jamaikatz JF-Expert Member Joined Jul 11, 2023 Posts 395 Reaction score 1,398 Jul 15, 2026 #1 Broo haijalishi mwanamke wako ana sali kiasi gani Na ni mpole kiasi gani Ila ukweli halisi wa mwanamke wako upo kwenye simu yake
Broo haijalishi mwanamke wako ana sali kiasi gani Na ni mpole kiasi gani Ila ukweli halisi wa mwanamke wako upo kwenye simu yake
jambo Dunia JF-Expert Member Joined Jun 6, 2026 Posts 219 Reaction score 569 Jul 15, 2026 #2 Sasaa itakuwajeeee
Adolfms JF-Expert Member Joined Nov 28, 2017 Posts 976 Reaction score 1,399 Jul 15, 2026 #3 jamaikatz said: Broo haijalishi mwanamke wako ana sali kiasi gani Na ni mpole kiasi gani Ila ukweli halisi wa mwanamke wako upo kwenye simu yake Click to expand... Usitafute misiba ya mbali na kuileta kwako. Utalia mwaka mzima
jamaikatz said: Broo haijalishi mwanamke wako ana sali kiasi gani Na ni mpole kiasi gani Ila ukweli halisi wa mwanamke wako upo kwenye simu yake Click to expand... Usitafute misiba ya mbali na kuileta kwako. Utalia mwaka mzima
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 177,921 Reaction score 195,671 Jul 16, 2026 #4 Poleni sana... Cc: Mahondaw