Hatimaye nimefikisha mwaka mmoja without Sex

🌈🏳️‍🌈🌈
Ni haki yako kuhisi hivyo nakumbuka nilifilisika mwaka 2020 nikafunga maduka yote mawili huku nadaiwa...duka la kwanza nikidaiwa milion 12 na duka jingine nikidaiwa milion 7 na madeni hayo yalikuwa ni bidhaa nilizokakopa kwa hayo makampuni(mali kauli) bila shaka waliopo mtwara mjini sokoni washanijua ....na pia nikidaiwa pango la miezi 10 ambayo ni milion 2.. mke akaanza usaliti wa waziwazi kabisa ila baadae nikaja kujua ukweli kuwa hakuwahi kunipenda ila akijilazimisha tu kwa miaka yote tuliyoishi pamoja yeye alikuwa na mtu wake...baada ya hayo yote nikakimbia mji nikahamia sehemu nyingine nilikaa mwaka na miezi miwili bila kusex
 
Changamsha genge tu mkuu don't take it too personal. Ingawa binafsi ata wiki tu sitoboi
 
Faida nilizopata ni nyingi Sana...
Mimi sio yule wa mwaka 2025 -july najishukuru,

Hamu ya sex sometimes ilikua kali sana ila nilifanya mazoezi makali Gym, na kufikiria mambo magumu yasiyo na majibu kwenye real world.
Hongera sana mkuu.Siku ukitoa vyombo lazima vitakuwa vikali kama pilipili kichaa.A mere joke,easy!
 
Ni haki yako kuhisi hivyo nakumbuka nilifilisika mwaka 2020 nikafunga maduka yote mawili huku nadaiwa...duka la kwanza nikidaiwa milion 12 na duka jingine nikidaiwa milion 7 na madeni hayo yalikuwa ni bidhaa nilizokakopa kwa hayo makampuni(mali kauli) bila shaka waliopo mtwara mjini sokoni washanijua ....na pia nikidaiwa pango la miezi 10 ambayo ni milion 2.. mke akaanza usaliti wa waziwazi kabisa ila baadae nikaja kujua ukweli kuwa hakuwahi kunipenda ila akijilazimisha tu kwa miaka yote tuliyoishi pamoja yeye alikuwa na mtu wake...baada ya hayo yote nikakimbia mji nikahamia sehemu nyingine nilikaa mwaka na miezi miwili bila kusex
Aisee
 
Aisee Sex mnaichukuliaje sijui🤔 so ukifanya kuna ubaya gani kwamba hata usipofanya ionekane ni ushujaa
Usipo fanya unajiepeusha mizinga, ukimwi , kaswende , kisonono , UTI , hepatitis na nk , ukifanya unapingwa vizinga , unachanganywa na vidume 300 mnaoshea sehemu moja , na kujiweka kwenye hatari ya magonjwa , ndio maana ukijiepusha unaonekana kipanga
 
Back
Top Bottom