mkwawa

  1. K

    JamiiForums Tanzania Makala ya Kihistoria na Kijamii: Urithi wa Mtwa Mkwawa na Mmomonyoko wa Msimamo wa Kihehe Kupitia "Uchawa"

    Chief Mkwawa—ambaye jina lake rasmi la kiukoo na kiutawala tangu kuzaliwa ni Chief Mkwavinyika Munyigumba Mwamuyinga—anasalia kuwa alama kuu ya heshima, uzalendo uliotukuka, na msimamo usiotikisika. Makala hii ya kiweledi inachambua ukweli wa kihistoria wa shujaa huyu na kufanya tathmini ya kina...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Wagogo walimbadilisha mkwawa

    Muziwanda ni mtoto wa mwisho kuzaliwa. kwa wagogo yeye ndio mrithi anaefwata baada ya baba kufa. si wagogo Tu! wenye huu utamaduni wa kuwapa pawa watoto wa mwisho hata jamii zingine nje ya afrika wana huu utabaduniunaoitwa wa ultimogeniture (mfumo wa urithi ambapo mtoto wa mwisho kuzaliwa ndiye...
  3. JamiiForums Tanzania CCM ingekuwepo zama za kina Kinjekitile na Mkwawa ingewaita wahaini/magaidi

    Fikiria CCM ndiyo ingekuwa madarakani wakati Kinjekitile Ngwale akipanga vita ya majimaji au Mkwawa akipinga uvamizi wa himaya yake. Unadhani CCM ya wakati huo ingesita kuwaita hao ambao leo tunawaita Mashujaa kuwa ni wahaini au magaidi? Nadhani wakati huo CCM ingempa nishani ya uzalendo na...
  4. JamiiForums Tanzania Mkwawa: Gwiji wa Ujasusi na Vita vya Kimkakati

    👉Iringa si mkoa wa kawaida katika historia ya Tanzania. iringa ni ardhi iliyobeba mizizi ya kwanza ya ujasusi wa kizalendo na mbinu za vita vya kimkakati. 👉Misingi hiyo iliwekwa na mmoja wa viongozi mahiri zaidi kuwahi kutokea Afrika Mashariki, Chief Mkwawa wa Wahehe. 👉Chief Mkwawa...
  5. JamiiForums Tanzania Je,Wajua kuwa ipo Siku Lissu atasomwa shuleni kama shujaa, kama vile ilivyo kwa akina Mkwawa?

    Hakuna marefu yasiyo kuwa na ncha,ndo ninavyoweza kusema kwani hata kipindi akina Nyelele wanapigania uhuru baadhi ya Watanganyika waliwaona kama wana fujo kwani walikuwa wananufaika na uwepo wa wazungu. Ipo siku Mwamba huyu mwenye akiri kubwa hata ya kuweza kusoma report nchi nzima badala ya...
  6. JamiiForums Tanzania Leo Sikukuu ya Mashujaa: Mtwa Abdallah Mkwawa wa Kalenga (1855 - 1898)

    LEO SIKUKUU YA MASHUJAA: MTWA ABDALLAH MKWAWA WA KALENGA (1855 - 1898) Makala hiyo hapo chini ni nyongeza ya makala fupi ilyoandikwa na kijana mmoja kumuadhimisha Mtwa Mkwawa. Makala hii ndiyo iliyonishawishi kunyanyua kalamu: Bismillah... Naomba niongeze taarifa kidogo katika historia ya...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Mkwawa: Shujaa au muonezi

    harakati za mkwawa zilikua ni kukamata himaya moja baada ya nyingine na kuifanya yake. na alizikamata kwa nguvu. inshort alikua mkoloni na na yeye kwa makabila ya jirani. Hakupanga kuacha, mpaka alipokutana na mjerumani. Tunapozungumzia Mkwawa, mara nyingi tunamwona kama shujaa wa kitaifa kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Mkwawa hakujiua. Ni alipotea tu

    Wengi tumekua na kuambiwa na kusoma ya kwamba chifu wa kabila la Wahehe Chifu Mkwawa aka Mkwavinyika Mwamuyinga baada ya kuzidiwa katika vita yake ya mwisho dhidi ya Wajerumank basi alijiua. Ukweli ni kwamba hakujiua. Wakati huu wa mwisho vikosi vya Wahehe vilikuwa taabani baada ya jeshi la...
  9. JamiiForums Tanzania Wahehe walikuwa na uhakika gani kwamba fuvu walilopewa ni la kichwa cha Mkwawa?

