya miaka mitano iliyopita tulisikia kuwa kuna Flyover tano zitajengwa Dar. Flyover hizo ni Mwenge, Morocco...
  3. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Mali 2 - 1 Tanzania | CAF U-17 AFCON | Morocco | 20/05/2026

    Michuano inaendelea. Group C ndio tuliopo. Dakika ya 30 ngoma imelala, tumepigwa 1 bila
  4. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Angola 0 -3 Tanzania | CAF U-17 AFCON | Morocco | 17/05/2026, 16:00 EAT

    Mashindano ya Africa Cup of Nations (AFCON) kwa vijana wa umri chindi ya miaka 17, mwaka 2026 yameanza kutimua vumbi nchini Morocco kuanzia tarehe 13 May, 2026. Sisi Tanzania, vijana wetu wa Serengeti Boys wako kundi C, pamoja na Mali, Angola na Mozambique. Tushacheza mzunguko wa kwanza kwenye...
  5. H r n

    JamiiForums Tanzania “Siri nzito: Nani anawalipa waamuzi wa Morocco? Ukweli unaotikisa!”

    1.Nazungumzia Kuhusu usafiri ,malazi na posho ni shilingi ngapi wanakunja?na nani anawalipa ? 2.Na tuzo za mwaka jana why hazikutolewa ! Ila pesa za waamuzi kutoka Morocco wanazo ! 3.fedha za kwalipa waamuzi wanazitoa wapi wakati wameshindwa kuto tuzo za mwaka jana ?
  6. R

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Senegal waliokamatwa kwenye vurugu za AFCON 2025 Morocco wakana mashtaka

    Mashabiki 18 wa soka wa Senegal waliowekwa jela kwa kosa la kuingia uwanjani wakati wa fainali ya fujo ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) kule Rabat mwezi Januari 2026, wamekana kuhusika na kosa lolote. Awali Februari 2026, mahakama nchini Morocco iliwahukumu mashabiki hao kifungo cha...
  7. J

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Timu ya taifa ya Senegal imepeleka kombe la AFCON jeshini, baada ya CAF kutangaza kuipoka ubingwa wake na kuipa Morocco

    Naomba kupata msaada wa ufafanuzi
  8. Yesha

    JamiiForums Tanzania Guinea Demands Morocco Be Stripped of 1976 AFCON Title Over Match Walkout

    Guinea has formally called for Morocco to be stripped of their 1976 AFCON title, reigniting debate over one of African football’s most controversial moments. The West African nation argues that Morocco national football team should forfeit the trophy after allegedly walking off the pitch for 15...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Senegal wapokwa ubingwa wa AFCON 2025 na CAF, apewa Morocco

    Morocco imetawazwa kuwa mabingwa wa Kombe la Mataifa ya Afrika la 2025 baada ya uamuzi mzito siku ya Jumanne kueleza kuwa ushindi wa bao 1-0 wa Senegal kwenye fainali umebatilishwa. Senegal ilikuwa imeshinda mechi hiyo huku Pape Gueye akifunga bao la ushindi katika muda wa nyongeza, lakini...
  10. Orchid Island Real Estate

    JamiiForums Tanzania Why Morocco Might Be the Quiet Winner

    As tensions escalate in the Middle East and the geopolitical climate in the region becomes increasingly fragile, the international environment once again reminds global investors how quickly stability can shift. Military strikes, proxy conflicts, and concerns about strategic energy routes like...
  11. W

    JamiiForums Tanzania CAF Yatoa adhabu nzito kwa Senegal & Morocco baada ya Fainali ya AFCON 2025

    Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limetoa adhabu kali na zisizo za kawaida dhidi ya Senegal na Morocco kufuatia ukiukwaji wa nidhamu uliotokea katika fainali ya AFCON 2025. Senegal imepigwa faini ya jumla ya dola za Marekani 615,000, ikijumuisha dola 300,000 kwa utovu wa nidhamu wa mashabiki, dola...
  12. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Mwana mitandao Speed akirushiwa ndizi na kufanyiwa sauti za nyani na wananchi wa Morocco

  13. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Sehemu nyingi Duniani zilifurahia Morocco kufungwa?

