mlima

The Mlima Combani and Mlima Mtsapéré Important Bird Area lies in the north-central part of the French island territory of Mayotte in the Comoro Islands, lying at the northern end of the Mozambique Channel between the East African country of Mozambique and Madagascar.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Simba yapewa odds mlima kwenye kampuni za betting! Mhindi hajawahi kuliwa.

    Mhindi hajawahi kubahatisha pale linapokuja swala la betting, Simba Sc kupewa odds kubwa dhidi ya mpinzani wake Wydad AC ina maana gani? Ni mtego au? Mliosoma Cuba tuna mtudadavulie tafadhali
  2. JamiiForums Tanzania Kuna Watu waliwekeza muda Wao mwingi kutuombea mabaya Simba SC Jana wakati Leo wana Mlima mrefu kwa Wapopo

    Jitu linaingia Kibanda Umiza halafu Wachezaji wa Wydad Casablanca FC wanakosa Magoli linaumia kweli kweli wakati lenyewe lina Kazi kweli leo kwa Wapopo ( Wanaijeria ) ambapo nina uhakika litafungwa tu.
  3. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gachagua: Transfoma za Wanaume Mlima Kenya zimezima kwa sababu ya pombe

    Nyeri, Kenya Naibu Rais ameachilia kombora la utani kwa wanaume wa eneo la Kati, akidai wameshindwa na majukumu muhimu ya ndoa kwa sababu ya kutekwa na ulevi. Bw Gachagua alisema wanaume wa Mlima Kenya wamekuwa mateka wa pombe, hasa ile haramu. Alisema athari za pombe zimewalemea kiasi cha...
  4. JamiiForums Tanzania Watalii wenye Figo 1 waanza kupanda mlima Kilimanjaro

    Watu 31 ambao wanaishi na figo moja, wameanza safari ya kuupanda mlima Kilimanjaro, lengo likiwa ni kuihamasisha jamii kujitolea kuchangia kiungo hicho kwa ndugu jamaa na marafiki wenye uhitaji. Maadhimisho ya siku ya figo duniani, huadhimishwa Machi 9 ya kila mwaka, kwa lengo la kuhamasisha...
  5. JamiiForums Tanzania Wamtumainio Bwana ni kama Mlima Sayuni, kamwe hawatotetereka

    Najua unapitia magumu katika haya maisha ijapokuwa unajaribu kuonesha tabasamu lako ila moyoni umebeba huzuni kubwa sana! Magonjwa yanakuandama, mikosi na mabalaa biashara zako hazisongi mbele, kazi hauna, najua unajiona usiye na bahati sana haswa ukizingatia madeni yanayokuandama. Usichoke...
  6. JamiiForums Tanzania Jirani Zetu Hawajanyang'anya Mlima Kilimanjaro Pekee Hata Waimbaji

    Sina haja ya kueleza hii inajieleza
  7. JamiiForums Tanzania Mlima Kilimanjaro haujaheshimika kutowekwa kama nembo kwenye noti ya elfu10

    Hello hello, Mlima(Mt.)Kilimanjaro the pride of Tanzania. Ebu ifike pahala kama taifa tuwe serious kwenye fikra na dhamira mbali mbali katika uendeshaji na mipango ya nchi, tutafakari tu, hivi upekee wa Tanzania katika utambulisho wa nembo za rasilimali kuu za taifa kwenye pesa zetu hasa noti...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Tanzania yavunja rekodi kuwa nchi ya kwanza kusimika Intaneti katika kilele kirefu zaidi cha mlima

    Siku ya jana katika maazimisho ya siku ya uhuru waziri wa habari na mawasiliano alifanikiwa kuzindua internet yenye kasi zaidi katika kilele cha Mlima kilimanjaro chenye urefu wa mita 5,895kutoka usawa wa bahari. Huduma hii ya internet ni sehemu ya kuifungua zaidi Tanzania katika Nyanja za...
  9. JamiiForums Tanzania Prof. James Mdoe: Lugha ya Kiswahili ina wazungumzaji takriban milioni 250, sasa kupandishwa Mlima Kilimanjaro

    Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imejizatiti kueneza lugha ya Kiswahili kwa kuimarisha ufundishaji wa Kiswahili katika nchi za Afrika na ulimwenguni kwa ujumla. Akizungumza jijini Dodoma wakati wa kukabidhi bango la Kiswahili kwa watumishi watakaopanda Mlima Kilimanjaro kwa azma ya...
  10. JamiiForums Tanzania Mlima mkubwa zaidi duniani wa Volcano walipuka huko Hawaii

