moja

Movement for Justice in Africa (MOJA) is a pan-African left-wing political organization in Liberia, with chapters in Ghana and The Gambia. It was founded in 1973 by Togba Nah Tipoteh, who is currently its president.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mtu Mwerevu Haumwi na Nyoka Katika Shimo Moja Mara Mbili

    My people, Natambua tumeumizwa sana kwa kupotelewa na vipenzi vyetu,tumepoteza mali zetu na mitaji yetu,tumetezwa utu wetu na heshima yetu Lakini kutumia njia ambayo hapo awali ilifeli na kutaka kuitumia katika namna ile ile tusitarajie matokeo tofauti,tena kibaya zaidi watesi wetu wanajua...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Ni bora kabisa vyama vingi vikazuiwa mara moja marufuku kwani ndiyo zao la vurugu na uvunjifu wa amani

    Wakati wa chama kimoja amani na utulivu mkubwa lakini muda huu ni vurugu. Vyama vingi zao la ukosefu amani Vizuiwe
  3. JamiiForums Tanzania Itachukua muda kiasi gani binadamu kufikia ustaarabu wa asilimia mia moja!

    Nimekaa nikatathimini kuhusu ustaarabu naona tunasafari ndefu sana!, na hili ni moja kati ya swala nyeti maana linagusa katika kila sehemu!. iwe ni maendeleo,siasa,michezo,tamaduni,imani n.k hauwezi ukawa binadamu mwenye akili timamu kama hauzingatii ustaarabu!. Naghafirika sana pale napoona...
  4. N

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 SMS moja iliwanyamazisha Wanahabari wengi wa Iringa wakati wa Uchaguzi Mkuu 2025

    Uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa Mwaka 2025 umeacha kovu ambalo halitafutika kirahisi si tu kwa sisi walaji wa habari, bali kwa Wanahabari wenyewe ambao wamejikuta wakivunjwa moyo, wakinyimwa nafasi ya kutumia kalamu zao, na wakidhalilishwa hadharani katika taaluma waliyoiamini. Katika kipindi...
  5. JamiiForums Tanzania Mdau: Vijana mnapenda starehe mnapenda anasa, acheni!

    Mdau mwenye lafudhi ya pwani atoa maoni yake kuhusiana na tabia mbovu zinazofanywa na vijana wa kizanzibari
  6. JamiiForums Tanzania Moja ya habari ilionisikitisha sana mwaka huu ni hii

    Huko pakistan, wengi wa watoto wa kike wanapozaliwa wanatupwa na mama zao kutokana na utamaduni uliopo katika jamii zao wa kupendelea zaidi watoto wa kiume. Pakistan ni moja ya nchi duniani ambazo wasichana wanapitia uminyaji wa hali ya juu. Ndoa za utotoni, ndoa za kulazimishwa, ubakaji...
  7. JamiiForums Tanzania Moja ya sababu ya Marekani Kutathimin Uhusiano na TZ ni "Ukandamizaji wa Uhuru wa Kuabudu/Shughuli za Kidini Kwa Wakristo"

    Mwambieni Samia, Marekan inaposema Ukandamizaji wa KIDINI , Huwa inazungumzia UKRISTO. Na Kwa Nchi yetu, Mkristo pekee anayesumbuliwa na Serikali Kila Kukicha ni CATHOLIC . Sambamba na Kanisa la Ufufuo na Uzima, ila CATHOLIC Hawa ndio wamefanya Marekani àzungumzie hivo. Marekani na Ulaya...
  8. JamiiForums Tanzania Umeme kuingia Moja Kwa Moja pindi unaponunua umeme

    Tanesco leo kuzindua mfumo mpya wa umeme pindi ununuapo umeme utaingia Moja Kwa Moja kwenye Mita. Sahiv wananchi hawatapa sana tabu kama ilivokuwa hapo nyuma
  9. JamiiForums Tanzania Wakuu, hivi kuna magari ya kutoka Mbezi mpaka Mbagala moja Kwa moja?

    Naombeni msaada Kuna margari ya kutoka mbezi mwisho mpaka mbagara Moja Kwa moja na nauli yake Bei Gani wakuu
  10. N

    JamiiForums Tanzania Kama Una Akaunti ya Mitandao ya Kijamii Uliyoisahau au Hutumii Tena, Nenda Ukaihakiki Mara Moja

    Ndugu wanajukwaa, Naomba jamii iwe makini na kuchukua tahadhari inapostahili, hasa katika kipindi hiki ambacho mijadala kuhusu matukio ya mauwaji ya Oktoba 29 hadi Novemba 4 pamoja na maandalizi ya maandamano ya Desemba 9 yamezidi kushika kasi. Leo nimejulishwa na rafiki yangu kuhusu matumizi...
  11. JamiiForums Tanzania Nafikiri moja ya mateso ya kujitakiaa waafrika ni pale tunapo mshirikisha Mungu katika kila nukta ya sayari hii

    Ni kazi ya Mungu. Ni Mapenzi ya Mungu. Mungu amependa zaidi. 👆👆 👇👇 🗑️🗑️ YA DUNIA NI YA DUNIA TU, YA MUNGU NI YA MUNGU
  12. JamiiForums Tanzania Waambieni MAJAJI kesi ya LISSU kuwa, Wameamuliwa na Mungu kabla ya Dec 1 wawe wameshatoa Tarehe ya kesi kuendelea kusikilizwa!

    Mh LISSU hataki Kupendelewa Wala Kuonewa, ndio Sababu Licha ya Ofa zote mnazompelekea amegoma kuwasailiti Wananchi. Huyo ni MTU wa aina gan? Je Msimamo huo wa Kimungu hautoshi Kuwashtua Majaji ?. Sasa nikiwa Katika Usingizi, Mungu alinichukua na kunipeleka katika Kikao Cha Malaika ,kikao...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Sikiliza lugha ya madikiteita wa kiafrika, lugha yao ni moja!

    Sikiliza clip hii. Majitu haya yanasahau yanayowafanyia wapinzani wao wa kisiasa!
  14. H

    JamiiForums Tanzania Maombi yetu ni kwa simba nguvu moja mungu ibarik Tanzania

    Kama naona Mpanzu, anavyo futa makosa leo, ataimbwa sana Trust me
  15. JamiiForums Tanzania Tz jeshi ni moja tu, Jeshi la polisi

    Kwa hali inavyo onekana Tanzania jeshi ni moja tu Jeshi la polisi wengine wote skauti
  16. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwenyekiti wa CHADEMA Sumbawanga: Chaguo ni moja tu, ni Watawala kukubali kubadilika, Watu wamechoka wanahitaji mabadiliko

    Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Sumbawanga, Adolf Mkono akizungumza katika kongamano la amani na utulivu lililo fanyika Novemba 27,2025 katika ukumbi wa Nazareth Sumbawanga. "Chaguo ni moja tu, ni watawala kukubali kubadilika, watu wanamaumivu ya muda mrefu na wanahitaji mabadiliko."
  17. JamiiForums Tanzania TEC wanatoa Tamko moja. Wananyamaza. Sisi tunatoa mia moja hawajibu hata moja. Ni Dharau

    Inatia hasira. TEC wanadharau sana. Serikali iangalie jambo hili kwa ukaribu sana. Hawa TEC wakitoa tamko kisha wakaja jibiwa wala hawahangaiki kufafanua au kujibishana. Hiyo ni dharau na kiburi kuonesha wao hawajibishani na vilaza au wasiojielewa. Hili jambo linanikwaza. Serikali imejaribu...
  18. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Msigwa: Taarifa kuhusu maadhimisho ya siku ya Uhuru itatolewa ndani ya siku mbili

    Kuhusu maashimisho ya siku ya uhuru msigwa amesema: taarifa kuhusu maadhimiaho ya siku ya uhuru kama yatafanyika au la mtapewa taarifa rasmi ndani ya siku mbili.
  19. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya taarifa ya CNN kutoka, serikali ilishwandwa nini kualika mara moja vyombo vya habari vifike kwenye eneo linalodaiwa kuwepo kaburi la pamoja?

    Hili ndio swali ninalojiuliza na mpaka sasa sipati majibu kwani nilitarajia kuona serikali inaalika vyombo vya habari vya ndani na nje mara tu baada ya taarifa ile ya CNN kutoka Tukumbuke, kuzika watu wengi kwenye kaburi la pamoja, ndio tuhuma kubwa na mbaya kuliko zote iwapo itathibitika kuwa...
  20. JamiiForums Tanzania Wiki moja iliyopita huyu MC ungemwambia angeuawa angejibu yeye ni CCM yupo salama

    Dhambi ya uuaji huwa ni kama kama mchawi tu akianza kula nyama za watu kuna wakati ataua hata watoto wake. Tunapowaambia watu hawa wanaojipendekeza kwa Serikali kuwa watanzania hawapo salama wanadhani wao hawataguswa. Kama ungemwambia huyo MC Kipilipili kuwa yaliyomkuta Ungo ni Kibeku...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…