    Nadhani Morocco kuna kitu wajifunze. Jamaa pengine ile kubebwa iliwafanya wachukiwe na watu wengi. Hadi nchi za Kiarabu nyingine zilifurahia tukio hili.
  14. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania CAF yamwadhibu kocha wa Senegal – Pape Thiaw

    CAF imesema tabia hiyo ni “unacceptable behaviour”. Thiaw atasimamishwa (suspension), idadi ya mechi bado haijatangazwa. CAF inachunguza video zote, na kuna uwezekano wa adhabu zaidi kwa maofisa au wachezaji. My take: Senegal wanapaswa waondolewe ushiriki wa kombe la dunia maana walionesha...
  15. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Sisi tunajitahidi Morocco wawe ndugu zetu. Wao wanajiona wanakaribiana na Wazungu. Why?

    Sisi wanatuona kama ni Nyani. Suala la ushindi wa Senegal limeonesha jinsi gani jamaa wana chuki na watu weusi. Ile match ni Miungu yetu ilitusaidia kuonesha nguvu zake. Kwa kweli imetuheshimisha sana. Hawa jamaa wanatuma na kuandika vitu vingi vya kutudhihaki. Hii yote ni sababu ya Ushindi...
  16. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania VIDEO ikionesha mashabiki wawili weusi wakifanyiwa masimango na mashabiki wa Morocco waliowazunguka

  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Dhahabu ya bei mbaya yamkwamisha Burna Boy uwanja wa ndege Morocco

    Mkudha: Rais wa CAF asema Burna Boy alizuiwa katika uwanja wa ndege wa Morocco kwa sababu ya thamani ya vito vyake vya dhahabu Rais wa CAF, Patrice Motsepe, anasema Burna Boy alizuiwa kwa muda mfupi katika uwanja wa ndege wa Morocco baada ya maafisa kuhoji kiasi cha vito vya dhahabu alichokuwa...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania FT: Senegal 1-0 Morocco | AFCON 2025 | Fainali | Stade Prince Moulay Abdallah | Jan 18, 10:00 PM | Senegal yatwaa Ubingwa

    AFCON 2025 Final Preview: Wenyeji Morocco wako tayari kwa pambano kubwa dhidi ya mabingwa wa 2021 Senegal Mchuano wa fainali wa Kombe la Mataifa ya Afrika 2025 unapingwa rasmi leo usiku m,ajira ya saa 4. Wenyeji na waliokuwa vinara kabla ya mashindano kuanza, Morocco, watakutana na mabingwa wa...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania AET | Nigeria 0-0 Morocco (Pen 2-4) | AFCON 2025 | Nusu Fainali | Stade Prince Moulay Abdallah

    Nigeria vs Morocco katika Nusu Fainali ya AFCON 2025 mchezo uliopangwa kufanyika kwenye Stade Prince Moulay Abdallah, Rabat ni pambano la kihistoria kati ya nchi mbili kuu za soka barani Afrika ambazo zote zimefika kwenye hatua hii bila kupoteza mechi yoyote katika mashindano haya. Nigeria ina...
  20. W

    JamiiForums Tanzania Wamorocco wanunua tiketi zote kwenye mechi dhidi ya Morocco na Nigeria AFCON

    Mashabiki wengi wa timu ya Taifa ya Nigeria wanahofu ya kukosa nafasi ya kuingia uwanjani kuiunga mkono timu yao hii leo , kwa sababu mashabiki wa Morocco wamenunua tiketi zote. Hii sio mara ya kwanza kwa Morocco kufanya hivyo, walifanya hivyo mwaka jana wakati wa fainali ya timu ya wanawake...
Back
Top Bottom