mmoja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Jerry Silaa: Serikali iwe na Mfumo mmoja wa Kielektroniki wa kuendesha Shughuli zake

    Mbunge wa Ukonga akichangia bajeti ya Wizara ya Habari na Mawasiliano leo Bungeni, amesema licha ya Serikali kuwa na Kituo cha Taifa Cha Takwimu za Mtandao (NIDC) na Mamlaka ya Serikali ya Mtandao (eGA) ambayo inasimamia mifumo ya Tehama ya serikali bado nchi yetu haina Mfumo Mkuu wa Kanzidata...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kama wewe mrefu na una demu mmoja tafakari

    Hakuna mtu mrefu anakataliwa na mademu labda uwe mchafu yani hujipendi la sivyo jihakikishie mademu wanakupenda ukiona wanakukataa hao mademu sitaki nataka yani wanakupima tu ila uwezo wa kukukataa hawana. Wanaume wanaokataliwa na mademu ni vijeba yani wafupi na ukiona mfupi kakubaliwa uyo...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mengi yamefanyika chini ya Mwaka Mmoja. Nayakumbuka haya machache ya Mwaka mmoja wa Rais Samia ongeza yako

    Mengi yamefanyika chini ya Mwaka Mmoja. Nayakumbuka haya machache ya Mwaka mmoja wa Rais Samia ongeza yako… 1. Amepunguza gharama za matibabu ya figo kwa asilimia 66. 2. Amejenga madarasa 1500 nchi nzima. 3. Amevifungulia vyombo vya habari vilivyofungiwa. 4. Amemalizia Ujenzi wa Daraja...
  4. JamiiForums Tanzania Ripoti: Mtu mmoja hupoteza maisha kila baada ya sekunde 48 kwa njaa Afrika Mashariki

    Mashirika ya kibinadamu yameonya kuwa nchini Ethiopia, Kenya na Somalia, mtu mmoja hupoteza maisha kila baada ya sekunde 48 kutokana na njaa kali inayohusishwa na migogoro, mabadiliko ya hali ya hewa na kupanda kwa gharama ya chakula. Kwa mujibu wa ripoti ya #Oxfam na #SavetheChildren...
  5. JamiiForums Tanzania Ajira kwa Watoto ni Uovu wa Kijamii Unaomuathiri Kila Mmoja

    Je, unaweza kufikiria maisha yako na mafanikio yako bila elimu uliyopata? Watoto wengi duniani, ikiwemo Tanzania, wanaibiwa fursa za maendeleo zinazoletwa na elimu bora kwa sababu wanasukumwa kufanya kazi ili kupata riziki ya kifedha. Kwa mujibu wa UNICEF na ILO, takribani mtoto 1 kati ya 10...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Wagombea huru wa urais kumchagua mmoja atakayewawakilisha uchaguzini

    Wawaniaji huru wa urais walidokeza kuwa watamchagua mmoja wao, ili awawakilishe kwenye uchaguzi mkuu wa Agosti 9, kwa minajili ya kuboresha nafasi zao za kuteuliwa Haya yanajiri baada ya Afisi ya Msajili wa Vyama kuthhibitisha kuwa wawaniaji huru zaidi ya 45 walikuwa watawania urais bila...
  7. JamiiForums Tanzania Simba Inahitaji "Msema Utumbo" mmoja, Ahmed hawezi

    Kwa Wajihi na Kaliba ya kimuonekano ya Bw Ahmed Ally hafananii kabisa na wala hana uwezo huo linapokuja swala la kutaka kutupa dongo, na haswa kama anataka kujibizana na Msema hovyo wa ile Timu Pinzani ya Uto. Huwa nakunja vidole(cross fingers) kila mara anapozungumza Bw Ahmed Ally kwa kutamani...
  8. JamiiForums Tanzania Mwinyi Jr anaweza kuweka rekodi ya kuwa Mmoja ya Marais wachache wenye akili kutawala Afrika Mashariki

    Ametulia sana tofauti na wengine wengi. Anaonekana kujali sana maslahi ya Wazanzibar na yupo smart kupata anachotaka kwa ajili ya watu wake. Siku tukipata Rais wa namna hii ambaye atatanguliza Tanzania mbele tutafika mbali sana. Ingekuwa si Mzanzibar ningesema 2025 aje agombee huku lakini...
  9. JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Anaachwaje kichaa mmoja hivi anasema ‘Mama hatukuelewi’?

    "Tulifungia vyombo vya habari, tumevifungulia bila masharti, je hawamuelewi mama? Wafanyakazi wa Umma walikaa miaka mingapi bila kupandishiwa mshahara? Mama juzi kasema jambo lenu lipo, halafu anakuja mtu anasema mtaani watu hawamwelewi mama?" ~Nape Nnauye ---- Waziri wa Habari, Mawasiliano...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Ndani ya Mwaka mmoja, Rais Samia katoa Ajira zaidi ya 50 Elfu, Vijana tunashukuru sana

    Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, baada ya kusota kwamiaka sita tangu 2015 mpk 2021 bila ajira huku tukidanganywa kama watoto eti tuuzie biashara popote hata barabarani na kwenye round about za miji hatimaye 2021 march tulipata mkombozi wa vijana, Ni ukweli usiopingika Samia umejaribu...
  11. JamiiForums Tanzania Vita ya Clatous Chota Chama Vs Pablo mmoja kuondoka SIMBA

