mmoja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mtoto kutembea uku akichapia mguu mmoja

    Habari za muda, Niende kwenye kuonba msahada mtoto wangu kwa sasa ana umri wa miaka 3 ila kuna hali inayo mtokea nimeshidwa kutambua nini naomba kufahaam mtoto kucha tembea uku akichapia mguu mmoja ambao ni wakulia mwanzo niliona labda atakuwa ameumia kwa michezo ikapita miez kama miwili akawa...
  2. B

    Dkt. Samizi atoa ufafanuzi jimboni kuhusu mwanaume mwenye mke zaidi ya mmoja na namna atakavyohesabiwa

    *📸DKT. SAMIZI ATOA UFAFANUZI JIMBONI KUHUSU MWANAUME MWENYE MKE ZAIDI YA MMOJA NA NAMNA ATAKAVYOHESABIWA. Mbunge wa Jimbo la Muhambwe Mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence George Samizi akitoa elimu ya Sensa kwa Wananchi wake Jimboni Muhambwe. Kwenye ziara hii, Dkt. Samizi ameendelea na ziara yake...
  3. Ni vigumu sana serikali kupandisha mishahara wakati uchumi wetu haujulikani umesimama vipi na serikali haina mapato ya kutosha

    Mshahara ulopendkezwa na TUCTA ni 1, 010,000 kwa mwezi na huo watosha kukabiliana na gharama za maisha. Kuna masuala kama mfumuko wa bei kwa bidhaa muhimu na pia gharama zingine za maisha kama malipo ya pango, matibabu hospitalini na malipo ya huduma zingine kama umeme na maji. Lakini serikali...
  4. Watu 20 wa Ukoo mmoja wafariki kwa ajali ya Mashua Pakistan

    Miili 20 imeopolewa na na takriban watu 30 hawajulikani walipo baada ya mashua iliyokuwa imebeba zaidi ya watu 100 wa ukoo mmoja kupinduka kwenye mto katikati mwa Pakistan. Boti hiyo iliyojaa mizigo ilikuwa ikielekea katika harusi ya kifamilia ilipopinduka katika Mto Indus katika wilaya ya...
  5. Albert Msando: Wanahabari kuweni watetezi wa Haki za Binadamu, msiegemee upande mmoja

    Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Albert Msando amewataka wanahabari kuendelea kufanya kazi kwa bidii na ueledi zikiwemo za utetezi wa Haki za binadamu ili kuongeza tija katika kuwahabarisha wananchi taarifa zilizojitokeza na zitakazojitokeza. Msando amesema hayo Mkoani Morogoro wakati akifungua...
  6. TANZIA Pacha waliotenganishwa, mmoja afariki dunia

    Mtoto mmoja kati ya waliofanyiwa upasuaji wa kutenganishwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Neema amefariki dunia wakati akiendelea na matibabu Jumapili Julai 10, 2022. Taarifa ya Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano kwa Umma wa MNH, Aminiel Aligaesha imeeleza kuwa hali ya Neema...
  7. Kituo gani kizuri kwa Dar es salaa kinafundisha A-level(form 5&6) kwa mwaka mmoja.

    Wadau wa Elimu kwa Dar es salaam kituo kipi kinafundisha vizuri masomo ya A-level (form 5&6) kwa mwaka mmoja.
  8. Eng. Hersi usipigie debe mgombea mmoja kiti Cha makamu wako

    Inaonekana kuwa unampenda Arafat moyoni kwako, lakini kwenye kazi sio hivyo. Tuache sisi wanachama tukupatie makamu wa rais wako wa club. Kupigia debe mgombea mmoja na kumuacha mwingine sio afya sana kwa club, hasa yule unaempigia debe akiangushwa kwenye kisanduku cha kura. Wacha kila mtu...
  9. N

    Hayati Magufuli alikuja kuharibu maisha ya vijana, Mimi ni mmoja wa wahanga

    Nasikitika sana! Mimi ni kijana mmoja wapo kati ya vijana wengi walioharibiwa maisha yao! Siku zote ukweli hujitenga na uongo, sisemi uongo utawala wote wa awamu ya tano nimehangaika sana. Nilihitimu chuo 2015 kada ya afya! Kutokana na uhaba wa ajira nilikaa sana kitaa nikifanya mishe mishe...
  10. Watoto 30,000 wakimbia makazi Msumbiji ndani ya mwezi mmoja

    Vurugu zinazoendelea Kaskazini mwa Msumbiji zikihusisha mapigano ya wenyewe kwa wenyewe zimesababisha zaidi ya watoto 30,000 kukimbia makazi yao hadi kufikia mwishoni mwa Juni, 2022. Hiyo ni idadi kubwa kuwahi kurekodiwa ndani ya mwezi mmoja katika mapigano hayo. Mashambulizi mengi yametokea...
  11. J

    Mwaka mmoja wa Rais Samia na RC Kafulila ukusanyaji mapato Simiyu sasa ni mara tatu zaidi, maajabu ni Itilima kukusanya TZS 1.4BL

    Nilipokuja Simiyu kuanza kazi mwaka jana 2021 baada ya Rais Samia kuapishwa kuwa Rais wa JMT na kuniapisha kuwa mkuu wa mkoa wa Simiyu. Nilikuta halmashauri zina hali mbaya sana kwenye usimamizi wa mapato. Maswa ilikuwa imekusanya 39% ya lengo, leo imefika 120%. Mapato kwa miradi ya...
  12. M

    Mwaka mmoja tu, matumizi kodi za umma hovyo, harufu ya ufisadi, Tozo lukuki kwa wananchi maskini. Je, baada ya miaka mitatu?

