Top ten ya wasanii ambao ni kama Kagera Sugar FC yaani namba moja hawashiki ila hawajawahi kushuka daraja.

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Mar 29, 2012
10,208
22,257
Wafuatao ni wasanii kumi ambao hawajawahi kuwa namba moja kwenye muziki lakini pia hawajawahi kupotea kabisa kwenye muziki yaani kwenye mpira tunaweza kuwafananisha na Kagera Sugar FC. Kama mjuavyo huwa Kagera haichukui kombe lakini pia haishuki daraja.

1. Ambwene Yesaya (AY)
2. MwanaFA
3. Linex
4. Ali Kiba
5. Jux
6. Weusi
7. Snura
8. Ruby
9. Fid Q
10. Zuchu
 
Duuh hii vita unayoitafuta mzee ni hatari asee unazo air defence system za kukulinda lakini?
 
Sasa utamfananishaje MTU ambaye kwenye game hana Hata miaka 2 Na Legendary kama Fid Q,AY Na Mwana FA..?
 
Cjui unataka nini we ndugu Alikiba kafata nini hapo


Mhhhh nimekumbuka kumbe hayo ni maoni yakoooo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom