AFRIKAN GUY
Senior Member
- Jun 26, 2015
- 104
- 112
Muziwanda ni mtoto wa mwisho kuzaliwa. kwa wagogo yeye ndio mrithi anaefwata baada ya baba kufa.
si wagogo Tu! wenye huu utamaduni wa kuwapa pawa watoto wa mwisho hata jamii zingine nje ya afrika wana huu utabaduniunaoitwa wa ultimogeniture (mfumo wa urithi ambapo mtoto wa mwisho kuzaliwa ndiye anayepata urithi au nafasi kuu ya familia, badala ya mtoto wa kwanza.)
Mfumo huu ulipewa nguvu na hadhithi za chini ya mti. Kwenye hadith za wagogo zote zilikua zikimpa sifa na nguvu mtoto huyu wa mwisho yeye ndio mtoto mwenye hekima na kipaj kikubwa kuliko wote.
Sasa tuje kwa mkwawa:
Wahehe hawakua na utamaduni huu. Kwa wahehe: first born ndio powerfull.
Mkwawa hakua first born lakini aliweza kua mfalme katika jamii yake ya wahehe. HOW?
Baada ya Baba yake mkwawa kuporwa ufalme na MWAMBAMBE, Mama wa mkwawa alimtorosha last born wake katika jamii ya wagogo. Alipewa ujasiri mkubwa sana na wagogo kupitia hadithi za kale za kuwakweza lastborn.
hadithi hizo zilimpa power ya kurudi uhehe na mwaka akampindua mwambambe, kwa kishindo. akawa mfalme.