moja

Movement for Justice in Africa (MOJA) is a pan-African left-wing political organization in Liberia, with chapters in Ghana and The Gambia. It was founded in 1973 by Togba Nah Tipoteh, who is currently its president.

View More On Wikipedia.org
  1. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kuna jambo haliko sawa. Top ya matajiri katika nchi kuwa wa rangi moja tu

    Sio kwa ubaya lakini sio hali ya kawaida katika nchi ambayo wengi ni Wabantu, Waniloti na Wakushi matajiri top kabisa katika nchi kuwa ni Wahindi, Waarabu na Waburushi/Wapersia na wao kuwa ndio walioshikilia sehemu kubwa ya uchumi na sekta muhimu za uchumi. Inaweza isizingatiwe kwa sasa lakini...
  2. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Je, inawezekana kuhamisha unit za umeme wa Single phase kutoka meter moja kwenda meter nyingine?

    Nimebadilisha matumizi ya umeme kutoka Single phase system kwenda 3 phase system, kwenye remote meter ya single phase system nilibakiza units kama 700 hivi, naweza kuziamishia kwenda single phase nyingine ya jengo jingine? Maana naambiwa Unit za single phase haziwezi kutumika kwenye 3 phase na...
  3. Scott junior

    JamiiForums Tanzania Mwanaume yeyote mwenye mke lazima kuna moja ya sifa hizi zinamsumbua

    Aina 4 Za Wanawake Wanaokimbiwa Zaidi Na Wanaume 1. Controllers Hawa Ni Wale Wanawake Ambao, Kwa Sababu Ya Elimu, Vyeo, Umaarufu, Upeo Wa Kufikiri na NGUVU Fulani Waliyonayo, Huwa Wanataka Kumuweka Mwanaume Under Control. Wengi Huwa Na Tatizo Linaitwa "Control Freak" 2. Boxing Women Hawa...
  4. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Nina commission ya laki Moja kwa mtu atakae nipa KAZI ya laki tatu na nusu mpaka nne.

    Mkono mtupu haulambwi wakuu Sasa Nina zawadi ya laki Moja kwa mtu ambae ataniunganisha na KAZI yoyote ya laki tatu mpaka laki nne. Location Dar es salaam Kazi yoyote. Elimu: shahada. Ahsante
  5. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Breaking News: Moja kwamoja kutoka mtaani kwetu

    Mtoto wakike mrembo wa kidato cha 4 kaingia kwenye nyumba ya mwalimu msela tangu saa 4 asubuhi hadi sasa hajatoka. Ni mtoto wa diwani wa CCM.
  6. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Baadhi ya Maafisa wa Manispaa Morogoro wanatukamata Bajaj kisha wanataka faini laki 1 au uwatoe 50,000

    Maafisa wa Manispaa Morogoro wanatukamata Bajaj kisha wanataka faini laki moja au utoe Rushwa 50,000 Sisi madereva na wamiliki wa Bajaj Morogoro tumechoshwa na usumbufu wa makundi ya watu wa manispaa. Wanakamata Bajaj bila mipangilio wakidai kuna makosa mbalimbali na faini inaanzia shilingi...
  7. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kuna mambo yanayoendelea duniani yanaweza kuwaathiri watu hata kama hayafanyiki kwenye nchi yao moja kwa moja.

    Sijiui wenzangu ila mimi na kuwa muhanga sana. Kipindi cha ugaidi kimetufanya wasafiri kunyimwa viza sana. Ilipokuja kuanguka kwa uchumi wa dunia sehemu niliyokuwa nafanya kazi ofisi walifunga. Ilipokuja ugonjwa wa COVID-19,biashara nyingi zilishindikana kutokana na mipaka. Ilipoingia vita...
  8. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Gen Z niwakumbushe jambo moja tu: Uzee unakuja haraka sana kama mafuriko

    Muda unaonekana mrefu ukiwa na miaka 18, 20 au 25. Lakini ukweli ni kwamba miaka inapita kwa kasi ajabu. Jana ulikuwa mwanafunzi, ghafla una miaka 30 unajiuliza muda ulienda wapi. Ndiyo maana: • Jifunze mapema • Fanya kazi kwa bidii • Jenga nidhamu • Heshimu muda •Acha masihara na maisha...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Us department:'' Raia wamarekani ondokeni mara moja Cyprus sababu ya kiusalama

    Serikali ya marekani imewaambia raia wake wanaoishi Cyprus waondoke mara moja na wahame na mali zao kwasababu za kiusalama. Ina maana jumba bovu wanaachiwa wa Cyprus wenyewe?
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Udhalilishaji kwa Watumishi na Nidhamu Mbovu ya Msimamizi wa Maktaba ya Mkoa Iringa iliyopo chini ya TLSB

