moja

Movement for Justice in Africa (MOJA) is a pan-African left-wing political organization in Liberia, with chapters in Ghana and The Gambia. It was founded in 1973 by Togba Nah Tipoteh, who is currently its president.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Miaka 10 ya pendekezo la “Ukanda Moja, Njia Moja” (BRI), ni miaka ya mafanikio

    Miaka 10 iliyopita wakati Rais Xi Jinping anatangaza kuanzishwa kwa pendekezo la “ukanda mmoja, njia moja” (Belt and Road Initiative) si watu wengi waliokuwa wanajua kuwa pendekezo hili lingekuwa ni mkombozi wa nchi nyingi dunia, hasa zile zilizotambua kuwa kukosekana kwa miundo mbinu katika...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia Moja” linaifanya dunia kuwa ya kijani zaidi

    Mwaka huu ni miaka 10 tangu rais wa China, Xi Jinping, alipotoa Pendekezo la Ukanda Mmoja, Njia Moja. Zaidi ya miaka 1000 iliyopita, misafara ya ngamia ilipita katika Njia ya Hariri ya Kale, ikikabiliwa na upepo mkali na jua, ikichukua hariri na chai kutoka China na kuzipeleka katika nchi za...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Nimeshinda slot ya wine

    Kuna lijaamaa linaitwa Congo cash ni huko Sokabet sijui nimeicheza naona iko powa linatema hela vibaya sana ila kila mtu na bahati yake 😄🤣😂.
  4. JamiiForums Tanzania Head to Head: Yanga kashinda mechi moja tu katika michezo sita iliyopita dhidi ya Al Ahly

    Yanga wapo kundi D katika Ligi ya Mabingwa Afrika. Wamepangwa kundi moja na kigogo Al Ahly. Head to head wamekutana mara 6. Yanga akifanikiwa kuibuka mara moja tu na ushindi dhidi ya Al Ahly. Ikumbukwe kundi la Yanga lina timu zilizoshiba ambazo ni Al Ahly, CR Belouzdad na Madeama ambao ni...
  5. JamiiForums Tanzania NSSF na PSSSF zipambane soko moja, NHIF itafutiwe mshindani

    Ni muda muafaka sasa kwa Serikali kuruhusu mifuko ya mafao kama NSSF na PSSSF kushindana katika soko. NSSF iongezewe wigo wa kuvutia wanachama toka Serikali, na PSSSF pia ipewe nafasi ya kuingiza wanachama toka sekta binafsi. Vivyo hivyo kuwapo kwa mfuko mmoja wa Bima ya Afya ya Taifa, ni kosa...
  6. JamiiForums Tanzania Tufanye jaribio, tuwape bodaboda utawala wa mji/wilaya moja tu

    Kila siku ooooh! Bodaboda ni hatari, sijui bajaji usalama barabara imefanyeje. Swali ni je, tukiweka wilaya moja ikawa na bajaji na bodaboda tu na baiskeli. Wao ndio wanadeal na traffic. Wao ndio wanadeal na usafirishaji kila kitu. Afu tuone je? Umahiri na ufanisi wa usafirishaji kwenye hiyo...
  7. JamiiForums Tanzania Tufanye jaribio, tuwape bodaboda utawala wa mji/wilaya moja tu

    Kila siku ooooh! Bodaboda ni hatari, sijui bajaji usalama barabara imefanyeje. Swali ni je, tukiweka wilaya moja ikawa na bajaji na bodaboda tu na baiskeli. Wao ndio wanadeal na traffic. Wao ndio wanadeal na usafirishaji kila kitu. Afu tuone je? Umahiri na ufanisi wa usafirishaji kwenye hiyo...
  8. JamiiForums Tanzania Marekani yaipa Ukraine risasi milioni moja walizonyang'anya Iran

    Hizi risasi zitasaidia pakubwa kwenye mapambano dhidi ya mvamizi Urusi. ============== Ukraine has been given the opportunity to replenish military supplies with confiscated ammunition from Iran thanks to a US operation last December. The move comes amid warnings from Ukraine's Western allies...
  9. JamiiForums Tanzania Kanisa la Anglikana linaruhusu ndoa za jinsia moja, Inakuwaje kuna watanzania wenzetu bado wanaendelea kwenda ?

    Ni tangu mwezi February mwaka huu kanisa la Anglikana lilipiga kura kufungisha na kuzibariki ndoa za jinsia moja. Nilitegemea kufikia mwezi huu makanisa ya Anglikana hapa Tanzania yawe matupu kwa sababu sisi watanzania tunayapinga mahusiano ya mwanaume kumruhusu mwanaume mwenzake kumuingiza...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Makosa yatokanayo na tafsiri ya moja kwa moja (SISISI) katika Lugha ya Kiswahili

    Tafsiri sisisi [ Literal translation] Hii ni aina ya tafsiri ambayo maneno hufasiriwa yakiwa pweke pweke kwa kuzingatia maana za msingi katika lugha chanzi bila kujali sana muktadha (Mwansoko na wenzake 2006).
  11. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini kitambulisho cha Mpiga Kura kinapatikana kwa siku moja lakini kitambulisho cha taifa kinapatikana baada ya miaka miwili?

