moja

Movement for Justice in Africa (MOJA) is a pan-African left-wing political organization in Liberia, with chapters in Ghana and The Gambia. It was founded in 1973 by Togba Nah Tipoteh, who is currently its president.

View More On Wikipedia.org
  1. MK254

    JamiiForums Tanzania Huu 'mzuka' mpya wa Ukraine unasababisha Mrusi apoteze battalion moja kila siku

    Kwa siku chache ambapo Ukraine wametiririka kama waliopagawa, wamefaulu kuteka vifaru 1,200 vya Urusi, hiyo ni pamoja na zana zingine ikiwemo magari ya kivita. Warusi wanatoka nduki na kuviacha huku Ukraine wakiendelea kufukuzia. Vijana wa Ukraine wameamua kujitoa mhanga, wanavamia kwa kifua...
  2. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Haji Manara ni Propagandist kinara kwa sasa hapa Tanzania

    Huo ndiwo ukweli. Haji anaweza kuunda jambo na likakua kwa kimo cha kutisha na kwalo hata kusababisha madhara makubwa na yenye kuleta sintofahamu ndani ya jamii. Haji ndiye binadamu wa kwanza nchini kufanya kazi kwenye vilabu vikubwa vya kisiasa kwa maana ya Yanga na Simba na kote amekubalika...
  3. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Walezi acheni kupeleka watoto bweni kama shule za kutwa zipo karibu. Bweni inaweza kuwa jehanamu kwa mtoto mdogo na kijana anayepitia balehe

    Leo mtoto wangu wa darasa la nne kaniletea barua kutoka shuleni kwao kwamba eti yafaa zaidi awe anabaki huko huko shuleni boarding asiwe anarudi nyumbani. Nikiwa kama mzazi wake hii barua ilinipa hasira sana, hhizi shule za sikuhizi wametanguliza sana pesa kuliko watoto wetu, Kuna kipindi...
  4. Sozo_

    JamiiForums Tanzania Kukosea kupiga simu kwanini iwe kwa watu wa kabila moja?

    Mimi sio mfuasi wa kuponda makabila, nawapenda wote, hata mwenzi wangu sio wa kabila langu. Lakini najiuliza kwanini kila ninapopigiwa simu ya kukosewa huyo mtu anakuwa msukuma, kama sio mwanaume atakuwa mwanamke. Nawajuaje? Mara nyingi husalimia kikwao, ama kuita majina yao, tunaposhindwa...
  5. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Decoder ya Azam ni moja ya Decoder za ovyo/cheap quality ambazo nimepata zitumia

    Nimeshabadilisha remote mara 3. Remote bado mpya unabonyeza Menu yenyewe ina change program. Unaongeza sauti sometimes ina change channel. Unarudi Back inakupeleka kwenye menu. Unaweza bonyeza button hata mara tatu isi respond na hapo umeielekeza kabisa karibu na decoder siyo kwamba ipo mbali...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Serikali yaagiza zile nyumba ambazo ukuta umepita mbele ya geti, moja ivunjwe ndani ya siku 7

    Naibu Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi, Juma Makungu Juma, ametoa muda wa siku saba, ili kuvunjwa kwa nyumba iliopo Fuoni Migombani, kwa madai msimamizi wa nyumba hiyo, Hafidh Ahmed Mohammed, amejenga kinyume na utaratibu wa kisheria za mipango miji na vijiji. Ametoa agizo hilo baada ya...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Jeremiah Kisubi amshauri Diarra arudi kwao week moja kujiweka sawa "mambo yetu yale ya Kiafrika"

    Naam yeye mwenyewe Kisubi alipokuwa simba alinyoroshwa vizuri sana na watu wa moro hadi akaomba poo, sasa huyu jamaa toka nchini Mali anajifanya mjanja siyo? Anayoroshwa huko na watu haohao wa Morogoro. Yes habari ndiyo hiyo bwasheee, Kisubi kaandika kwa uchungu sana, au Kisubi haamini kama...
  8. JF Member

    JamiiForums Tanzania Maji Dar ni shida - Ubungo hadi Kibaha hakuna maji kwa wiki moja sasa

    Wizara ya maji - Dawasco, embu tatueni hili tatizo. Wananchi wanapata shida. Line ya Morogoro road Ubungo hadi Kibaha hakuna maji. Pia soma: Dar: Waziri Aweso amemsimamisha Meneja wa DAWASA, Kinyerezi Burton Mwalupaso Kwa kushindwa kutekeleza vyema majukumu yake KERO - Waziri Juma Aweso atoke...
  9. Myahudi Jr II

    JamiiForums Tanzania Tuchague lugha moja ya kimataifa ili tuweze kwenda sawa na wenzetu

