mmomonyoko wa maadili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Katambi: Machafuko na uhalifu unaoendelea leo duniani unatokana na mmomonyoko wa maadili

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amesema hayo leo Machi 16, 2026 wakati akiwatunuku zawadi Wakaguzi na Jeshi la Polisi, Jeshi la Magereza na Idara ya Uhamiaji waliofanya vizuri zaidi katika utendaji kazi.
  2. Kimbesa11

    Humu tunaandika Uzi wa kutafuta wanawake wa kuoa kwa lengo la dhati kabisa lakini utakuta Uzi wote umejaa wanaume tupu au ndo mmomonyoko wa maadili?

    Tunaandika Uzi humu kwa lengo la kupata wenza wa MAISHA lakini unakuta Uzi wote wamejaa wanaume tupu au ndo wanaume wanaosemaga siyo riziki? Mwanaume huwezi ukasoma Uzi na ukaachana nao? After all mtu anatafuta mke Sasa unajipitisha ili upate nini? Mnakela sana . Nimeandika Uzi wa kutafuta mke...
  3. E

    Miziki na Movies kwenye mabasi zipigwe marufuku, zinachangia mmomonyoko wa maadili

    Unamlinda mtoto nyumbani kwa kutoangalia mamiziki na movies za kipuuzi lakini unakutana nayo kwenye mabus siku ya kusafiri na mtoto. Mamiziki mengi Kwenye mabus ni ya kipuuzi yenye kutikisa makalio, kuvuta sigara.Pia unakuta wanaweka movies zenye sehemu wakifanya ngono. Kuna siku kwenye bus...
  4. ngara23

    DOKEZO Responded Mmomonyoko wa maadili shule ya Baobab, Mamlaka ziko kimya

    Kuna video zilisambaa zikionyesha mabinti wa Baobab secondary wakifanya video za uchi na vitendo vya usagaji. Hii shule inamilikiwa na nani? Uongozi wa shule ya Baobab haujaomba radhi wala kukemea huu upuuzi, kwa maana utajirudia tena hapo shuleni na una baraka za uongozi. Haya yamevuja...
  5. Dkt. Gwajima D

    Kitabu cha “Mmomonyoko wa Maadili, Nani Alaumiwe” chazinduliwa

    DSM, 3 Julai, 2024. _________________ Mhe. Doto Mashaka Biteko (Mb), Naibu Waziri Mkuu wa JMT🇹🇿 na Waziri wa Nishati, amezindua kitabu cha "Mmomonyoko wa Maadili, Nani alaumiwe" kilichoandikwa na Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania Mhe. Dkt. Abubakar Zuberi. Uzinduzi huo umefanyika Julai 03...
  6. C

    SoC04 Dira ya Maendeleo ya Taifa ya 2050 yenye kuhainisha vipaumbele vya maadili katika kukuza uchumi na ustawi wa jamii

    Utangulizi Dira ya maendeleo ya taifa ya mwaka 2000-2025, iko mbioni kutamatika. Na sasa mchakato wa kupata dira mpya ya maendeleo ya taifa ya miaka 25 yaani TANZANIA TUITAKAYO ya kuanzia 2025- 2050 unaendelea. Vipo vipaumbele ambavyo wanajamii tungetamani viwepo katika nyaja mbalimbali. Hapa...
  7. mwanamwana

    Lugha ya makondakta na madereva daladala inatia hasira, abiria tuwe wakali kukemea mmomonyoko wa maadili

    Mwaramutse nshuti, Mimi sina magari matatu kama ndugu yangu Makamura hivyo hulazimika kutumia usafiri wa umma kama daladala na bajaji kwenda kusaka mkate. Adha kubwa ambazo nimekuwa nikikutana nazo kwenye usafiri huo ni maneno machafu, yasiyo na staha ya makonda na madereva. Imekuwa kama...
  8. Roving Journalist

    Waziri Ulega ashiriki Mkutano wa 52 wa Ahmadiyya, asema mafunzo ya Dini yatumike kuondoa mmomonyoko wa maadili

    Waziri wa Kilimo na Mifugo, Abdallah Hamis Ulega ameyasema hayo wakati alipomuwakilisha Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt.Doto Biteko kwenye Mkutano wa 52 wa Jumuiya ya Waislamu wa Ahmadiyya uliofanyika Kitonga, Msongola, Manispaa ya Ilala, Dar es Salaam. Amesema Mkutano huo...
  9. Roving Journalist

    Mufiti na sheikh Mkuu wa Tanzania awataka Masheikh na Maimamu wote Nchini wakemee mmomonyoko wa Maadili

