Mhindi mmoja unauzwa sokoni shilingi mia mbili kwa bei ya jumla.
Mhindi huo ukiuchoma, unatoa vipande vitano vya mia mbilimbili. Hapo faida ni mia nane (800)
Tuseme gharama za uzalishaji ni 300, hivyo 500 ni faida.
Kwa siku makadirio ya chini ni kuuza mahindi 100, hivyo unapata faida ya 500...