    Tetesi kutoka msimbazi ni kuwa kiungo wa Simba,Clatous Chotta Chama na Kocha Mkuu Pablo Franco walirushiana maneno kwenye vyumba vya kubadilishia nguo Aprili 30, 2022 katika mchezo wa Derby ya Kariakoo dhidi ya Yanga. Inaelezwa tukio ndilo lililisababisha Pablo kumtoa Chama na nafasi yake...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Tanzania Bilionea ni mmoja tu ,wengine ni Oligarchy

    Kwanza lazma tujue oligarchy ni nani , na bilionea ni nani. Kiufupi oligarchy ni kikundi Cha watu/mtu wenye feza nyingi sana yaani matajiri ambapo utajiri wao unatokana na serikali iliyopo madarakani kuwapa nguvu huyo na wanatumia na serikali kujipatia utajiri either kwa kupeana mikataba kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Ni bora uolewe Mke wa pili na Mwanaume mwerevu kuliko ujitie kuolewa kama mke mmoja na Mwanaume asiyejielewa

    NI BORA UOLEWE MKE WA WAPILI NA MWANAUME MWEREVU KULIKO UJITIE KUOLEWA MKE MMOJA NA MWANAUME ASIYEJIELEWA! Anaandika, Robert Heriel. Angalizo; Ujumbe huu utawahusu binti zangu tuu, na wanawake wote werevu ikiwapendeza wafuate maneno yangu. Hivyo ni kusema ujumbe huu sio wa watu wote. Taikon...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Ipi fridge nzuri ya mlango mmoja?

    Nataka kununua fridge ya mlango mmoja kwa ajili ya matumizi ya nyumbani.Nimeona fridge za kampuni zifuatazo; 1.Mr Uk 2.Boss na 3.Hisense. Hisense compressor yake iko nje na haina bulb kwa ndani. Mwenye ufahamu na hizi fridge naomba ushauri nichukue ipi?
  15. JamiiForums Tanzania Karma Sio Mchezo!, Hatimaye 'Wasiojulikana' Hawa!, Waanza Kutajana!. Asiyejulikana Mmoja Awataja Wenzake!. Do We Have, a Hopeless Police Force?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na Kwa Maslahi ya Taifa, Leo Kwa Maslahi ya Taifa ni uwezo wa Jeshi letu la polisi ku deal na hawa watu wanaitwa *wasiojulikana", maana sasa ni kama wanaanza kutajana kiaina!. Naomba kuanza bandiko hili Kwa msisitizo, nimeuliza swali, "...
  16. JamiiForums Tanzania Mbowe pamoja na kuchangisha pesa mikakati iwe kuchukua dola 2025. CCM haikubaliki kabisa maana kwa mwaka mmoja tu imepoteza nguvu

    Anza mikakati ya kutafuta wagombea makini kwa ajili ya udiwani, ubunge na urais. Pia chaguzi za serikali za mitaa. Msisitizo ni kuwa hii ni wananchi kuikataa hii CCM ya wapiga madili hii ndio iwe hoja kuu. Wewe binafsi usigombee maana haukubaliki. Tafuta watu makini. 2025 ushindi upo wazi kabisa.
  17. JamiiForums Tanzania Jamii ingechukulia kwenda shule Kama utamaduni mmoja kwa binadamu kamili tusingekuwa na presha kwa kukosa kuajiliwa

    Wazazi waache kuwalaumu watoto wanapofeli shule kwa kigezo Cha kuwa hutofanikiwa. Wazazi wawekeze mda mwingi na watoto juu ya nidham ya fedha ili wao nao waweze kuwafikisha watoto wao mbali kielimu. Shule tungeiona Kama tamaduni yenye kumuimarisha kijana kiakili na kifikra kuwa bora zaid...
  18. JamiiForums Tanzania Makonda akajisafishe mahakamani, he is a diplomatic embarrassment, nchi isibebe mzigo wa mtu huyu mmoja, Rais Samia fanya uamuzi mgumu

    Ndicho anachotaka USA, Makonda apelekwe mahakamani peleka stoo huyu mtu, mahusiano ya nchi yetu na USA ni muhimu kuliko huyu mtu mmoja asiye na faida yoyote. Juzi kanusa ziara ya mama kwenda kwa wabaya wake akaanza kujiliza liza Downgrading ya kidiplomasia inatokana na makonda, who is he...
  19. JamiiForums Tanzania Ripoti hii ya CAG asilimia kubwa ni ya enzi ya utawala wa Jiwe, ulijaa upigaji

    Wale wanazi wa Jiwe wanadai kwamba katika awamu yake hapakuwa na upigaji, kulikuwa na upigaji sana kuliko utawala wowote tangu nchi hii iumbwe. Mama Samia anajikita kurekebisha mifumo ya nchi, sio kufokafoka mabarabarani, mifumo inaziba upigaji, na ni endelevu, mifumo inafoka yenyewe
  20. JamiiForums Tanzania Nihifadhi wapi pesa zangu ndani ya mwaka mmoja?

    Habari wakuu, nina uhakika wa kupata shilingi 5,000/= - 10,000/= kwa kila siku. Ni wapi hasa nitahifadhi shilingi hizi ndani ya miezi sita hadi mwaka na ziendelee kuwa salama? Nimejaribu kufikiria kufungua "ka akaunti labda benki" lakini kikwazo sina kitambulisho chochote cha kuniwezesha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…