Nimeingia kwenye 18 ya Mapenzi ya Mlokole lakini nimetoka kapa

Money Penny

JF-Expert Member
Jun 20, 2016
15,921
14,820
Leo natoka Kanisani nakutana na mdogo wangu mmoja kachooooka maskini, nikahisi labda ana Corona.
Katika ongea ongea nae nikagundua kachapwaaa kimapenzi, aliingia kwenye 18 ya dada mmoja Mlokole alafu akaona hapati anachokitaka akasepa mwenyeweπŸ˜‚πŸ˜‚πŸƒπŸƒ

Kijana: Sister Penny bwana, me nilimpenda Sana Yule demu Yule pale lakini Kila nikijaribu kurusha ndoano zangu zinafeli,

Money Penny: Ulirushaje ndoano tena dogo

Kijana: nilirusha ndoano nyingi Sana Ila hizi 3 ndio zinanifanya mpaka sasa nicheke na kuchoka

Ndoano ya 1:
Nilimkaribisha nyumbani kwetu, ndugu zangu sikuhio walishangaa nawafukuza namleta Mlokole, akaja akapokelewa vizuri siku hio Kila MTU nyumbani aliokoka, akaombea nyumba nzima akaondoka, nyumbani wakacheka Sana kuona nimempata binti WA KILOKOLE, basi katika wasiliana wasiliana nakaniambia anataka kuwa Kila wiki tuwe tunafanya fellowship pale nyumbani, basi Kila ijumaa kukawa na fellow-ship home Kwa muda WA Miezi 2.

Nikawa nafunga na mie na kuomba nikawa kama Mlokole lakini nimependa so najifunza Kwa bidii kuwa Mlokole

Ndoano ya 2:
Alikuwa ashazoea mazingira ya home, nikamkaribisha aje home skumoja tukawa tunaangalia Tv, movie ya Mapenzi, ikafika sehemu wale waigizaji kwenye TV wakawa wana-kiss akawa anaona aibu, nikamsogelea na Mimi nimbusu akanistopisha, namwuliza kulikoni Ananiambia unajua nimewaza mbali sana hapa, nilipowaona hawa waigizaji nikamkimbia Abraham na Sarah, nikawaza kipindi Chao walipendanaje?! Dah, hapo niliposkia ananiletea sound za Biblia nikakata hata stimu ya kuendeleza nilichopanga

Ndoano ya 3:
Nikamwambia naota mapepo, nahisi majibu Mahaba usiku nikilala. naomba uje uombee chumba changu, akakubali.
Akaja kesho yake tukafanya maombi chumbani kwangu fresh alipomaliza, nikamshika namvuta aje kitandani, si unajua tena dada Penny...

Money penny: enhe, ikawaje?!

Kijana: doh nilifeli mbaya
Akaniambia Kwa ukali unataka kunifanya nini?wataka kunibaka?! Nikamkatalia, nikamwambia unajua sister Mimi nakupenda Sana, sitaki kukuchezea nataka kukuoaπŸ˜‚πŸ˜‚

Yule demu akawa analainika aliposkia anataka kuolewa akaniambia ngoja nikwambie Kaka yangu, sio kwamba nakataa kuolewa na wewe, lakini juzi Kaka Fredi pale Kanisani kwenye sekshen ya maombi alinifuata akaniambia nimekuomba, mume wako ni Godi, kwahiyo sioni wapi nitaolewa na wewe ndio nashangaa na Mimi namwamini Sana Kaka Fredi NI mwana maombi WA nguvu hivyo Mimi na wewe haitawezekana kuoana.

Money penny: doh pole Sana Mdogowangu, sasa unafanyaje?!

Kijana: nikamfukuza, akaondoka na akawa akinitafuta kwenye simu sipokei, hasa ule muda WA fellowship akipiga sipokei nikaishia kumblock🚢

Lakini hapa nimemwona na Godi roho imeniuma Sana, Yani binti aliingia kwenye 18 zangu, kinachoniuma NI kwamba sijui nimekosa kosaje?!