    Ndugu wana JF hili ni swali nililojiuliza sana kwa muda mrefu. Kwa tathimini kwamba zaidi ya asilimia 60 taarifa za wananchi zanapatikana mtandaoni kwa kuwa siku za saivi asilimia kubwa ya watu wamesoma na kama wamesoma na kuhitimu unamaanisha taarifa zao zote zinapatikana kwenye mfumo wa...
  12. JamiiForums Tanzania Jinsi babu zetu walivyowapa majina watoto wao. Majina yao yalitoka moja kwa moja kwa Mungu muumbaji

    Kabla ya ujio wa dini za wageni Afrika hatukuwaga na majina ya Abdallah wala Paulo . Babu zetu waliwapa watoto wao majina ya kiafrika. Majina waliyatoa moja kwa moja toka kwa Mungu. Ni hivi babu zetu walimjua Mungu kupitia nature. To them nature was the portal which connected them with their...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Kwanini bei ya mafuta isiwe moja nchi nzima?

    Zamani bei za bidhaa zote zilizopangwa na Serikali zilikuwa zinafanana nchi nzima. Mtu aliyepo Kilombero alinunua sukari kwa bei ile ile na mtu aliyepo Tandahimba, bei ya petroli Dar ilikuwa sawa na Kigoma. Sasa wasomi wetu wamepatwa na nini kutofautisha bei ndani ya nchi moja? Kwamba sisi watu...
  14. JamiiForums Tanzania Nyaraka za Nangwanda Lawi Sijaona Moja ya Vielelezo Muhimu Vya Historia ya TAA na TANU

    NYARAKA ZA NANGWANDA LAWI SIJAONA MOJA YA VIELELEZO MUHIMU VYA HISTORIA YA TAA NA TANU Kwa muda mrefu nimekuwa nikipokea kutoka kwa mtoto wa Lawi Sijaona, Sijali Sijaona, nyaraka moja baada ya nyingine, picha na wakati mwingine akiniandikia maelezo kunieleza yale ambayo siyajui kuhusu baba...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Boniface Mwabukusi ulianza vizuri, sasa unaharibu kwa kuwaponda mlio na lengo moja na waliokutangulia katika kutetea taifa hili toka makucha ya CCM

    Jiepushe kupambana na CHADEMA na wengine ambao mnakokwenda ni kumoja! . Ungana na CHADEMA na wengine katika mapambano. Kama una la kusema nao, waite pembeni mnongone na si kupayuka kwenye maria spaces maana unaipa CCM advantage! na unajenga negativity against you, na kwa mlengo huo...
  16. JamiiForums Tanzania Papa Francis: Hisani ya Kichungaji itumike wapenzi wa jinsia moja wanapowaomba mapadri baraka

    Nafikiri huu ndio wakati wa wakatoliki kusilimu au kurejea kwenye dini za mababu. Sisemi kuwa miongoni mwa waislamu hakuwa watu wanao fanya mambo hayo? La haha! Mambo hayo yanafanywa na watu wa dini zote wakristu kwa waislamu. Tatizo ni pale taasisi kama taasisi ya kidini inapo yatambua...
  17. JamiiForums Tanzania Huu Wimbo ni moja ya nyimbo zenye kitu. Na hizi nyingine zenye kujaa Roho ndani yake

    Sikumbuki jina la choir. Ila wanaimba "Mimi ni kitu gani Bwana uniokoe Ninapojitazama mimi sistahili Ninazo dhambi tele Shetani kanisonga Yesu uniokoe Unishike mkono bwana Ni moja ya choir za zamani sana. Kama sikoei ni kutokea Kilimanjaro au Arusha. Pia natafuta na choir ya Moravian...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke akikusaliti na mwanaume mwingine muache mara moja

    Hii hapa ni ngumu kumeza ni kwa ajili ya wanaume, for men saikoloji mwanamke akikusaliti au akikucheat achana nae mara moja , hata kama akikupa sababu yoyote ile. Mapenzi kwa mwanamke(achana na malaya) it involves not only a body, goes way deeper kuliko unavyofikiria. Kitendo cha mwanamke...
  19. JamiiForums Tanzania Kupiga na kutesa wanyama wasio na hatia wala akili ni kiashiria moja wapo cha kuwa na upungufu wa akili (Mbwiga)

    Na ni hasa kwa jamii nyingi za kiafrika, mtu unakuta tu anapenda kuwatesa wanyaa na kuwadharau, ni mtu huyp huyo hujivika unafiki wa kwenda kanisani / msikitini wakati hutesa viumbe vya Muumba Ng'ombe anayechelewesha msafara yuko mbele lakini unakuta mtu anamtia bakora ng'ombe wa nyuma...
  20. JamiiForums Tanzania Wahehe waliwahi kuwa kabila lenye ushawishi na nguvu kubwa nchini. Ni kitu gani kimepeleka anguko lao?

    Ni moja ya kabila lililowahi kuwa na influence serikalini, jeshini, elimu, vyeo vizito, n.k. Kwa sasa ile glory ya wahehe imeporomoka sana, limekuwa kabila la kawaida sana, kilichibaki kuwatambulisha labda historia ya Mkwawa. Nini kimepelekea hali hii?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…