mkuu

Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wana Simba SC Wote twendeni na Wakili Moses Stewart Kalua kwa nafasi ya Uenyekiti katika Uchaguzi Mkuu ujao wa Simba SC

    Wana Simba SC wote (hasa Wanachama) mkikosea tena, mkarubuniwa na Kuhongwa Pesa za Msoga na Salamander na Kumrejesha tena Uongozini Murtaza Mangungu (Mwenyekiti anayemaliza muda wake) nitawadharau na nitaichukia Klabu Daima kwani nitaamini kuwa mtakuwa mmekubali Kuuhalalisha Ubingwa wa Yanga SC...
  2. JamiiForums Tanzania Vyama vya Siasa nchini huu ndio wakati sahihi wa kutafuta ushindi wa kura za Uchaguzi wa Mkuu wa 2025, amkeni!

    Habari za asubuhi Siku zinakwenda, mambo mengi yanabadilika, watanzania wanabadilika lakini hatari ni kwamba mifumo na miongozo ya vyama vingi vya siasa inabaki ileile ya kufanya mambo kwa mazoea. Hivi, viongozi wa vyama vya siasa pinzani mlishawahi kujiuliza ni nini kipya mnaweza ambia...
  3. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya na Katibu Tawala wafikishwa Mahakamani kwa Uhujumu Uchumi

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imewafikisha Mahakamani Mkuu wa Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya, Ruben Mfune na Katibu Tawala Msaidizi wa Fedha mkoani Kilimanjaro, Juma Masatu kwa tuhuma za uhujumu uchumi na kuisababishia Serikali hasara ya Sh51 milioni. Wawili hao walidaiwa...
  4. JamiiForums Tanzania Sikuwahi kujua kuwa CCM inamiliki na Migodi

    Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza. Sikuwahi kujua kuwa sisiemu inamiliki na Migodi.. Je kuna Migodi mingine ambayo Chama tawala kinamiliki? Na huu Mgodi jina lake unaitwaje? Angalia video hii inayomuonesha waziri Mkuu, Kasimu Majaliwa akitembelea mgodi wa makaa ya mawe uliopo Mdunduwalo...
  5. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa Mara aagiza wazazi wa watoto 70 waliokeketwa wakamatwe

    Mkuu wa Mkoa wa Mara Meja Jenerali Suleiman Mungiya Mzee tarehe 10/1/2023 ameliagiza Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Tarime/Rorya kuwakamata wazazi/walezi wa watoto 70 waliokuwa wamekimbilia AFTGM Masanga kukwepa ukeketaji na baadaye kurejeshwa kwa wazazi wao baada ya kipindi cha ukeketaji...
  6. JamiiForums Tanzania Ukiondoa Waziri Mkuu, anayefuata kwa kazi nzuri ni Waziri wa Kilimo Hussein Bashe

    Sijawahi kufuatilia kwa ukaribu kazi za huyu jamaaa anapotembelea wakulima hadi nilipoona akaunti ya wizara ya kilimo huko Tiktok. Kiukweli HUSEIN BASHE anafanya kazi nzuro sana ya kuwanyanyua wakulima! Ni vile tu Awamu ya TANO ilivuruga mifumo mingi sana hadi kwenye kilimo na hii inapelekea...
  7. JamiiForums Tanzania Ukiondoa waziri mkuu anayefuata kwa Kazi nzuri ni Waziri!

    Sijawah kufuatilia kwa ukaribu kazi za huyu jamaaa anapotembelea wakulima hadi nilipoona akaunti ya wizara ya kilimo huko Tiktok. Kiukweli HUSEIN BASHE anafanya kazi nzuro sana ya kuwanyanyua wakulima! ni vile tu Awamu ya TANO ilivuruga mifumo mingi sana hadi kwenye kilimo na hii inapelekea...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Vishkwambi walivyoahidiwa walimu vimeenda wapi?

    Vishkwambi walivyoahidiwa walimu kupata vimepotelea wapi. Ingekuwa Enzi za JPM:- (1) Vishkwambi vingekuwa vilishasambazwa muda mrefu. (2) Hakuna Kishkwambi hata kimoja ambacho kingekwapuliwa kama ilifanyika sasa.
  9. JamiiForums Tanzania Ni ipi nafasi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwa sasa?

    Anapoapishwa Rais, nafasi ya kwanza kuteuliwa ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Walioweka utaratibu huu hawakuwa wajinga kwa sababu kila jambo analofanya Rais linatakiwa kuwa sawa kisheria hivyo ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali ambaye anapaswa kumshauri Rais kuhusu maamuzi yake yote ili yawe...
  10. JamiiForums Tanzania "Panya" - alitolewa kwa helikopta na kusafirishwa hadi mji mkuu.

