moja

Movement for Justice in Africa (MOJA) is a pan-African left-wing political organization in Liberia, with chapters in Ghana and The Gambia. It was founded in 1973 by Togba Nah Tipoteh, who is currently its president.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Barnaba azua gumzo adai alishika Bilioni 2 kwa mara moja

    Katika kurahani na burudani redioni nikiwa nimetune Mawingu Fm Barnaba Classic akiwa anatambulisha Album yake mpya. Albam aliyowashirikisha wasanii wenzake akiwemo Alikiba na Diamond. Adam Mchomvu akamuuliza amewahi kushika Kiasi gani cha pesa kwa mara moja Barbaba Classic akadai Tz Shillings...
  2. JamiiForums Tanzania Shaka amwagiza waziri wa Kilimo kumfukuza kazi mara moja Geophrey Chiliga mrajisi wa Ushirika Mkoa wa Tabora

    CCM YAMUAGIZA WAZIRI WA KILIMO KUMUONDOA MRAJISI VYAMA VYA USHIRIKA TABORA Ni kutokana na kudaiwa kuwa chanzo cha kukwamisha usajili wa Vyama vya msingi kwa wakulima wa tumbaku Shaka apigilia msumari wa mwisho...CCM haitokubali kuona mkulima akiendelea kuteseka* Na Mwandishi Wetu, Tabora...
  3. JamiiForums Tanzania Natoa wito Agosti 23 tujitokeze kwa wingi kuhesabiwa

    Maandalizi ya Sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022 Yamekamilika, Kazi Iliyobaki ni Moja Tuu, Tujitokeze kwa Wingi kwa Kujituliza, Tuhesabiwe! Utangulizi Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imepanga kufanya Sensa ya Watu na Makazi ifikapo tarehe 23, mwezi Agosti 2022. Wizara ya Fedha na...
  4. JamiiForums Tanzania Wastani katika chumba kimoja cha darasa ni wanafunzi wangapi na choo tundu moja wanafunzi wangapi?

    Wandugu tufahamishane na kushauri hapa kwa manufaa ya watoto wetu. Nimepita ktk shule za msingi mkoani Ruvuma ktk kata moja ya Mshangano. Kwenye shule ya s/m Mshangano kati inawanafunzi 842 na ina madarasa 7, wastani kila darasa wanafunzi 120. Ina matundu ya vyoo 10, wastani kila tundu watoto...
  5. JamiiForums Tanzania Tatizo la kukatika umeme mara kwa mara ifikapo saa moja usiku mpaka saa nne

    Ndugu wahusika, Mimi ninatatizo la hizi aina ya MITA za TANESCO Mpya, Yaani maeneo yangu IFIKAPO jioni ya saa 12 jioni mpaka saa 4 usiku ni shida Kila dakika Moja umeme unakatika na kuwaka mfululizo, cha ajabu majirani zangu umeme upo mda wote. Nilijaribu kuulizia Taneco wanasema aina ya MITA...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Golikipa Beno Kakolanya ni moja kati ya maduka ya Home shopping center (GSM)

    Haina salamu! Moja kwa moja kwenye uzi Hivi benchi la ufundi la timu ya simba linaruhusu vipi hili duka la GSM kuendelea kuidakia timu yetu??!!! Hawa wachezaji tunaowasajili kutokea Yanga si wa kuwamini hata kidogo! Ukiangalia magoli yote mawili ya jana yaliyofungwa na Fiston kaamka mayele...
  7. JamiiForums Tanzania Jifunze sanaa ya kuishi kutoka Sri Sri Ravi Shankar katika tukio hili la siku moja BILA MALIPO

    Jifunze sanaa ya kuishi kutoka Sri Sri Ravi Shankar katika tukio hili la siku moja BILA MALIPO. Agosti 25, katika Julius Nyerere International Convention Centre. Usikose fursa hii nzuri!
  8. JamiiForums Tanzania Kunani Bandari ya Dar es Salaam? Hakuna Meli hata moja

    Wakuu, nini kinaendelea Bandarini hapa Dar hakuna Meli, inayopakia wala kupakua. Gati zote ziko wazi!! Nini kinaendelea?
  9. T

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Ligi yaondoa ukomo wa kutumia wachezaji 8 wa kigeni, sasa ruksa wote kutumika

    Bodi ya ligi Leo tarehe 12/8/2022 imefanya marekebisho ya kanuni ambayo ilikuwa inazitaka club za ligi kuu kutumia wachezaji nane wa kigeni kwenye mechi moja, Ivyo kuanzia Sasa wachezaji 11 wa kigeni wataruhusiwa kuanza kwenye mechi moja. Wachezaji wazawa wapambane la sivyo wataishia kusugua...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jumatano yangu na "Mie nataka Laki " ! Older Women '30+' Know what they want!

