Wazazi wetu walifanya kazi sana na wakalipwa na noti zenye picha ya nyerere, mshahara wa mtu mzito enzi izo ilikua buku, kwa mahesabu ya haraka haraka kwa pesa ya leo ni ~500k
miaka 20 mbele kuna watu walitunza izo pesa, mitaani bado zipo lakini hio buku utaikubali kama mshahara saaahv? jibu...