morocco

  1. Damaso

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Volunteering Program AFCON 2025 Morocco, Fursa Adimu kwa Vijana wa Tanzania

    Mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 yanayotarajiwa kufanyika nchini Morocco kuanzia tarehe 21 Desemba 2025 hadi 18 Januari 2026, yamefungua rasmi milango ya volunteering program. Takribani watu 4,000 wanahitajika kushiriki katika maandalizi na uendeshaji wa mashindano haya...
  2. Moshi25

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kocha Morocco unafeli wapi?

    Kocha Morocco binafsi nakukubali sana, mimi ni katika wale wachache walioamini utaipeleka timu Morocco na nikaposti uzi humu Jf, nimeona wachezaji wanakuelewa sana, tatizo lako kubwa kocha la Afcon ni kuogopa kufungwa kulikopitiliza, timu yetu ya taifa imeimarika, ina uwezo kwanini kila mechi...
  3. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Video : Tukisheherekea Maulid hapa Morocco

    Karibuni sana . Ni mwendo wa kuburudika na kuburudisha.
  4. PLOII

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania AFRIKA MASHARIKI WE LACK FOOTBALL CIVILIZATION, COURTESY & COMMON PRINCIPLES; goli la tatu na la ushindi kwa Morocco ni tafsiri ya perfect brain.

    Happy Sunday Wana JF, Sina maneno mengi nadhani Wana sports fainali tulitazama wote iliyofanyikia pale Kenya. Nilishawahi kusema Morocco ni football brain na Jana wameonyesha hicho kitu, nawaza tu kwa wachezaji wetu nani angewaza ku- shoot vile ( out of sarcasm). Tuna Cha kujifunza kutoka kwa...
  5. kavulata

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Timu ya Taifa ipate kocha mwingine, Hamad Ally awe saidia kocha

    Uwezo wa Morocco na wenzake akina Julio umeishia pale. Morocco anateua wachezaji kwa kubalance badala ya uwezo wa wachezaji. Anaacha nje wachezaji wenye uwezo na kuingiza ndani wachezaji kwa kuzingatia Simba, Yanga, Azam na Zanzibar. Mfano, unamuacha Chikola nje na kumuingiza Shehani ni sawa...
  6. PLOII

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Morocco Deserved , the Football Brain na Ndio Bingwa Mpya CHAN2024

    Habari wadau, Nimeangalia game ya Senegal Vs Morocco kiukweli Hawa jamaa wanajua ball , Wana utulivu wa kutosha. Nimeamini Kuna uhusiano wa njaa/umasikini na Wenge, wachezaji wetu Wana Wenge sana sababu ni malezi ya njaa Kali mfano mzuri Kibu D, Clement Mzize Hawa jamaa Wana Wenge...
  7. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Morocco Yaingia Fainali CHAN, Niliwaambia Tanzania Haikuonewa Mkanitukana

    Rangi ya Mtume sio poa kabisa, leo wamewaondoa Senegal kwa Penati. Ndio maana kwenye mechi na Taifa langu sikuwa na sababu ya kumlaumu mtu, mlima mrefu ule Wacha Mungu wale jamani, kalagabaho
  8. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania kutolewa na Morocco tumefurahi

    Kwann tunune, Kwanini tukasirike, Kwanini tuwe na huzuni. Wazanzibar tumefurahi Note kuna Wazanzibar na Wazanzibara. Ata sisi Wazanzibar tungependa kuona timu zetu katika mashindano ya CAF FiFA na kadhalika ila kwasababu ya Muungano huu wa dhulma tumekosa. TANGANYIKA KUTOLEWA NA MOROCCO...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TFF tumieni muda huu huu wa kutolewa kwetu CHAN 2004/2005 kumfuta Kazi pia Kocha Hemed Suleiman Morocco kwani hakuna Kocha hapo

    Tuachaneni na huu Ushamba kuwa hata Makocha wazalendo wana Ubavu wa Kufundisha Timu zetu za Taifa. Afukuzwe.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha Watanzania wengi kufurahia Taifa Stars kufungwa na Morocco kinapasa kifikishe ujumbe muhimu sana kwa Samia na CCM

    Sidhani kama imewahi kutokea duniani wananchi wengi kufurahia timu yao kufungwa na timu ya tafa jingine katika mashindano makubwa kama haya ya CHAN. Ni jambo la kipekee ambalo linaonyesha kuna jambo kubwa sana linatotupata Watanzania, na hatua za haraka sana zinatakiwa kulirekebisha. Namsihi...
  11. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Nimepata furaha ya ghafla baada ya Morocco kuwatoa Taifa stars kwenye robo fainali ya CHAN 2024