    Onyo: BIDADA wale wa" Mkaka gani Unatuletea inshu hizi humu , Hawa ninawaambia, Achen Wivu , sijakutongoza na Sina mwanamke JF na kwakua sitegemei kupata mwanamke humu, Tulia am free ndio maana naandika ili ikitokea nmeingiwa na Tamaa Kwa mdada wa JF, basi apitie post zangu. . KWA JAMAA ZANGU...
  11. JamiiForums Tanzania Je, kuoana kabila moja hupelekea ndoa kudumu?

    Eti wakuu hii imekaaje? Ni kweli ndoa za sasa huvunjika kwa sababu ya kuoana makabila tofauti? Nawakilisha tu
  12. JamiiForums Tanzania Mabenki ya kitanzania, madirisha 5 ya kutoa huduma, Wahudumu Wawili tu, mmoja yupo muda wote mwengine anaingia na kutoka muda wote

    kuna benki zina madirisha hadi 8 ila hali ipo hivi hivi Yaani kwenye mabenki yetu haya uje kukuta madirisha yote yana tellers ni kama muujiza hivi, Nakumbuka zamani nikiwa chuoni nimetumiwa ada usiku niende kulipia asubuhi niliponea chupu chupu nisifanye mtihani isingekuwa huruma ya waliopanga...
  13. JamiiForums Tanzania Bei ya mafuta soko la dunia imeshuka chini ya Dollar 90 Kwa pipa moja Ila EWURA wanasema imepanda

    Maajabu ya Tanzania ni kwamba Bei imeshuka kwenye soko la dunia tokea June Ila huku ewura wanatuambia imepanda
  14. JamiiForums Tanzania CEO Barbara anaingia moja kwa moja "peponi"

    Ikiwa habari ya kesho ni hii basi huyu dada anatakiwa kuingia moja kwa moja peponi. Msije kuniua, nimetumia lugha ya picha tu. Nachotaka kusema kocha ametafuniwa kila kitu!
  15. JamiiForums Tanzania Tukiachana na ugumu wa Maisha, Tanzania ni moja ya nchi zenye vijana wasiojitambua kwa kiwango kikubwa

    Nipo Sehemu X Katika Mafunzo ya Sensa ya watu na makazi itakayofanyika Usiku wa kuamkia tarh 23. In short vijana 80% Ni brainwashed Sana Hiki kiazazi cha 20+ na 30+ nikizazi kilicho oza Kuanzia maadili na Akili kichwani. Watu 24/7 wanawaza ngono na Pombe hapa wadada wanavaa uchi huku...
  16. JamiiForums Tanzania CAF huenda wakaikataa Jezi Majengo, Vifusi, Minara na Machinjio ya Vingunguti ya Klabu Moja Tanzania

    Jezi za Klabu Bingwa na Shirikisho zonatakiwa ziwe na Uhalisia wa Soka ( Mpira ) tu na siyo kuwa na Jezi zenye Picha za Vifusi, Maghorofa na Machinjio ya Vingunguti. Kuna Timu Moja hapa Tanzania ( siyo Simba SC ) inaweza Kucheza Kifua Wazi ( Kidali Po ) Mechi zake za Klabu Bingwa Afrika ( hatua...
  17. JamiiForums Tanzania Kwa Viongozi kuvaa Barakoa kwa Kubagua maeneo ni Unafiki amueni moja mzivae muda Wote au msizivae tu kabisa sawa?

    Nachukia sana Unafiki na Upuuzi. Yaani Mtu huyo Saa 2 Asubuhi unaona Picha yake akiwa amejiachia kabisa bila Barakoa lakini ukija Kuiangalia tena Picha yake ya Saa 7 mchana unamkuta kavaa Barakoa tena inayotaka hata Kufunika Kichwa chake chote. Nawaulizeni nyie Viongozi Wanafiki hivi COVID-19...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Onesha kosa moja la Kafulila nami nioneshe makosa 10 ya January Makamba

    Kuna mambo Kwa sasa ukitumia akili kufikiri, utajiridhisha kwamba, Kwa sasa utawalala huu hauhitaji watu wenye weledi katika kusukuma gurudumu la maendeleo ya nchi hii, isipokuwa ni kubebana tu ili mtoto wa aliyekuwa Fulani serikalini ale. Na wakati mwingine ukitizama saaana kwa jicho la mwewe...
  19. JamiiForums Tanzania INAUZWA Jipatie ramani kali ya nyumba ya ghorofa moja

    One story design FIRSTST FLOOR -Two bedrooms(master&self) -small living room -toilet -Dining -Gym GROUND FLOOR -Three bedrooms (1master) -Dining -Living room -Kitchen -store -Toilet WhatsApp +255678418272
  20. L

    JamiiForums Tanzania Majukwaa ya kuuza bidhaa kupitia matangazo ya moja kwa moja mtandaoni yasaidia kuuza matunda ncini China

    Mkulima Wu Liuhong kutoka mji wa Chongqing, kusini magharibi mwa China, alipanda miplamu kwenye eneo la zaidi ya hekta 13.3 mwaka 2017, na mwaka huu amepata zaidi ya kilo laki moja za matunda. Lakini uuzaji wa matunda yake unasuasua kutokana na watu wote kupata mavuno mazuri mwaka huu. Kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…