moja

Movement for Justice in Africa (MOJA) is a pan-African left-wing political organization in Liberia, with chapters in Ghana and The Gambia. It was founded in 1973 by Togba Nah Tipoteh, who is currently its president.

View More On Wikipedia.org
  1. Yofav

    JamiiForums Tanzania Hadi sasa EX wangu ndo namba moja yangu

    Habari wakuu, Ni mwaka na ushee sasa toka niachane na huyu dada, Huyu dada tulianza mahusiano ya kawaida nikiwa bado sina uwezo wa kujitegemea hadi nikawa nao. Yeye alinitangulia kiumri na kimaisha pia, Kwani alinizidi miaka minne na pia wakati tunaanza mahusiano mimi nilikuwa bado tegemezi...
  2. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Video: Moja ya shule zilizojengwa kwa tozo, foreign reserve trilioni 1.3 na pesa za UVIKO

  3. chiembe

    JamiiForums Tanzania Mpina, thibitisha uchungu wako kwa taifa kwa kurejesha ekari elfu moja (1000) ulizodhulumu wanakijiji mkoani Morogoro, hawana pa kulima, wanakufa njaa

    Mpina, akiwa Waziri, kwa mbinu na vitisho alichukua ardhi yote yenye rutuba katika Kijiji hapa Morogoro. Anasikika akihimiza uzalendo na kukemea wizi, namsihi aanze kwa kurudisha shamba la wanakijiji, hawana pa kulima, amechukua ardhi ya kijiji kizima. Hakufilisi wavuvi tu, hata kwa wakulima...
  4. kali linux

    JamiiForums Tanzania 1 in a million moments: Jay Z, Rick Ross, Lil Wayne na DJ Khaled Stage moja Grammys 2023

    Aisee hii show ya grammys mwaka huu hatari. Miamba kadhaa ya Rap stage moja huku jay z akishuka verse yake ya karibu dkk 5 kwenye God did. Jionee mwenyewe hapa chini
  5. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Wameamua wawe na mtoto moja tu licha ya kuwa na uwezo wa kuongeza na kulea, je hii ni haki kwa mtoto wa kiafrika?

    Ni wazazi wawili, mke ni mhasibu taasisi ya kiserikali, mme ni engineer, kielimu wapo vizuri kuna moja aliweza kusoma masters yake nje ya nchi na mwingine ni hapa hapa bongo ila ana elimu kubwa. Mtoto walie nae ni moja tu yupo darasa la saba. Sababu kuu ya kuwa na mtoto moja ni mke kutotaka...
  6. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Huyu msanii Appy ni moja ya vocalist wakali sana wa kike, ni vile tu hana platform ya kumtrendisha

    Nimegundua miaka hii tunasikiliza mziki mbovu kuliko wazee wetu. Tunasikiliza mziki kutokana na umaarufu wa mwanamuziki na si talent yake. Na kama tujuavyo, umaarufu ni kujitangaza tu. Huyu msanii ni mkali sana. Vocals zake ni za kipekee sana.
  7. R

    JamiiForums Tanzania NI kwamba moja ya malengo yaliyoainishwa kwenye ilani ya CCM ni pamoja na kuimarisha mazingira ya KUBET?

    Awali nilimpongeza Sana Katibu WA CCM alivyopiga marufuku kubeti. Contrary; nimesikitika kusikia kubeti IPO kwenye ilani ya chama cha mapinduzi. Je, ni kweli ilani hiyo inatengeneza wataalamu WA kubeti au ni propaganda? Kama ilani inasimamia kubeti, je Katibu Mkuu kukemea nikupingana na ilani...
  8. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Joti kawachapa fimbo Moja tu, Twitter hakukaliki

    Ujumbe mdogo tu wa Joti umewatoa nyoka wote pangoni. Nimewaona wanavyompopoa Huko twita, huyo ni Joti tu CCM ni dude kubwa sana, Ufipa yote inapambana na Joti. Sasa huyo ni Joti vipi CCM wakiamua kufunga Busta nyie si mtajiua, muanze kusingizia mmetekwa? Kwanini wapinzani hamtaki wenzenu wawe...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu acha kujichanganya. Mapenzi ya jinsia moja ni faragha iliyokinyume na sheria. Lazima iingiliwe na vyombo vya dola. Ulijichanganya mwenyewe

    Ni kweli ni haki ya watanzania kuwa na faragha. Hii ipo ki katiba. Hata huko Ulaya kwa kwa ajili ya maslahi ya mataifa yao faragha zinaingiliwa. Sasa iweje hapa nchini watu wa jinsia moja wakihisiwa kuingiliana kimwili faragha zao zisiingiliwe. Wewe mwenyewe ulijibu kwa ghadhabu. Sasa...
  10. Kwitogelo

    JamiiForums Tanzania Kwanini noti ya elfu moja au maarufu kama "buku" inatamba sana mtaani siku hizi?