    KWELI DUNIANI WATU WAWILI-WAWILI... Jamaa huyo ambaye ni moja ya cast kwenye series ya MONEY HEIST anaefahamika kwa jina la Denver anaonekana kufanana au mwenye mwonekano unaofanana na OVIDIO GUZMAN the son of JOAQUIN EL CHAPO Tetesi hizi za kufanana kwa wawili hao zimechipuka na kuanza...
  11. JamiiForums Tanzania Jamaa kamweka mwenye Kampuni (Mkurugenzi Mkuu) Kiganjani. Hakohoi Kampuni kama yake

    Namfahamu huyu jamaa sababu nliunganishwa naye kufanya naye deal flani ya kupiga pesa. Si unajua ukiwa Serikalini inabidi ule na washika dau. Sekta binafsi. Mimi ndo maeneo yangu hayo. Jama ni dereva na ndo mshauri mkuu wa Mmiliki wa Kampuni Mhindi mmoja hivi Town. Yaani jamaa ni mchawi...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Songwe Waziri Kindamba kuongoza maombi maalumu ya kumuombea Rais Samia na taifa

    Ndugu Zangu Watanzania, Mkoa Wa Songwe unaoongozwa na mh Waziri Kindamba unafanya maombi maalumu ya kumuombea mh Rais wetu mpendwa Mama Samia Suluhu Hassan pamoja na Taifa letu,Mkoa wa songwe kwa kutambua kazi kubwa na ya kutukuka iliyofanywa na mh mama Samia umeona umuhimu wa kumwomba Mwenyezi...
  13. JamiiForums Tanzania John Mnyika na John Heche turufu ya CHADEMA kuelekea uchaguzi mkuu 2025

    Sitashangaa endapo mmoja kati ya hawa magwiji wa siasa za hoja wakipata nafasi ya kupeperusha bendera ya kugombea urais wa Tz kupitia CDM. Jamaa wana uelewa mpana kwa kugonga spana kwa hoja kali sana, Pili hawa jamaa hawana makando kando mengi kwa jamii hivyo wananchi wanaowafatilia kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Hongera Masuguri Mkuu wa Majeshi Mstaafu kwa kuongeza umri miaka 103

    Leo tarehe 4 Januari 2023, Mkuu wa zamani wa Jeshi la Wananchi (JWTZ) Jenerali David Musuguri ametimiza miaka 103 ya kuzaliwa, Jenerali alizaliwa tarehe 4 January, 1920. Ktk siku ya leo Watanzania tunakupongeza na kukuombea sana kwa Mwenyezi Mungu akupe Afya na Maisha Marefu zaidi na Zaidi...
  15. JamiiForums Tanzania Sri Lanka yatangaza uchaguzi mkuu wa kwanza tangu kujiuzulu kwa Rais

    Sri Lanka imetangaza uchaguzi wake wa kwanza nchini kote tangu rais wake kutoroka na kujiuzulu kutokana na maandamano yaliyoenea, na kuvuruga Nchini .. kura za serikali za mitaa zitafanyika kabla ya mwisho wa Februari, maafisa walisema Jumatano, baada ya kucheleweshwa kwa mwaka mmoja kwa sababu...
  16. JamiiForums Tanzania Tusimhukumu Waziri Mkuu Majaliwa kwa Kivuli cha Magufuli

    Habari zenu. Hakuna kitu kibaya kama unafiki, viongozi wengi nchi hii hufanya kazi kwa maelekezo, na kufuata namna ya kumuiga boss wake au kanuni za boss, hata Rais Hassan angekuwa waziri katika Serikali ya Magufuli tungemuona kwa taswira tofauti. Wivu na husda za kijinga na kipumbavu ndio...
  17. JamiiForums Tanzania Uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu Mpya wa TISS, Said H. Masoro, na Mtazamo wangu

    Pengine huu ni mwanzo mpya wa mageuzi ya Idara ya Usalama wa Taifa. Mabadiliko haya ya uongozi yana maana kubwa sana kwa Idara yetu, ni matumaini yangu kwamba mabadiliko yatakwenda mbali zaidi kuguza muundo wa idara, mfumo wa idara, sheria na kanuni za idara ili kuendana na ulimwengu mpya wa...
  18. JamiiForums Tanzania Kuuliza si ujinga: Hivi Diwani Athumani kashuka au kapanda?

    Wala hakuna tatizo lolote jamani, nimeuliza tu maana kutoka kuwa Mkurugenzi wa TISS hadi kuwa Katibu Mkuu Ikulu, sijajua wapi ni juu? Je, sasa amepandishwa cheo au ameshushwa? Natanguliza shukrani.
  19. JamiiForums Tanzania Ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Mara kukagua na kupokea madarasa 58 Serengeti

    Mkuu wa mkoa wa Mara Meja Jenerali Suleiman Mzee ameanza Ziara ya kukagua na kupokea vyumba 58 vya Madarasa vikiwa na samani zake Katika shule 21 za sekondari zilizogharimu kiasi cha Billion 1.16 zilizotolewa na serikali ya awamu ya sita ,ziara hiyo itakayofanyika kwa muda wa siku Mbili...
  20. JamiiForums Tanzania Kasesela: Nikiwa Mkuu wa Wilaya ya Iringa, nilikuwa naenda club ku-rap

    Yaani, mambo mengine unashindwa ucheke au ukae kimya. Angalia umri na majukumu, na hadhi, halafu anaenda club ku-rap. Maneno haya aliyasema akifanya intavyuu na Dar24 Nadhani hawa viongozi wawe wanapewa strict code of conduct
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…