a sinner saved by Christ
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 2,611
- 2,801
Yesu yupo karibu yako hayuko mbali na wewe.YESU anajibu maombi ya watu wake ukiomba kwa imani kwa jina la Yesu.
Ukijinyenyekeza chini ya mkono wa Yesu wenye nguvu,ukijiona haufai mbele ya Yesu,ukijiona hautoshi,ukijiona ni mwenye dhambi mbele za Yesu na kukiri kwamba Yesu ni mtakatifu na jina lake lina nguvu na uwezo(TOBA).
Yesu ni mwingi wa rehema na ni mwenye huruma..amejaa msamaha na neema nyingi.
Sisi ni wenye dhambi na Yesu ni mtakatifu,Yesu anatusamehe dhambi zetu tukitubu na anajibu maombi Yetu...(hadithi ya SALA ya maombi ya mlevi imenifundisha kitu.