Siku
mgeni akija home kuna ile siku mzazi akijipata mfukoni na pesa ya kinywaji kimoja tu cha mgeni, na kwasababu ana tamani sana kumpokea vizuri mgeni wake, na kumpa chochote kitu, basi soda ilikua ni kitu kizuri kwa macho na kitamu mdomoni... Tunaita Kinywaji laini.
Sasa hapo Mtoto ilikua ni...