    Hapa mnatakiwa mjiulize kwa kutumia akili sana. Kwamba sasa mnaekea wapi watanzania? Tozo kibao kila kukicha. Matumizi ya ajabu ajabu tu. Kwanu Uhuru Kenyatta hana wajomba huko Usa? Vipi kuhusu mikataba ya kijanja wizara ya nishati na madini. Mahindra tech, Lindi Lng. Huu ndio mwanzo tu...
  13. Rais Samia tafadhali muangalie sana Waziri wako Mmoja usidhani anakunyooshea njia bali anakupeleka Shimoni mazima

    Kwa jinsi huyo ( huyu ) Waziri anavyokukaanga kila mara huku Wewe ukiona anapatia na Serikali yako inaenda vyema nakuhakikishia Mama ( Rais Samia ) kwa Usununu ( Uchungu ) wa Watanzania ambao nawasikia sehemu mbalimbali kama Uchaguzi Mkuu wa 2025 CCM ( kupitia Serikali yako ) na Vyombo vyako...
  14. Aise huo msururu wa wageni bungeni leo huna ndugu yako hata mmoja pole sana

    Nimeona huo msururu wa hao waandamizi kutoka taasisi mbalimbali. Hao wote wanakula kodi zetu aloo. Sasa nawaza wenzangu na mie ambao kati ya hao hamna hata ndugu mmoja hata wa mbalimbali mnajisikiaje eti. Angalau sisi ambao wamo ndugu zetu tunajifariji kuwa angalau Kodi yetu inaliwa na wanetu...
  15. Mwaka mmoja baada ya Magufuli kufariki: TEMESA wanafeli kufanyia ukarabati vivuko vyao. Hii ni harufu ya ufisadi. TANROADS inafanya nini?

    Leo hii baada mzee baba kuondoka na Mhandisi Mfugale kuondoka kwa utata wa mkubwa ambao ulishangaza dunia nzima. Leo hii Temesa wameanza fyongo. Maana kazi ndogo kama service sio ya kusababisha serikali kukodisha vivuko kwa gharama kubwa. Hapa kutakuwa na namna. Watanzania huu ndio wakati wa...
  16. Nilikuwa nakata bia na majamaa, mmoja akaleta za kitoto nikamchapa

    Wakati mwingine najiona Nina matatizo. Siku Moja ikiwa na jamaa zangu tukila yombe, mlevi mwenza akajifanya hamnazo. Nina tabia ya kutopenda upuuzi niwe nimelewa au kavukavu naweza chapa MTU. Wkati flan nilimuomba jiran kwenye daladala anipishe akakataa, nikamkamata shingo na kumtupia Siri ya...
  17. Ngorongoro - Loliondo: Askari Polisi amekufa baada ya kupigwa Mshale mmoja tu, RC Mongella amlilia

    Askari Polisi mmoja ameuawa kwa kupigwa mshale wilayani Ngorongoro mkoani Arusha wakati wa zoezi la uwekaji mpaka katika eneo la pori tengefu kwenye Tarafa ya Loliondo. Taarifa hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongella akisema kwamba kifo hicho kilitokea Juni 10 alasiri, na...
  18. Nilivyoingiza 17.6M ndani ya mwaka mmoja na nusu, kwa biashara ya Mgahawa kwa mtaji wa kawaida kabisa

    Habari zenu humu ndani? si muandishi mzuri sana wa nyuzi humu jf ila leo nimejisikia kushare kitu kidogo na nyinyi juu ya biashara, nikiamini kwamba naweza kubadili fikira za baadhi ya vijana na wazee humu juu ya biashara. Kwa taaluma mimi ni Civil Engineer na huwa napata vikazikazi ambavyo...
  19. Je, mzizi mmoja unaweza kustawisha mti?

  20. Nishati; Utitiri wa Miradi, (Mnaonaje tukimaliza Mmoja kwanza kabla ya Kuanza Mwingine)

    Nimesikia hapa Makamba akiwasilisha miradi inayopangwa kufanywa katika bajeti ijayo na pesa lukuki iliyotengwa, kwa ajili ya miradi, (yaani ni miradi bandika bandua). Ni Vema na Haki..., ila swali, si bora tungemaliza kwanza mradi mmoja kuliko kushika shika hapa na pale..., Wahenga walisema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…