mmoja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania KCMC Yaruhusu mtu mmoja tu kumuona mgonjwa

    Uongozi wa Hospitali ya KCMC umetoa taarifa ya kuruhusu mtu mmoja tu kumuona mgonjwa ambaye atakuwa amelazwa hospitalini ambao watakuwa na vitambulisho maalum Aidha wagonjwa wanaoenda klini au kuanzamatibabu wametakiwa kwenda peke yao au kuwa na ndugu mmoja iwapo watakuwa wamezidiwa
  2. JamiiForums Tanzania Arusha: Mtoto anyongwa na Mfanyakazi wa ndani

    Mtoto wa mwaka mmoja, Tifan Osward wa Olasiti Arusha amenyongwa na msaidizi wa kazi za ndani aliyeajiriwa miezi miwili iliyopita. Msaidizi huyo ambaye ametokea Mkoa wa Mara aliajiriwa na wazazi wa mtoto huyo miezi miwili iliyopita. ACP Justine Masejo, Kamanda wa Polisi Arusha amesema tukio...
  3. JamiiForums Tanzania Sababu ya mwanamke kuzaa watoto zaidi ya watatu kwa wakati mmoja yatajwa

    Mwanamke wa Afrika Kusini , Gosiame Thamara Sithole amejifungua watoto 10 na kuvunja rekodi ya kuzaa watoto wengi. Mara nyingi huwa ni matokeo ya kufanya tiba ya uzazi - lakini wapenzi hawa wanasema wao walitumia njia ya asili kupata mimba. Teboho Tsotetsi, mume wa mwanamke huyo mwenye miaka 37...
  4. JamiiForums Tanzania Mawazo yangu: Itungwe sheria kuzuia teuzi nyingi za fasta kwa Wakati mmoja

    Anapoingia Rais mpya Kama tulivyoshuhudia kwa Mh. JPM na sasa mama SSH, teuzi nyingi zinafuata. Naona zinaharibu utendaji kwani Strategic plans za nyuma hazitekelezwi na wale Waliokuwa ofisini kwani wanahamishwa hamishwa mno. Pia anapokuja mtu mpya kwa ofisi ataanza na yake, hii siyo sawa...
  5. JamiiForums Tanzania Daniel Kolenda kuhubiri mikutano minne kwa wakati mmoja

    Ni mrithi wa Reinhard Bonnke, atahubiri kuanzia leo Morogoro, Iringa, Mbeya na Dodoma. Ninasogea eneo la tukio Morogoro. Nitawaleta mrejesho itakavyokuwa. Mungu awabariki wote watakaohudhuria mikutano hii ya cfan-,christ for all nations.
  6. JamiiForums Tanzania Sweden Hakuna cha Lockdown wala Barakoa: Lakini Hamna Hata Mmoja Anaye Wanyoshea Kidole

    Siyo WHO wala vyombo vya habari vya kimagharibi ambavyo vinawanyooshea kidole Sweden kwa hatua yake ya kupambana na uviko-19. Sweden imeamua kuto funga nchi, pia kutoshurutisha watu wake kuvaa barakoa. Lakini ajabu ya mtende siyo Dr Tedros Adhanom Ghebreyesus wala BBC ambaye hata amediriki...
  7. JamiiForums Tanzania Hakuna Mchezaji wa Yanga hata Mmoja anaeweza kwendana kiwango na CKM Mugalu

    Utopolo wanaendesha kampeni za Kijinga sana ili tumuone mugalu hafai Kumbukeni Mugalu kwa kasi na ubora alionao, hakuna forwad wala straika wa kulingana nae viwango pale jangwani. Na infact chochote kinaweza kutokea anaweza kuwa best scorer kama bocco na Kagere wasipochukua
  8. JamiiForums Tanzania Je, umelelewa na Mzazi Walimu, maisha yalikuwaje?

    Habari, Wote wazima, okay. Kama mada inavyosema, Je, mmoja wa wazazi wako alikuwa ni mwalimu au ni mwalimu, Je kipindi unasoma Hali ilikuwaje hapo nyumbani!?
  9. J

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa BAWACHA Rorya ahukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela

    Mwenyekiti wa BAWACHA Rorya ambaye jana alihudhuria kongamano la CHADEMA leo amehukumiwa kwenda jela mwaka mmoja. Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Mbowe yuko ziarani mkoani Mara. Taarifa rasmi itawajia punde. Kazi Iendelee!
  10. JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza CCM na Chadema tunaweza kusimamisha mgombea mmoja 2025

    Ukipita mitandaoni vijana wengi wa Bavicha wanamkubali sana mama, wanamkubali wengine wanasema anaupiga mwingi kwelikweli yaani Messi huyu hapa. Hata viongozi kadha waandamizi wa Chadema wanasema mama ndiye rais waliomtegemea baada ya Chadema kuanzishwa. CCM pia wanamkubali mama ile mbaya na kwa...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akutana na kufanya mazungumzo mfanyabiashara Alhaj Aliko Dangote