    Habari Wana Jamvi, Naandika haya nikiwa na uchungu sana moyoni, yaani watazania sijui tunasimama wapi ndugu zangu kwa upande wa lugha za kimataifa si Kingereza wala Kifaransa (maana naona passport zetu zina lugha ya Kifaransa) tunaweza kuzungumza. Tunadanganywa na BAKITA kwamba Kiswahili ni...
  10. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Tukiwa tunasubiri takwimu za sensa, kwa mara ya kwanza idadi ya Watanzania wanaotumia LinkedIn imefikia milioni moja mwezi Agosti

    Habari za leo wajuba, Tukiwa tunasubiri takwimu za sensa, kwa mara ya kwanza idadi ya Watanzania wanaotumia LinkedIn imefikia milioni moja mwezi Agosti. Sijui kwa nini this platform seems intimidating kwa Watanzania wengi. Maana mitandao mingine tupo wengi tu. Au point zetu ni zilezile...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ni jambo moja tu linaloweza kumfanya mwanaume kamili akalia

    Twambombo wakuu! Mwanaume kulia ni mwiko! Haipendezi mwanaume aliyekomaa kulialia. Hata hivyo lipo jambo moja linaloweza mfanya mwanaume alie kama mtoto mdogo, nalo ni kifo. Kifo kwa wahusika wafuatao 1. Wazazi au mlezi Mwanaume anaweza akalia kwa kifo cha mama au baba yake aliyemlea. Zingatia...
  12. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Hii ni moja ya kazi nzuri ya Hayati Magufuli

  13. MK254

    JamiiForums Tanzania Urusi amepoteza vifaru 23 na helikopta kwa vita vya siku moja kwenye kuukomboa mji wa Kherson

    Na humo wameuawa kweli kweli pamoja na zana zingine lukuki, ni mwendo wa mbele kwa mbele, Ukraine wanajitoa mhanga vizazi vya kesho vitaendeleza jamii ila lazima wakomboe ardhi yao.... HIMARS zinarindima balaa. Mrusi anajutia kishenzi, hajui pakutokea maana wanajeshi wenyewe wa Urusi hawana...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Utumishi, sheria ya kutaka kila Mtumishi abaki na walau moja ya tatu ya mshara wake, haizingatii tofauti kubwa mishahara baina ya watumishi

    Hili jambo nimeliongea mara kadhaa huko nyuma na leo napenda kuliriudia kwani ni kikwazo kwa watu katika kujitafutia maendeledo yao na pia katika kutatua changamato zao za kifedha. Kwa wasiolewa, sheria hii inalenga kuhakiksha mtumishi habaki na take home ndogo isiyokidhi mahitaji yake na ya...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Wataalamu na wasomi wapongeza pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia Moja” kwa kuleta mabadiliko makubwa katika Afrika

    Na Pili Mwinyi Pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia Moja” ni mpango kabambe uliotolewa na rais Xi Jinping wa China kwa ajili ya kuwa na mtandao wa reli, barabara na bandari duniani pamoja na miundo mbinu mingine ili kuweza kuziunganisha nchi hizo pamoja na kuwa kitu kimoja. Hadi sasa pendekezo hili...
  16. Orako

    JamiiForums Tanzania SoC02 Siku moja tajiri namba moja Tanzania atakuwa kijana mwanzilishi wa Startup

    Asilimia kubwa ya wasomaji wa andiko hili wanamjua Elon Musk na matajiri wengi wenye utajiri unaokadiriwa kufikia hadi mamia ya mabilioni ya dola za kimarekani. Kinyume na uhalisia wa hapa nyumbani ambapo mabilionea wengi utajiri wao upo kwenye akaunti za benki mbalimbali na majengo. Mabilioni...
  17. politicians

    JamiiForums Tanzania SoC02 Chuki, ubinafsi na unafiki, ndio vinachelewesha maendeleo ya nchi yetu

    Utangulizi:nchi yetu ina utajiri mkubwa wa rasilimali lakini ina umaskini wa maendeleo, watu wengi wanajiuliza swali kwa nini? Sababu zipo nyingi ila tatizo kubwa ni fikra na mitazamo ya kimaskini iliyopo kwa wananchi walio wengi inayosababisha vitu hivi (chuki,ubinafsi na unafiki) ambavyo...
  18. LEO_TENA

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi, Mshahara Uwe Laki Moja

    Habari Wana JamiiForums! Kama kichwa kinavyojieleza, Kijana wenu nipo apa kuomba kazi. Nipo tayari kufanya kazi yoyote ya halali. Kazi hilo iwe ndani ya taaluma yangu, au nje ya taaluma yangu nipo tayari kuifanya. Jinsia: Kiume Miaka: 23 Mahali Dar es salaam. Elimu: Chuo Kikuu. Nilichosomea...
Back
Top Bottom