    Nianze kwa kumuenzi jemedari Mkwawa kwa ujasiri wa kukabiliana na Wajerumani. Kama kuna mtu ana details za kutosha atusaidie ili tuweze kufahamu kuhusu hii issue. Kama uongozi wa wahehe wakati huo ulikuwa una uhakika kwamba ndio fuvu la chief au tu walifanya kuamini hivyo hivyo na kulipokea.
  10. JamiiForums Tanzania Adam Sapi Mkwawa alishika nafasi ya Spika mara 2

    Adam Sapi Mkwawa alishika Uspika mara mbili, kwa anayejua kwa nini atusaidie. Erasto Andrew Mbwana Mang'enya alishika miaka 2 tu baadae Adam akaja kushika tena.
  11. JamiiForums Tanzania MSAADA: Yeyote aliyewahi kutumia Nokia N95 naomba anipe ujuzi kidogo

    Habari za muda huu wana JF, Kheri ya mwaka mpya wote tuliovuka salama, natumai mko salama. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba msaada kwa yeyote aliyewahi kutumia Nokia NSeries naomb anipe maelekezo kdg kuhusu hizi simu upande wa mtandao na pia nawezaje kupata battery lake iwe Dar es...
  12. JamiiForums Tanzania Ushauri: Nina mchumba anasoma chuo cha Mkwawa Iringa, napitia magumu sana!

    Wadau tupeane uzoefu kidogo, nina mpenzi wangu au niseme mchumba maana hata kwao nimepeleka mahari, huyu dada ni msukuma wa Lunzewe, yupo chuo cha Mkwawa Iringa mwaka wa mwisho! Tatizo linakuja usiku hapokei simu kabisa. Nikimuuliza anadai huwa anachoka, akipata tatizo la pesa anapiga simu...
  13. JamiiForums Tanzania Mliokuwa short-listed MUCE, mmeona interview number?

    Habari zenu wanaJF Naomba kuuliza kwa wale waliokuwa-shortlisted MUCE, vip mmeona interview number kwenye account zenu? Maana mimi kwangu hadi sasa hivi hamna kitu na interview ni kesho.
  14. JamiiForums Tanzania Ben lyakwipa mwanafunzi wa Mkwawa enzi hizo aliyekikosoa kitabu cha Abot kwà ufasaha

    Kuna mwamba mmoja alisoma mkwawa sec enzi hizo alikuwa kipanga balaa. Nini kilitokea Rekodi yake ni unwritten kwasababu miaka hiyo kitabu cha Abot na nadhani mpaka sasa kilikuwa kinatolewa kwà matoleo (editions) sasa huyu mwamba alifanya jambo kubwa mno ila halijasimuliwa popote.
  15. JamiiForums Tanzania hivi kwanini njia (under ground ways ) cha chini kwa chini za shule sekondari mkwawa (kwasasa mkwawa college of education ,muce ) zilifungwa ??.

    habari zenu wakuu , moja kwa moja kwenye mada , siku ya jumapili nilipata nafasi ya kumtembelea mzee mmoja mstaafu maarufu sana hapa Iringa . Mzee huyu yeye alikuwa mwalimu ambaye enzi za utumishi wake alipata nafasi ya kufundisha katika shule mbali mbali hapa Iringa kama vile kleruu , mawelewe...
  16. JamiiForums Tanzania Multiple Positions at Mkwawa University College of Education (MUCE)

    Multiple Positions at Mkwawa University College of Education (MUCE) June, 2022 The Mkwawa University College of Education is a constituent college of the University of Dar es Salaam in Iringa, Tanzania. The College was established in 2005 following the upgrading of the former Mkwawa High School...
  17. JamiiForums Tanzania Ruaha mto uliolipiza kisasi cha kifo cha Mtwa Mkwawa 1898

    RUAHA MTO ULIOLIPIZA KISASI CHA KIFO CHA MTWA MKWAWA 1898 Katika askari mamluki walitoka Mozambique kuja German Ostafrika kuja kupigana katika jeshi la Wajerumani dhidi ya Mtwa Mkwawa na Abushiri bin Salim majina yao yanafahamika. Majina haya yamefahamika kwa sababu mtoto wa mmoja wa hawa...
  18. JamiiForums Tanzania Kamati ya Bunge: Uongozi wa Chuo Kishiriki cha Elimu Mkwawa (MUCE), Jikite kutangaza fursa za Shahada za Umahiri

    Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii Mhe. Stanslaus Nyongo (Mb) ameushauri uongozi wa Chuo Kishiriki cha Elimu Mkwawa (MUCE) kujikita kutangaza fursa hasa za Shahada za Umahirii ili kuongeza mapato ya ndani ya chuo hicho. Ameyasema hayo mkoani Iringa mara...
  19. JamiiForums Tanzania Hii gari inaitwa Ford consul model ya mwaka 1954 ni gari ambayo ilimilikiwa na Adam sapi mkwawa alikuwa spika wa bunge la Tanzania

    Remember
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…