HISTORIA INAANDIKWA!
Kuanzia 2 Julai2026, Air Tanzania itaanza safari za moja kwa moja kati ya Tanzania na Moscow mara 3 kwa wiki kwa kutumia Boeing 787 Dreamliner.
Tanzania imefungua njia mpya na fursa za biashara, utalii, uwekezaji na ushirikiano wa watu kwa watu kati ya Tanzania na Urusi...