    Mufti Zubeir awataka Masheikh wa Mikoa, Wilaya, Kata na Maimamu wakemee mmomonyoko wa Maadili Akizungumza katika tukio la Kumbukumbu ya Miaka 8 ya Mufti Dkt. Abubakar Zubeir, leo Juni 22, 2023 katika Ukumbi wa Mfalme Mohammed Vi, kiongozi huyo amesema Sikukuu ya Eid Kitaifa inatarajiwa...
  10. Mwesiga frolian

    SoC03 Mwarobaini Mmomonyoko wa Maadili

    UTANGULIZI Mmomonyoko wa maadili ni kutozingatiwa kwa utaratibu wa maisha unaokubalika katika taifa ambalo limejiwekea na madhara yake ni makubwa kwa jamii na hivyo kuathiri kuongezeka kwa vitendo vya ushoga, uasherati na uzinzi, wizi, ulevi, uvutaji bangi na matumizi ya dawa za kulevya ambavyo...
  11. MamaSamia2025

    Acha makasiriko tafuta hela": kauli inayochochea mmomonyoko wa maadili

    Kwa wakati huu wakati taifa linakabiliwa na tatizo kubwa la kukosa maadili kumetokea pia namna nyingi za shetani na wafuasi wake kuwakatisha tamaa wale wote wanaopigania maadili mema. Imefikia wakati mtu ambaye anashauri kuhusu mwenendo mzuri kwenye jamii kudhalilishwa na kuonekana mjinga na...
  12. NetMaster

    "Mungu anaangalia roho haangalii mavazi" ni kauli inayohamasisha mmomonyoko wa maadili. Wakristo tuwe na msimamo juu ya mavazi kanisani

    NB: mods nawaomben msihamishe huu uzi jukwaa,kuuedit,au kutoa kipande chochote kile, kwa niloandika, Kuna funzo kubwa sana hapa kuzuia kasi ya mmomoo wa maadili (Moral Decay) ambao unazidi kumea. Ni jukumu letu kama wakristo kujaribu kukumbusha waumini juu ya wajibu wao kuvaa mavazi...
  13. Mr Why

    Shule za bweni kwa wavulana ni tishio katika mmomonyoko wa maadili

    Ndugu zangu kuna haja kufanya marejeleo katika suala la shule za bweni kwa vijana wetu wa kiume kwasababu zinachangia kwa kiwango kikubwa katika suala zima la mmomonyoko wa maadili.
  14. Samia atosha tukutane2030

    Mmomonyoko wa maadili chanzo ni wazazi na walezi kwa 99.9%

    Habari! Kuna vitu vinatokea tunaanza kumsingizia shetani au makundi. Hayo makundi mabaya yanaundwa na wanyama? Ni watu ambao wazazi na walezi wao wameshindwa kuwaonyesha njia. Kitaalamu tunasema tabia ya mtoto inajengwa shule, nyumbani na barabarani. Tone la bahari ukitia kwenye mto wa maji...
  15. Mkulungwa01

    Kwanini wanawake wengi ni single mothers?

    Salaam! Kama ilivyo ada natumai ni wazima wote. Ngoja niende direct kwenye swali, ni kwa nini wasichana wengi siku hizi ni single mothers? Je, kwa kuwa wanawake wengi hawataki kutoka kimapenzi na wanaume wasio na mbwembwe, majivuno, waongo, masharobaro, wale wa show offs n.k? Nafikiri...
  16. Daudi1

    Mada: Kwanini tumefika hapa?

    Umofia kwenu!!!!!1 Kwanza kabisa niwatakie heri ya mwaka mpya 2022, ni muda mrefu kidogo nimekuwa ndugu mtazamaji lakini kwa leo naomba nilete hili kwenu. Kwanza kabisa ijulikane taasisi ya mahusiano na ndoa ndio taasisi mama katika kuishape jamii, kumbuka taasisi hii ndiyo inayozalisha...
  17. M

    Mmomonyoko wa maadili: Nimevifuma vitoto kichakani vinafanyana

    Ni Vitoto vya Umri wa kati ya miaka Mitano hivi ila sijajua ni wapi vimejifunza aina ya Ngono niliyowafuma nayo wakifanya Kichakani. Kweli kama Baba ( Mzazi ) nilipowabamba nilipandwa na Hasira Kali na kutaka Kuwaadhibu ila kwa ule Ufundi niliowakuta wakiuonyesha ilinilazimu tu niwaamuru...
Back
Top Bottom