Jamani kijana WA watu alifeli wapi?! Mnaweza kunisaidia?! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ
Chezeiya Mungu anakuona weweπŸ˜‚πŸ˜‚πŸƒπŸƒπŸƒ
1589301117737.jpg

Write your reply...DAAH WALE LABDA WAKUELEWE WEWE ILA NSHAWAHI KUMSOUNDISHA MMOJA KIBISHI BISHI AKAINGIA LAINI ILA KUTOA TUNDA DAAH UTASEMA NILIKUWA NIKAMA VILE MUHITIMU UALIMU SHAHADA YA SANAA ANAENGOJA AJIRA SERIKALINI HUO MCHAKATO ULIKUWA MREFU SANA

NIKAAMIA HADI KANISA LAO MAMBO YA MIKESHA KWENDA NI YAKE YAANI USIOMBE NIKASEMA KAMA KUKU NI WAKO ATAINGIA BANDANI TU MAANA DAAH SIJAWAH FUKUZIA PAPUCHI KIBISHI HIVI NIKAINGIZA STORY ZA KUMUOA AKAINGIA KINGI

SIKU MOJA NIKAJIFANYA NPO MAGETON NIMEZIDIWA NAUMWA ALIVOKUJA NIKAANZA UCHOKOZI ALIANZA KUKATAA LAKINI SHETANI NI SHETANI TU AKAINGIA KINGI NIKATAFUNA BAADA YA HAPO AKAWA ANAILETA MPAKA BASI YANI NON STOP SUPPLY OF PAPUCHI SOMETIMES ANAAGA ANAENDA KANISANI ANAKUJA KUSHINDIA MJALUBENG DAAH ACHA TU

ILA KAMA KAWAIDA NIKAMPIGA CHINI NB : HUA HATUACHI TUNAPUNGUZA MAWASILIANO TU HALAFU TUNATOWEKA
 
Hahah Huyo Dogo kafeli pakubwa sana mabint waliookoka kweli sio easy kama alivyokua akidhani yani ni kawaida tu anaweza kuja geto na akatoka salama kabisa ila wale walokole uchwara ndo huwa wanaliwa kimasihara Mwambie atafute saizi yake kutoka Tigo
 
Walokole bana wanagongana wao kwa wao labda binti wa kilokole aanze kukupenda wewe......Wale ma kwaya Masta wanawagonga sana wanapoenda kuimba kwaya au kwenye mikesha yaoo
Mmmh sio kweli bwana, SA kwenye kwaya wanahonganaje labda?? Alafu mkesha wanakulanaje?! Acha uongo uende Mbinguni
 
Dada habari, nasikia corona "imekutikana" kwenye manii. Chukua tahadhali wakati unapokuwa kwenye LIBENEKE huko.
 
Dah we jamaa wewe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ur a criminalπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ
Mungu anakuoooona ujue dah, kwahiyo ulimbikiri?!
πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ
Write your reply...DAAH WALE LABDA WAKUELEWE WEWE ILA NSHAWAHI KUMSOUNDISHA MMOJA KIBISHI BISHI AKAINGIA LAINI ILA KUTOA TUNDA DAAH UTASEMA NILIKUWA NIKAMA VILE MUHITIMU UALIMU SHAHADA YA SANAA ANAENGOJA AJIRA SERIKALINI HUO MCHAKATO ULIKUWA MREFU SANA

NIKAAMIA HADI KANISA LAO MAMBO YA MIKESHA KWENDA NI YAKE YAANI USIOMBE NIKASEMA KAMA KUKU NI WAKO ATAINGIA BANDANI TU MAANA DAAH SIJAWAH FUKUZIA PAPUCHI KIBISHI HIVI NIKAINGIZA STORY ZA KUMUOA AKAINGIA KINGI

SIKU MOJA NIKAJIFANYA NPO MAGETON NIMEZIDIWA NAUMWA ALIVOKUJA NIKAANZA UCHOKOZI ALIANZA KUKATAA LAKINI SHETANI NI SHETANI TU AKAINGIA KINGI NIKATAFUNA BAADA YA HAPO AKAWA ANAILETA MPAKA BASI YANI NON STOP SUPPLY OF PAPUCHI SOMETIMES ANAAGA ANAENDA KANISANI ANAKUJA KUSHINDIA MJALUBENG DAAH ACHA TU

ILA KAMA KAWAIDA NIKAMPIGA CHINI NB : HUA HATUACHI TUNAPUNGUZA MAWASILIANO TU HALAFU TUNATOWEKA
 
Dada habari, nasikia corona "imekutikana" kwenye manii. Chukua tahadhali wakati unapokuwa kwenye LIBENEKE huko.
Unaongea na Mimi au unaongea na walokole
Usituletee nuksi zako za Corona sie tunamdiscuss Yesu
 
Hahah Huyo Dogo kafeli pakubwa sana mabint waliookoka kweli sio easy kama alivyokua akidhani yani ni kawaida tu anaweza kuja geto na akatoka salama kabisa ila wale walokole uchwara ndo huwa wanaliwa kimasihara Mwambie atafute saizi yake kutoka Tigo
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Akija Geto anatoka salama sioπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwahiyo mademu WA KILOKOLE wamba sio?!
Ogopa Sana raia za Kanisa, tisher Sana kama upepo WA Kisulisuli πŸƒπŸƒπŸƒ
 
Sinaga hamu na mabinti wa kilokole, nilishakuwa na binti mmoja hivi yeye kila siku yupo bize na kanisani kumbe analiwa na waimba kwaya wenzake,
Ila mimi nikiomba papuchi napigwa kalenda kama vile naomba ajira.
 
