mmoja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Leo ndio siku ya kuwaacha mademu wangu wote nitumie mbinu gani nibakize mmoja tu?

    Habari ndio hiyo. Siwatakini nyie wote, namtaka mmoja tu kati yenu nyie wote. Watu wa takwimu wameshindwa kuniweka mmimi kwenye category yangu special, nina mademu 14 ila mmoja tu ndio nimempenda. Kawazidini nyie wengine wote akili, ujuzi, maarifa na kila kitu. Nyie wengine mmemzidi mwenzenu...
  2. JamiiForums Tanzania Je, inawezekana mtu akasoma degree au diploma mbili tofauti (course) kwa wakati mmoja au tofauti?

    Habari, wana JF ninaomba kupata ufahamu wa kuhusu elimu ya vyuo tanzania kuanzia vyuo vya kati na vyuo vikuu. Je, inawezekana mtu akasoma degree au diploma mbili tofauti (course) kwa wakati mmoja au tofauti. Kwa mfumo rasmi kabisa wa TCU au NACTE Mfano. Mr Frank anasoma degree ya sheria UDSM...
  3. JamiiForums Tanzania Je, Wachagga na Wamasai ni ndugu moja?

    Nilikuwa nasoma kitabu Desturi za Wachagga, by S. J. Ntiro, 1953. Jisomee mwenyewe. MLANGO WA 5 ASILI YA WACHAGGA Wachagga ni kabila lenye mchanganyiko wa makabila mengi sana. Makabila haya yameingia katika nchi ya Kilimanjaro katika nyakati tofauti. Makabila mengi yameingia Kilimanjaro...
  4. JamiiForums Tanzania Muda umefika sasa kukagua vyeti vya waheshimiwa walioko bungeni ili kuhakiki elimu ya kila mmoja

    Wiki hii tumeshudia bungeni wabunge na mawaziri wakiringishiana viwango vya elimu wengine wakitamba na PHD zao kwamba ni za darasani sio za kupewa na wengine wakiambiwa hawana elimu ni waganga wa kienyeji. Ni muhimu Spika wa Bunge kuruhusu uhakiki wa vyeti vya elimu kwa wabunge ili kujua ukweli...
  5. JamiiForums Tanzania We are looking for sales person and sales commission agent for a home appliances retail shop

    To all, We are looking for sales person and 3 sales commission agents for home appliances retail shop Duty station:Ilala manicipal in Dar es salaam. Roles for sales person: 1. Welcoming and explain products to the walking in customers who visit our store or social platforms pages. 2. Open a...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Leo kabla ya kujadili siasa kila mmoja ahakiki namba yake kwa kupiga *106#

    Zimebaki siku chache kufikia Tar 13 Februari 2023. Hakiki Leo. Piga *106#, chagua 5 kisha chagua 1 kuhakiki namba kuu au chagua 2 kuhakiki namba za ziada. Pia unaweza kutembelea duka au Wakala wa mtandao wako kuepuka laini kufungiwa. #HakikiLainaYako #2023kidijitalizaidi
  7. JamiiForums Tanzania Ni nani aliyekuja kutupa formula, ukiwa na mafanikio kidogo, unatakiwa uzae watoto wawili au mmoja?

    Kumekuwa na tatizo la watu kutozaa watoto wengi kama zamani; kisingizio kikiwa ni ugumu wa maisha au kuonyesha kuwa wamestaarabika. Hii imepelekea baadhi ya wazee wengi kuishi pekee yao, pamoja na kuwaongezea misongo ya mawazo; ikiwa ni pamoja na kujutia kwa nini katika ujana wao walizaa watoto...
  8. O

    JamiiForums Tanzania Na Kila Mmoja Wetu Popote Naawe Mtulivu: Tuliangalie Suala la Mapenzi ya Jinsia

    Jambo lolote ambalo linafafanuliwa kama dhambi ni ouvu. Hii ni kwa sababu dhambi ni kosa dhidi ya akili na dhamiri safi. Kwa hiyo si tu kuhusu mapenzi ya jinsia moja au ndoa za jinsia moja, lakini kwa kweli mambo yote yanayokatwa na amri kuu ya mapendo kama ilivyofafanuliwa na amri kumi za...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Bunge letu lina wataalam wa uchumi wangapi? NI kweli kwamba yupo mmoja pekee?

    Kwanini tunaaminishwa kwamba mtaalamu na msomi wa uchumi NI mmoja tu Bungeni? Kama waziri wa Fedha ndiye mchumi pekee kwenye Bunge zima hoja za kiuchumi zitajadiliwa vipi? Kwanini nchi ikubali kuwa na mchumi mmoja Tu na anayeamini yeye ndiye mtaalam wa uchumi na kwamba mtu mwingine yeyote...
  10. JamiiForums Tanzania Tim Martins mmiliki wa pub za Weatherspoon ni mmoja wa walipa kodi wakubwa nchi Uingereza

    Tim hakua na uwezo mkubwa wa masomo darasani, kuna mtu alinisimulia kuwa jina la Weartherspoon lilikua jina la mwalimu wake aliyemtakia kwa hasira “Tim you’re good for nothing, you can not write essays nor manage solving mathematics questions “. Baada ya kuachana na masomo Ali hustle na pub...
  11. JamiiForums Tanzania Mawaziri wanajifungia kwenye viyoyozi wakilamba asali walalahoi wakishindwa kupata mlo mmoja

    MTANZANIA Mzalendo, Mussa Okoko amewatupia lawama Mawaziri kuendelea kulamba asali huku walalahoi wakishindwa kupata mlo japo mmoja kwa siku "MCHELE KILO MOJA 4000 UNGA KILO 2000 MAHARAGE KILO 4000,DAGAA KILO 7000,NYAMA KILO 10000 MCHICHA FUNGU 600, MAWAZIRI WANAJIFUNGIA KWENYE VIYOYOZI...
  12. JamiiForums Tanzania Ili kuinua ubora wa elimu kila mmoja anapaswa kuwajibika na kucha mchezo wa lawama

    ILI KUINUA ELIMU NCHINI TUNAHITAJI KUWAJIBIKA Ili kuweza kuinua ubora wa elimu tunapaswa kutambua kinaganaga maeneo yote ya uwajibikaji, kutambua wakati maeneo hayo yanapokuwa na tatizo, mahali panapokuwa na tatizo na hatua zinazopaswa kuchukuliwa. Hii ndiyo maana ya uwajibikaji. Kukosekana...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri; Tujipange kubadilika; Huenda miaka ijayo binadamu mzee zaidi ataishi mwaka mmoja tu na kuzeeka

    Ulishawahi kuwaza zamani watu waliishije zama wayahudi? Walikuwa na maumbo gani? Mfano ukiangalia umri wa maisha ya mfalme Suleimani alivyoishi miaka ile na wake zake?,vipi kuhusu kina yakoub, Daudi, ibrahim na wengine? Naomba hili niliweke kimahesabu ili tuone mantiki! Sitaki kujiuliza sana...
  14. JamiiForums Tanzania Mazoezi ya kuzuia majanga ya moto yazua taharuki TRA Dodoma, mmoja akimbizwa Hospitali

    Baada ya watu 191 kunusurika kwenye tukio la moto katika jengo la Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), tukio hilo limetajwa kuwa ni mazoezi ya kukabiliana na majanga ya moto. Licha ya kunusurika huko mmoja wa wafanyakazi wa Mamlaka hiyo alikimbizwa katika kituo cha afya cha Makole kupatiwa...
  15. JamiiForums Tanzania Kukalia kimya uhalifu ni kutotekeleza jukumu la kiraia

    Watu wengi wanaamini kwamba kupambana na uhalifu ni jukumu la vyombo vya usalama pekee. Lakini ukweli ni kwamba vyombo hivyo haviwezi kudhibiti uhalifu peke yao. Ushiriki wa wananchi katika kupambana na uhalifu ni jukumu muhimu la kiraia na kizalendo. Miongoni mwa mipango inayoweza kutumika...
  16. JamiiForums Tanzania Nilikuwa mmoja ya watu wa kwanza kupinga usajili wa Bernard Morrison na kweli hajaniangusha. Huu ni uhuni kwa sisi Yanga

    Hawa watu niliwakataa 1. Haji Manara (huyu hana akili ila alituona sisi Yanga ndo hatuna akili. Simba wakamfukuza) sisi tukaona tumeokota Dodo. 2. Bernard Morrison (huyu alitudhalilisha sana...tulihangaika TFF, CAF na CAS. alikuwa anatuonesha dharau sana) ameachwa Simba tumemkimbilia ameanza...
  17. JamiiForums Tanzania Nepal: Mmoja alikuwa Live Facebook kabla ndege haijaanguka

    Ndege ndogo ya abiria ilianguka kwenye bonde mkoani Pokhara, nchini Nepal, mapema jumapili. Ndege hii ilikuwa imebakiza sekunde 10 - 20 ili itue kwenye kiwanja kipya cha Pokhara kilichozinduliwa wiki 2 zilizopita. Mpaka hivi sasa watu 68 kati ya 72 waliokuwa kwenye ndege hiyo wamefariki dunia...
  18. JamiiForums Tanzania Mpira wa miguu ni mchezo unaokutanisha msiba na harusi kwenye uwanja mmoja

  19. L

    JamiiForums Tanzania Viongozi wanavyosema kila siku vijana wajiajiri, kuna hata mmoja kati yao amejiajiri?

    Hivi, viongozi wanavyosema kila siku vijana wajiajiri, kuna hata mmoja anaesema hayo, amejiajiri? Mie, nafikiri wanatumia neno kujiajiri vibaya, mfano: Juzi katambi kasema vijana jitoleeni, msisubirie kuajiriwa, yeye anajitolea? Mie, nadhani sera ya ajira ibadilike watumishi wa umma wawe na...
  20. L

    JamiiForums Tanzania ELIMU BURE: Gharama ya kumsomesha mtoto mmoja wa primary kwa Mwaka ni Milioni 4, na serikali inalipa! Tunapigwa hapa

    ELIMU BURE: Gharama ya kumsomesha mtoto mmoja wa primary kwa Mwaka ni 4MIL, na serikali inalipa kila mwaka Hili limesemwa na Mwenyekiti wa Shule Binafsi Tanzania. Na amemshauri Rais akae na wataalam wake wamwambie ukweli. Anapoteza pesa nyingi sana, wakati Elimu itolewayo duni Bado mtoto...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…