Sikuwahi kujua kuwa CCM inamiliki na Migodi

Mpasuaji wa Manesi

JF-Expert Member
Mar 13, 2016
294
1,345
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza.

Sikuwahi kujua kuwa sisiemu inamiliki na Migodi.. Je kuna Migodi mingine ambayo Chama tawala kinamiliki?
Na huu Mgodi jina lake unaitwaje?

Angalia video hii inayomuonesha waziri Mkuu, Kasimu Majaliwa akitembelea mgodi wa makaa ya mawe uliopo Mdunduwalo, Wilaya ya Mbinga, Mkoani Ruvuma.

 
Umewahi kufaidika chochote na hii miradi ya ccm ? au ndio nyie chawa mnaozindua uchawa wenu kesho ?
Sana tu- mkutano mkuu wa CCM taifa hatukuchangishwa kama CHADEMA ianavyofanya wala HATUKUOMBA fedha kutoka chama cha CDU cha Ujerumani kama CHADEMA wanavyofanya; watunmishi wetu wote wanalipwa mshahara hawajitolei kama nyie KUPE wa CHADEMA
 
Chama kinaweza kuwa na vitega uchumi kama majumba, nk.

Ila kwa ccm kumiliki mgodi!! hapa tumepigwa kabisa, maana mapato ya mgodi yanaenda kwenye chama sio kwenye mfuko wa hazina.

Hivi Kuna waziri anaweza aka muhoji mkurugenzi wa hiyo kampuni ya mgodi ya CCM?
 
Chama kinaweza kuwa na vitega uchumi kama majumba, nk
Ila kwa ccm kumiliki mgodi!! hapa tumepigwa kabisa, maana mapato ya mgodi yanaenda kwenye chama sio kwenye mfuko wa hazina.

Hivi Kuna waziri anaweza aka muhoji mkurugenzi wa hiyo kampuni ya mgodi ya CCM?
Mgodi ni mali ya CCM hazina zinaenda kodi anazolipa CCM
 
CCM ni zaidi ya Chama cha siasa! CCM ina miliki makampuni mengi mno siyo JITEGEMEE tu!
Wakati Vyama vingine mkipigania Uhuru wa mikutano ya hadhara ya kupiga porojo na maandamano ya hovyo! CCM wako kazini!
Ccm haina mradi unaomiliki bali ina miradi iliyokwapua kwa wananchi. Mwaka 1992, ilitakiwa mali zote za chama ambapo kwa wakati huo chama na serikali havikutenganishwa irudishwe serikalini.
 
This is by all means not right?

Nchi haiendelei kumbe the ruling party owns everything... .. how are you going to compete kwenye market kama hii...

Na wafaidika wa gawio la miradi hii ni nani?

Kumbuka CCM ni Chama cha siasa kinachofaidika na kodi zetu kupitia ruzuku ikiwemo Michango ya wanachama bado wanazunguka kuomba michango kwa wafanyabiashara.

Country robbery... na hapo namuona wazir mkuu wanakwepa kabisa kuongea kwamba mgodi huu unamilikiwa na Chama Chake..

That's Bad, very bad
 
Ccm haina mradi unaomiliki bali ina miradi iliyokwapua kwa wananchi. Mwaka 1992, ilitakiwa mali zote za chama ambapo kwa wakati huo chama na serikali havikutenganishwa irudishwe serikalini.
Wewe huna akili ambapo siyo tatizo kubwa! Tatizo kubwa ni kwamba hujui kwamba huna akili!
Kampuni ( JITEGEMEE na Kampuni zingine zinazomilikiwa na CCM) ambazo ni Limited liability companies zimesajiliwa kwa msajili wa makampuni (BRELA) na ndizo zinamiliki hiyo migodi na miradi mingine!
Sasa unaposema CCM imekwapua miradi ni ipi hiyo!
Tatizo la upinzani mna watu wengi wanaojua sana kupiga porojo na uzushi ila issue ya Wealth creation ni ziro kabisa!
CCM kuna watu wenye maarifa sana msiichukulie poa!
Bila kujenga uchumi wa Vyama vyenu na kuwa na akili kubwa ya Wealth Creation hamtaitoa CCM madarakani kwa muda mrefu sana!
 
Back
Top Bottom