Tusimhukumu Waziri Mkuu Majaliwa kwa Kivuli cha Magufuli

Wadiz

JF-Expert Member
Nov 10, 2022
5,408
11,051
Habari zenu.

Hakuna kitu kibaya kama unafiki, viongozi wengi nchi hii hufanya kazi kwa maelekezo, na kufuata namna ya kumuiga boss wake au kanuni za boss, hata Rais Hassan angekuwa waziri katika Serikali ya Magufuli tungemuona kwa taswira tofauti.

Wivu na husda za kijinga na kipumbavu ndio zinamuandama Kassim Majaliwa. Hivi cheo Cha Waziri Mkuu mnatakaje mnataka ufanisi upi, Majaliwa hajawahi kutoka nje ya mstari wa Wanamtandao ni mtiifu, ukubwa wake unawatisha nini wakati aliingia kwenye hio nafasi akiwa kichuguu tu.

Mnatafuta kashfa mnaikosa haya sasa nyie mandezi wote nendeni mkaloge.

Rais Hassan ni masalia ya Magufuli na alipendekezwa na Magufuli hawezi kujivua hilo Gamba sasa hivi hio audacity mnayoitaka kwake hana ya kumtenga Majaliwa Kassim, kama ni Siri wote wanazijua.

Na Majaliwa sio kikwazo Cha tamaa zenu za kuingia Ikulu.

Tuendelee kupigana kwenye majukwaa hadi mwisho.
 
Kuna maandishi na uandishi mtu kuelewa hadi ukaze fuvu!
 
Back
Top Bottom