    Mimi ni Mwanataaluma na mdau wa Maktaba ya Mkoa Iringa, pia ni Lecturer katika moja ya Chuo hapa Iringa Mjini. Nimekuwa nikitumia Maktaba ya Mkoa kwa muda mrefu sasa, lakini mimi pamoja na wadau wengine wa Maktaba tumekuwa tukishuhudia mara kwa mara udhalilishaji wa dhahiri unaofanywa na...
  11. Samatime Magari

    JamiiForums Tanzania Bentley Flying Spur Moja YA Expensive Sedan Kutoka kwa Mkoloni Anayopush Bashite

    Juzi Kati camera zime-mumulika Daudi akiwa kwenye Bentley Flying Spur, Moja ya expensive na full sized luxury sedan kutoka kwa Mkoloni huko Uingereza kwa Malikia.. . Kama wapiga kura tukaitolea macho kumchuzi huku tunawaza ukosefu wa madawati Shule Msingi Nyambitilwa kibondo, Tukapata tags za...
  12. Khanji kapoor

    JamiiForums Tanzania China yaipa onyo USA na Israel isitishe Vita Mara moja

    Serikali ya Beijing imetoa karipio kali na kuitaka USA na Israel kusitisha kushambulia Iran la sivyo itachukua hatua Kali kwa muda sahihi Source : msemaji wa serkali ya Beijing
  13. Yoda

    JamiiForums Tanzania Azam/UTV jaribuni kubadilisha wachambuzi wa habari za kimataifa angalau mara moja moja

    Inashangaza sana Azam/UTV ambacho inawezekana kikawa ni kituo kikubwa cha kitanzania kwa habari za kimataifa za Kiswahili nchini kumtumia mchambuzi mmoja tu wakati wote kijana aitwaye Rahby ambaye ni mnazi mkubwa wa Iran na Ayatollah na ni anti-west wa kutupwa. Tunaelewa kuchambua siasa za...
  14. Vien

    JamiiForums Tanzania Orodha ya wasanii waliotoa hit moja kali kisha wakapotea kimyakimya

    K sal ft ferooz Mwana mkiwa Hii ngoma ilivuma sana miaka ya 2000, baadaye K sal akatoa ngoma ingine aliofanya na Mandojo & Domokaya inayoitwa starehe na fedha ila haikufanya pouwa baada ya hapo kimya hadi leo Kali P - Imekaa vibaya Baada ya hii ngoma sijawahi mskia tena huyu jamaa mpaka leo...
  15. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Unalipwaje dollar laki moja kwa kufanya kazi 4?

    Nilikuwa napita huko upwork nimeshangaa sana japo sijui hiyo kazi ina ukubwa gani lakini malipo ni yakushangaza ,, mtu kafanya kazi 5 au 10 lakini ukiangalia malipo yake ni balaa,, em tupeni mbinu
  16. PSEUDOPODIA

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ilivyo mpaka sasa, ingekuwa ni mimi ningecheza karata moja tu na ndo iliyobaki

    Kwa hali ilivyo mpaka sasa ningecheza karata moja ambayo watu wasinge amini macho yao. Maana sina cha kupoteza, sasa ili kumaliza hiki kipindi kilichobaki ili nikapumzike zangu lakini pia niwe nimeweka historia na niendelee kuheshimika hata nikiondoka. Ningemteua Tundu Lisu awe mbunge kisha...
  17. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Derby kunanmtu anafungwa 3-5..nani ntawambia siku moja kabla ya mechi

    Hizi habari sio nzuri sana kwa baadhi ya wananchi wapenda soka hasa wale wapenzi wa timu za derby Niko huku msata mpaka sasa kuna timu inapigwa goli 3 -mpaka 5 Yaani hii n siku ya huxuni na kuna watu watashindwa kufuturu ama.kupanda meli hioo sikuuuuu Ntawajuxa nani nawatakia kila la kheri...
  18. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Inadaiwa umoja wa mataifa umeitaka mamlaka ya Tanzania imuachie Lissu mara moja kutokana na habari zinazosambazwa na BBC, DW

    Inadaiwa umoja wa mataifa umeitaka mamlaka ya Tanzania imuachie Lissu mara moja kutokana na habari zinazosambazwa na BBC, DW Vyombo hivi vimekuwa viki ripoti habari zote ya kinacho endelea mahakamani na inaonesha kwamba kesi ni ya uongo hali ambayo imechochea shinikizo la kimatifa kutaka Lissu...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania Haitaji Shule za Bweni za Jinsia Moja

    Katika dunia ya sasa, Tanzania inakua na changamoto nyingi za kijamii na kielimu. Mojawapo ya changamoto hizo ni mfumo wa shule za bweni za jinsia moja (hasa zile zisizo za kidini). Ingawa mfumo huu ulikuwa na nafasi yake katika historia, leo hii unazalisha matatizo makubwa kuliko faida. 1...
Back
Top Bottom