    Mlima wa volcano mkubwa zaidi duniani, Mauna Loa wa Hawaii, umelipuka kwa mara ya kwanza baada ya takriban miaka 40. Huduma ya Jiolojia ya Marekani (USGS) imeonya hali ya mazingira na hewa inaweza kubadilika haraka kuwa ya hatari kwa haraka sana. =================== Mauna Loa, the largest...
  11. JamiiForums Tanzania TANAPA: Ripoti imebaini chanzo cha moto Mlima Kilimanjaro ni shughuli za kibinadamu

    Kamishna William Mwakilema Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) limetoa ripoti ya kukamilisha uzimaji wa moto uliotokea kwenye maeneo ya Mlima Kilimanjaro huku wakibainisha kuwa taarifa za awali zimebaini kuwa chanzo cha moto ni shughuli za kibinadam. Kitengo cha usalama cha TANAPA...
  12. JamiiForums Tanzania Helikopta kutua Mlima Kilimanjaro

    KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imesema imeridhishwa na miundombinu ya utalii ikiwemo viwanja vya kutua helikopta katika Hifadhi ya Taifa ya Kilimanjaro (KINAPA). Mwenyekiti wa kamati hiyo, Ally Juma Makoa amepongeza Wizara kwa kuboresha miundombinu katika eneo la...
  13. JamiiForums Tanzania Nyerere kuweka Bendera kwenye Mlima Kilimanjaro alikuwa na maana gani? Alikuwa anatimiza unabii?

  14. JamiiForums Tanzania UN yautaja Mlima Kilimanjaro kuwa mmoja wa milima itakayopoteza barafu yake mwaka 2050

    Ripoti ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Sayansi na Utamaduni (UNESCO) milima mingi Duniani ikiwemo ile ya Afrika itapoteza barafu kwa kuyeyuka kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa. Hatua hiyo itafikiwa ikiwa hakutakuwa na jitihada za kulinda mazingira na baadhi ya Milima mikubwa iliyotajwa...
  15. JamiiForums Tanzania Moto walipuka tena upya ndani ya Mlima Kilimanjaro

    Achana na ule moto wa wiki iliyopita, habari hii imeripotiwa tena kutokea usiku wa tarehe 29 Oktoba 2022, kuna nini kinaendelea huko katika Mlima Kilimanjaro? Ni majanga ya kawaida au kuna mikono ya watu? Habari yenyewe nimeichukua kama ilivyo, hii paha chini ---------------- Picha ya...
  16. JamiiForums Tanzania Mlima Kilimanjaro unawaka tena moto usiku huu ikiwa ni mara ya tatu kwa mwezi Oktoba 2022

    Mlima kilimanjaro unawaka tena moto usiku huu. KINAPA NA TANAPA AMKENI .
  17. JamiiForums Tanzania Moto uliowaka Mlima Kilimanjaro kwa wiki nzima wadhibitiwa

    Moto uliozuka katika Hifadhi ya Mlima Kilimanjaro nchini Tanzania karibu na eneo la Karanga Camp umedhibitiwa huku eneo lenye ukubwa wa kilometa za mraba 2 hadi 4 zimeteketea. Akizungumza na waandishi wa habari, Ijumaa Oktoba 28, 2022 katika lango la Mweka, Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk...
  18. JamiiForums Tanzania Suala la moto mlima KIlimanjaro

    Nawasalimu wote kwa jina la Jamhuri. Ni zaidi ya wiki sasa moto unaendelea kuwaka katika mlima Kilimanjaro. Na kinachoonekana ni kujaza watu mlimani ambao wanaitwa kikosi kazi bila kufanya kazi ya kuzima moto,wengi wao wameenda kula na kupiga picha tu (selfie) na kuwa kero hata kwa watalii...
  19. JamiiForums Tanzania Moto warejea tena Mlima Kilimanjaro

    Siku chache baada ya Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Pindi Chana kutoa taarifa moto uliokuwa umewaka Mlima Kilimanjaro umedhibitiwa, moto huo umelipuka tena katika maeneo ambayo awali yalidhibitiwa kutokana na upepo mkali. Moto huo ulinza kuwaka Oktoba 21, 2022 katika eneo la Karanga...
  20. JamiiForums Tanzania Nikitizama mlima Kitonga naona pale pia tunaweza pata chanzo cha mapato

    Ndiyo, ule mlima kama serikali ikiangalia kwa umakini inaweza ikawa inatoza kiasi flani kwa kila gari inayopita pale. Kuna magari mengi sana yanapita pale kwa siku. Mengi sana, makubwa kwa madogo. Kule mwanzo kabisa wa mlima chini kungeweka gate. Magari madogo yalipie tsh. 1,000, size ya kati...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…