Leo natoka Kanisani nakutana na mdogo wangu mmoja kachooooka maskini, nikahisi labda ana Corona.
Katika ongea ongea nae nikagundua kachapwaaa kimapenzi, aliingia kwenye 18 ya dada mmoja Mlokole alafu akaona hapati anachokitaka akasepa mwenyeweπŸ˜‚πŸ˜‚πŸƒπŸƒ

Kijana: Sister Penny bwana, me nilimpenda Sana Yule demu Yule pale lakini Kila nikijaribu kurusha ndoano zangu zinafeli,

Money Penny: Ulirushaje ndoano tena dogo

Kijana: nilirusha ndoano nyingi Sana Ila hizi 3 ndio zinanifanya mpaka sasa nicheke na kuchoka

Ndoano ya 1:
Nilimkaribisha nyumbani kwetu, ndugu zangu sikuhio walishangaa nawafukuza namleta Mlokole, akaja akapokelewa vizuri siku hio Kila MTU nyumbani aliokoka, akaombea nyumba nzima akaondoka, nyumbani wakacheka Sana kuona nimempata binti WA KILOKOLE, basi katika wasiliana wasiliana nakaniambia anataka kuwa Kila wiki tuwe tunafanya fellowship pale nyumbani, basi Kila ijumaa kukawa na fellow-ship home Kwa muda WA Miezi 2.

Nikawa nafunga na mie na kuomba nikawa kama Mlokole lakini nimependa so najifunza Kwa bidii kuwa Mlokole

Ndoano ya 2:
Alikuwa ashazoea mazingira ya home, nikamkaribisha aje home skumoja tukawa tunaangalia Tv, movie ya Mapenzi, ikafika sehemu wale waigizaji kwenye TV wakawa wana-kiss akawa anaona aibu, nikamsogelea na Mimi nimbusu akanistopisha, namwuliza kulikoni Ananiambia unajua nimewaza mbali sana hapa, nilipowaona hawa waigizaji nikamkimbia Abraham na Sarah, nikawaza kipindi Chao walipendanaje?! Dah, hapo niliposkia ananiletea sound za Biblia nikakata hata stimu ya kuendeleza nilichopanga

Ndoano ya 3:
Nikamwambia naota mapepo, nahisi majibu Mahaba usiku nikilala. naomba uje uombee chumba changu, akakubali.
Akaja kesho yake tukafanya maombi chumbani kwangu fresh alipomaliza, nikamshika namvuta aje kitandani, si unajua tena dada Penny...

Money penny: enhe, ikawaje?!

Kijana: doh nilifeli mbaya
Akaniambia Kwa ukali unataka kunifanya nini?wataka kunibaka?! Nikamkatalia, nikamwambia unajua sister Mimi nakupenda Sana, sitaki kukuchezea nataka kukuoaπŸ˜‚πŸ˜‚

Yule demu akawa analainika aliposkia anataka kuolewa akaniambia ngoja nikwambie Kaka yangu, sio kwamba nakataa kuolewa na wewe, lakini juzi Kaka Fredi pale Kanisani kwenye sekshen ya maombi alinifuata akaniambia nimekuomba, mume wako ni Godi, kwahiyo sioni wapi nitaolewa na wewe ndio nashangaa na Mimi namwamini Sana Kaka Fredi NI mwana maombi WA nguvu hivyo Mimi na wewe haitawezekana kuoana.

Money penny: doh pole Sana Mdogowangu, sasa unafanyaje?!

Kijana: nikamfukuza, akaondoka na akawa akinitafuta kwenye simu sipokei, hasa ule muda WA fellowship akipiga sipokei nikaishia kumblock🚢

Lakini hapa nimemwona na Godi roho imeniuma Sana, Yani binti aliingia kwenye 18 zangu, kinachoniuma NI kwamba sijui nimekosa kosaje?!

Jamani kijana WA watu alifeli wapi?! Mnaweza kunisaidia?! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ
Chezeiya Mungu anakuona weweπŸ˜‚πŸ˜‚πŸƒπŸƒπŸƒ
Nawe vistory vyako vya kihanga vinaboa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom