Jamaa kamweka mwenye Kampuni (Mkurugenzi Mkuu) Kiganjani. Hakohoi Kampuni kama yake

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,471
23,744
Namfahamu huyu jamaa sababu nliunganishwa naye kufanya naye deal flani ya kupiga pesa. Si unajua ukiwa Serikalini inabidi ule na washika dau. Sekta binafsi. Mimi ndo maeneo yangu hayo.

Jama ni dereva na ndo mshauri mkuu wa Mmiliki wa Kampuni Mhindi mmoja hivi Town. Yaani jamaa ni mchawi huyu....aaaaa h aaaah aaaah.... Acha kabisa. Mhindi amerogeka mpaka kama kama zezeta.

Jamaa mwenyewe ni form four failure tu ila ndo mshauri mkuu kuliko hata wenye Degrees na utalamu wao. Halafu michezo yote michafu na hatarishi yeye ndo anakuwa forward. Mhindi anacheza beki 3 au 5.

Ni mtu wa majungu sana.sana akiamua mfanyakazi afukuzwe anafukuzwa... Yaani pale kazini anaogopwa kuliko hata mhindi mwenye kampuni.

Utamwona tu anazunguka zunguka na kakitambi kake funguo za gari amening'iniza kwenye luks za suruali. Ushamba ndo hajaweza acha.

Humu makazini uchawi upo. Huyu mhindi mnafanya naye deal ukienda chukua pesa kwake... Hakupi mkononi kamwe. Atakuwekea mezani kwa mkono wa kushoto. Nami nikawa napompatia pesa namweka mezani kwa mkono wa kushoto. Kama yeye Bana namimi Bana. Wote Bana Imbwa.

Mhindi sijui kazidiwa wapi uchawi na huyu jamaa toka Tanga. Unajua jamaa anapiga pesa mnagawa a lot milions anakwambia hapa Mhindi nampa 20,000,000. Nyingine nazichukua mimi. Unashangaa....na mhindi akipelekewa na jamaa haulizi anapokea tu.

Sasa huyu Chawa,Kiroboto, Kupe Mwanga.... Ni Mikosi Balaa.... Ofisini anaogopogwa kuliko Mkurugenzi mwenyewe mhindi. Yaani Mhindi hata wenzie hawaamini kwa huyu jamaa. Basi mwenye anatembea na kitambi chake kama ana mimba ni vile vitambi flani kama vya kula ugali uliolala..kigumu sana. Mkononi anarusha rusha funguo.

Hajui kutongoza anawaambia tu wanawake nitakununulia simu.... Au nitakununulia kiwanja... Maofisini kuna issues sana na uchawi ushirikina upo.

Sisahau siku dada mmoja kasahau akaniambia nimchukulie pen kwenye porch yake. Binafsi huwa sijawah shika porch ya mdada. Basi siku hiyo nimeingiza mkono kwenye porch.... Lahaullah lakwata.... Hirizi inapumua... Inapumua hivi kabisa... Nikashtuka....yule dada akakumbuka haraka akaja nipokonya mkoba wake na kuondoka.

Mle ndani wote walishtuka. Kumbe ndo chanzo cha huyu dada kila training anapewa yeye... Huyu dada kiukweli alikuwa hakai ofisini tulikuwa tunazunguka sana....mpaka nlishawahi kumla porini. Sijui sababu ya uchawi alikuwa na K tamu sana kwa kweli... Basi nikagundua maofisini hata majini inawezekana yapo na yenyewe.
 
Namfahamu huyu jamaa sababu nliunganishwa naye kufanya naye deal flani ya kupiga pesa. Si unajua ukiwa Serikalini inabidi ule na washika dau. Sekta binafsi. Mimi ndo maeneo yangu hayo...
We jamaa na mambo ya kishirikina damdamu ndio maana Umughaka anafichua mambo yako unakuwa mkali, basi tushakuelewa
 
Back
Top Bottom