    Habari za leo wana JF? Ni kama miezi mitatu hivi nimeanza kuona hizi noti za elfu moja zikitamba sana mtaani, yaani zimekuwa nyingi unaeza kudhani kuna mahali ziliwekwa sasa zimeachiwa. Wataalam wa masuala ya uchumi tunaomba ufafanuzi hapa.
  11. Mamujay

    JamiiForums Tanzania Mbinu ya kuwakamata wapenzi wa jinsia moja Inayotumika Misri

    Nchini Misri, wapenzi wa jinsia moja wananyanyapaliwa sana, na kwa muda mrefu kumekuwa na madai kwamba polisi wanawinda LGBT mtandaoni. Sasa BBC imepata ushahidi wa jinsi mamlaka zinavyotumia programu za uchumba na kijamii kufanya hivi, Ahmed Shihab-Eldin anaripoti. Majina ya waathiriwa wote...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Naibu Katibu Mtendaji NECTA aondolewe mara moja kwenye nafasi hiyo

    Jana matokeo ya CSEE na QT yalitangazwa. Lakini hayakuwa na ranking wala hata kuonesha halmashauri inakopatikana shule husika. 1. Kufanya ranking ni mhimu Kama recognition kwa shule na mwanafunzi binafsi. Hii pia ni motivation. 2. Mtihani wa NECTA ni standard, kwa maana kwamba hatua zote...
  13. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Magufuli alipanga bei ya bidhaa mkasema anaingilia soko, Mama ameacha soko liamue mnasema maharage na nyama bei moja

    Watanzania ni watu wa ajabu sana. Rais Hayati Magufuli aliamua kuoanga ama kuingilia upangaji wa bei za bidhaa kuwalinda walaji na wauzaji malalamiko yakawa mengi sana kwamba anapanga bei, anaingilia soko. Mama ameacha soko liamua bado hao hao kina Lissu wanasema Maharage na Nyama bei moja...
  14. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Kenya: Hakuna pasu kwa pasu tena, Mahakama imeamua wanandoa wanaoachana kila moja achukue chake au kuonyesha ushahidi wa mchango wa mali ya kugawana.

    Mahakama ya Upeo Nchini Kenya leo Januari 27, 2023 imetoa Uamuzi kuwa Wanandoa wanaoachana hawatagawana Mali nusu kwa nusu (50/50) kama ilivyokuwa awali bali kila Mmoja ataondoka na kitu chake, tena kwa kuonesha ushahidi kuwa ni Mali yake halali. Uamuzi huo ni Marekebisho ya Ibara ya 45 (3)...
  15. The Sunk Cost Fallacy 2

    JamiiForums Tanzania Papa Francis: Mapenzi ya Jinsia Moja siyo Kosa, siyo Uhalifu, lakini ni Dhambi

    Hello Wadau. Papa Francis wa RC ya Vatican ameupiga mwingi kwa kuunga mkono ushoga na kusema mashoga siyo wahaliifu, na kwamba ni wana wa Mungu pia.🙄🙄 Haijaeleweka mara moja ikiwa huu ndiyo msimamo wa Kanisa Katoliki au ni maoni binafsi ya Papa Francis. Commets ziwe fupi fupi tafadhali. Video...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania RC Singida azindua kampeni ya upandaji miti milioni 1.5 wilaya ya Ikungi

    RC SINGIDA AZINDUA KAMPENI YA UPANDAJI MITI MILIONI MOJA NA NUSU WILAYA YA IKUNGI Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe. Peter Serukamba amezindua kampeni ya upandaji miti Milioni moja na nusu (1,500,000) katika Wilaya ya Ikungi. Katika uzinduzi wa kupanda miti Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki Mhe...
  17. Y

    JamiiForums Tanzania Je, kuna uhamisho wa kuhama Sekta moja kwenda nyingine?

    Habari wakuu ningependa nieleweshwe taratibu kamili za kufuata ili uweze kuhama sekt moja kwenda nyingine. Mfano.sekta ya maji kwenda sekta ya madini.
  18. xxtycoon

    JamiiForums Tanzania Usiku wa kisasi wa Arsenal na Hatua moja kuchukua kombe ligi kuu

    Ukiachana na timu zote kuwa vizuri hivi karibu, kwenye mechi ya leo itakuwa ngumu kidogo ila wanangu wa Arsenal tutashinda sababu tukifungwa tena ni dharau 😂😂 na hatuwezi kufungwa kwa sababu kombe tunalitaka na hatumtaki Manchester United kwenye top four 🔫 THE GUNNERS
  19. B

    JamiiForums Tanzania CCM yatoa wiki moja Walimu wote wapate vishikwambi

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetoa wiki moja kwa Wizara ya Elimu kuanzia leo Januari 20, 2023 kuhakikisha vishikwambi vilivyotolewa na serikali kwa ajili ya walimu vinawafikia walengwa. CCM imesema imepokea malalamiko ya kutotekelezwa kikamilifu kwa maelekezo ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa...
  20. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Inawezekanaje sekta moja ya umma kukataa taarifa za kiupelelezi za sekta nyingine ya umma?

    Hili lipo kwa kiasi kikubwa sana ndani ya taasisi zetu za umma yakiwepo mawizara mbalimbali ikiwepo Ardhi na nyinginezo Unaweza kuwa na tatizo labda mfano, suala la ardhi kutapeliwa ukafuatilia suala hilo mpaka ukalipeleka katika vyombo vya umma vya upelelezi navyo vikafanya kazi yake vizuri...
Back
Top Bottom