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani amekutana na kufanya mazungumzo na Mfanyabiashara maarufu kutokea Nigeria Alhaji Aliko Dangote Mazungumzo hayo muhimu yalifanyika leo Mei 24, 2021 Ikulu Jijini Dar es salaam Alhaji Dangote ni mfanyabiashara mkubwa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mbezi beach, Dar: Jimson Kibiki, apigwa risasi na Majambazi wakati akitoka benki kuchukua hela, wamnyang'anya Mil 4

    Afande sina cha kueleza, taarifa zinajitosheleza hapa chini! Tukio la kusikitisha limetokea leo mchana maeneo ya Juliana Mbezi beach ambapo Jimson Kibiki amefariki baada ya kupigwa risasi. Kutokana na vyanzo vya mashuhuda Jimson alivamiwa alipokuwa ametoka bank na kuporwa na majambazi kiasi...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Anna Elisha Mghwira anarudi ACT? CCM atakaa kama mwanachama wa kawaida? Vitawezekana kweli?

    Mwenye majibu ya maswali hayo anisaidie. Zitto atamkubali? CCM anakaa akiwa amekatwa mkia vitawezekana kweli? Wana visa na Mama maana kustaafu siyo kweli maana sidhani kama yeye ndiye ana umri mkubwa sana kuliko Makongoro... na wengine?
  14. JamiiForums Tanzania MOROGORO: Mtu mmoja afariki baada ya kuigonga Treni

  15. JamiiForums Tanzania Hivi mtu mmoja aliisimamisha nchi?

    Najiuliza hili swali hadi nachoka. Kwa mapinduzi yanayoendelea leo kupitia awamu ya sita iliwezekanaje? Ni utii wa aina gani watu hujengewa? Au ni uoga wa aina gani watu hupandikizwa? Au ni heshima? Leo hii Rais aliye madarakani anasema ni mpumbavu pekee asiye ns akili kufikiria uhusiano na nchi...
  16. JamiiForums Tanzania Malezi ya mzazi mmoja ni magumu sana, wahenga walilitambua hili

    Wahenga walitambua ugumu wa familia kukosa mzazi mmoja. Ukifiwa na mke unatafutiwa mke wa kuoa ma ukifiwa na mume unatafutiwa ndugu wa mume akiongea. Sababu kubwa ilikua watoto wa marehemu wasipate tabu pia kuwe na mtu wa kuwafunza nidhamu na maadili katika jamii. Sababu jamii ikikua inaishi...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia ataenda tena kujitambulisha wapi? Sijasikia akizindua hata mradi mmoja

    Akiwa nchini Kenya, Rais Samia alieleza kuwa nia ya kuizuru Kenya mapema sana ilikuwa kujitambulisha kwa majirani kwa kuwa alikuwa "mpangaji mpya"! Leo akizungumza na wanaoitwa "wazee wa Dar es Salaam" amekariri tena ya kuwa ataendelea kuzuru nchi mbalimbali akitoa sababu ileile ya...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Kuna siku mbunge mmoja kati ya hao 19 wenye utata ataeleza ukweli wa kilichotokea, Wanawake hawana koromeo

    Tunakumbushana tu kama kuna kitu kinafanywa siri kati ya wabunge 19 wasiojulikana chama chao, basi siri hiyo iko karibu kutoka. Ikumbukwe kati ya wabunge hao 19 siyo wote wamekata rufaa Baraza kuu la CHADEMA. Unajua ni kwanini? Viongozi wa CCM wengi siyo wajanja, siasa za CHADEMA ni za kimjini...
  19. JamiiForums Tanzania Ndugai ni Spika asiye na sifa za kuwa spika

    Kutokana na Mgogoro ambao umemhusu Mbunge wa kibamba Mhe John Mnyika nimebaini Pasipo na shaka kuwa Job Ndugai ambae ni Spika, hana uwezo kabisa wa kuongoza chambo kikuu cha maamuzi kama Bunge. Japo kuwa ni Spika Tayari lakini tunatakiwa kujua kuna watu ni Marais lakini hawana sifa za kuvaa...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi tuna majirani wa aina gani, hakuna hata mmoja aliye kwenye mataifa 20 bora Africa

    Tuna majirani wa hovyoo sana, full wazembe tu, hapa naponda hata Uganda, yaani wote waliotuzunguka ukianzia kule kwa vita vita kama Somalia na Sudan Kusini uje mpaka kwa wale hujiita vinara wa amani na wenye wingi wa raslimali, Tanzania, wote hakuna hata moja ndani ya mataifa yenye HDI bora...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…