    Naamini sio mimi tu, tupo wengi, ghafla tu nimepata furaha na faraja kubwa baada ya kushuhudia Taifa stars ikipata kipigo mbele ya Morocco baada ya kuchapwa goli moja kwa bila na kutolewa hatua ya robo fainali ya CHAN 2024. Hata sijui ni kwanini, lakini hii hali imetokea automatic tu. Natamani...
  12. Chizi Maarifa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hongera sana kwa Morocco kwa kweli wametuheshimisha sana

    Nmejipatia tsh 1,200,000 baada ya kubet na jamaa yangu mmoja mwana CCM ambaye aliniambia leo piga ua T. Stars inashinda. Iwe isiwe. Nami nikasema haitoshinda. Nimefanikiwa kushinda mimi. Tsh 1,200,000. Life is good banabongo. Safi sana Morocco na mfanikiwe zaidi na zaidi.
  13. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Morocco imeshinda, haki imeshinda

    Hongera sana kwa wana haki popote pale nchini Tanzania. Leo ilikuwa ni Haki vs Dhulma na uonevu. Upuuzi na ushamba umeshindwa ila endeleeni kukaza mafuvu.
  14. PLOII

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Stars imemaliza mwendo taifa limepoteza; Morocco ni Football Brain tugange yajayo, Asanteni Watanzania kwa Sapoti kwa timu yenu

    Kwenye Mada moja kwa moja, Tukubali kuwa kilichotokea leo ni matumizi ya Brain, tukubali tukutae matumizi ya Brain kwa wachezaji wetu ni KIDOGO sana mfano Coach unamtoa Kagoma anaingia SAADUNI (hana anachoweza) badala yake katikati panapwaya ~ Morocco wanasogea kirahisi bila pressure. Clement...
  15. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Ni furaha kubwa,hakika michezo huunganisha watu,wakenya wapo njiani kuishangilia morocco!

    Hakika michezo ni kiungo muhimu sana katika jamii zetu,michezo imeua nguvu za gachagua katika kusababisha maandamano yasiyo na msingi na sapoti, Wakenya wapo njiani kuja kuwashabikia Morocco!
  16. Pdidy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni Tanzania dhidi ya Morocco 🇲🇦 kesho halafu Mwanetu DAHANE kapewa tena mechi ya kesho Wanangu😀

    TUPE R A HA YANGA DEHANE WETUUU KARIBUHUH SANAAA BWM ULITUKIMBIA UKAENDA AMAN NW TUNAKUKARIBISHA SANAA SANAAA
  17. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hadi Sasa Nina Watu 100 Wamehamasika Twende Tukaiondoe Morocco Ijumaa, Wewe Unangojea Nini

    Nimetengeneza kundi la wasap nimewaunganisha watu 100 na kuwaomba sana ijumaa mtoko ni Lupaso tu not otherwise. Chonde chonde mtanzania Morroco atakufa kWa umoja na mshikamano Waganda wako juu sana kwenye Hamasa, wakenya wako juu vibaya mno ktk Hamasa Ni kushangilia mwanzo mwisho ijumaa ili...
  18. PLOII

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Taifa Stars tumepewa jaribu kubwa sana; Morocco ni Timu yenye matumizi makubwa ya akili

    Umofia Wadau! Group A: i). Kenya ii). Morocco Kenya itacheza na Madagascar hapa Kenya ina uhakika wa kucheza nusu Fainali. Ila kwa upande wa Timu yetu ambayo kiukweli Coach hajui kupanga wachezaji kwa uwezo wao pia timu yetu ina back passes nyingi with poor game control. Tuna makosa mengi sana...
  19. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya vs Morocco, angalieni wakenya wanavyoshangilia nchi yao mwanzo mwisho, watanzania tujitathmini

    Kenya hawana timu nzuri lkn naangalia hapa washabiki wao mwanzo mwisho wanashangilia, watanzania tusipochukua tahadhari afcon tunaweza kupoteza. Tulipe kodi kwa maendeleo ya nchi yetu
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kocha wa Taifa Stars Hemed Morocco iwe mwanzo na mwisho Kujaribisha Wachezaji kama PIPINO JR katika Mechi muhimu na za Maamuzi

    Mimi GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE na huu Uzee wangu wote nikipasha kisawasawa kwa Wiki Mbili tu ukinipambanisha na huyu Mchezaji PIPINO JR aliyeniboa sana Juzi namchukulia namba na bado nazima viuri sana Dimba la Juu. Mpaka mnaona tunachambua Mpira na hadu kuwa Washindi wa Jukwaa la Michezo hapa...
Back
Top Bottom