mkuu

Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mbunge Kaliua Ampongeza Waziri Mkuu Juu ya Maelekezo kwa Jeshi la Polisi Kutatua Migogoro ya kwenye Hifadhi

    MBUNGE KALIUA, MHE. ALOYCE KWEZI AMPONGEZA WAZIRI MKUU KWA MAELEKEZO ALIYOYATOA BUNGENI KUTATUA MIGOGORO YA ARDHI KWENYE HIFADHI Mbunge wa Jimbo la Kaliua Mhe. Aloyce Andrew Kwezi amempongeza Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa kwa hotuba nzuri aliyoitoa leo...
  2. JamiiForums Tanzania Maswali ya Papo kwa Papo Kwa Waziri Mkuu, Waziri Mkuu Aulizwe Maswali, Ajibu Maswali na Kama ni Ufafanuzi wa Jambo Lolote, Waziri Mkuu Huru Kufafanua

    Wanabodi, Tangu Bunge la Bajeti lianze, Alhamisi ya leo ndio kwa mara ya kwanza Waziri Mkuu anautumia muda wa kujibu maswali ya Papo kwa Papo kwa Waziri Mkuu. Sasa kwanza wenye access kualia Bunge live, angalieni maswali ya leo kwa Waziri Mkuu, kisha nitawaeleza kitu Karibuni UTANGULIZI...
  3. JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo yu wapi baada ya kusomwa ripoti ya CAG?

    Katibu Mkuu wa CCM amepotea hewani Mara baada ya kusomwa ripoti ya CAG. Imefika mahali sasa Katibu Mkuu wa CCM amekosa la kusema wala la kuwaambia wananchi. Anayejua aliko tafadhali!
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia apokea ujumbe maalum toka kwa Waziri Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amekutana na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Shirikisho la Ethiopia Mhe. Demeke Mekonnen Ikulu Ndogo Tunguu Zanzibar, ambaye amewasilisha Ujumbe Maalum kutoka kwa Waziri Mkuu wa Ethiopia...
  5. JamiiForums Tanzania Dc. Haniu azindua zahanati ya Isyonje wilayani Rungwe

    Kuelekea kilele cha kumbukumbu ya miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar hapo jumatano tarehe 26.04.2023, Mkuu wa wilaya ya Rungwe Mhe. Jaffar Haniu amezindua rasmi zahanati ya Isyonje iliyopo kata ya Isongole. Pamoja na uzinduzi wa zahanati hiyo pia ameongoza wakazi wa kijiji hicho...
  6. JamiiForums Tanzania Mufti Zubeir: Serikali inunue chombo cha kutazamia mwezi

    Swali, Je ni jukumu la Serikali kufanya masuala ya dini? Pili,Kuomba Serikali ifanye sio vibaya maana ni ombi. === Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir amekemea ufisadi, akihimiza jamii kulinda maadili, umoja na mshikamano, huku akiwaomba viongozi wa Serikali na wadau kusaidia upatikanaji...
  7. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Makamu wa Rais, Waziri Mkuu wakabiliwa na kesi ya wizi wa Mabati ya Kaya Masikini

    Kwa mujibu wa taarifa ya Msemaji wa Serikali, kashfa hiyo ya Rushwa imewagusa pia Spika wa Bunge, Mawaziri 26 na Wabunge 31 wa Nchini Uganda wanaotajwa kupora maelfu ya Mabati hayo. Taarifa imeeleza kuwa Rais Museveni aliagiza Mabati yatumike kuezeka nyumba za eneo la Karamoja lililotengwa kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Challenge gani umfanya mkuu wa nchi kujitokeza public ili kuomba kuombewa?

    Habari wakuu,hamjambo? Kumekuwepo na trend ya wakuu wa nchi au wafuasi wao kujitokeza adharani au ktk mitandao yao ya kijamii kuomba kuombewa. Msingi wa swali langu Ni huu, ili kiongozi kufikia hali ya kuomba kuunganishwa na muumba wake kwaajili ya ufanisi wa kazi anakua amepitia changamoto...
  9. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Vijana wamekopeshwa Shilingi Bilioni 1.88

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amesema serikali kupitia mfuko wa maendeleo ya vijana imetoa mikopo yenye thamani ya shilingi bilioni 1.88 kwa ajili ya kuwezesha miradi 85 ya vijana katika sekta za kilimo, viwanda na biashara kwenye halmashauri 28. Ameyasema hayo Aprili 16, 2023, wakati...
  10. JamiiForums Tanzania Morogoro: Ujenzi wa Mradi wa Barabara ya Kidatu - Ifaraka wafikia 78%, Daraja la Ruaha Mkuu kupitisha magari pande mbili

    Morogoro ni moja ya mikoa ambayo ina miradi mbalimbali ya barabara ya kitaifa lakini kwa sasa ipo miwili ambayo imekuwa ikiangaliwa kwa ukaribu na Uongozi wa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS). Akifafanua kuhusu miradi hiyo, Alinanuswe Lazeck Kyamba, Meneja wa Mkoa, TANROADS Morogoro kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Japan anasurika kifo baada ya kutupiwa Bomu

    Vyanzo vya habari vinasema Waziri Mkuu wa Japani, Kishida Fumio, hajajeruhiwa na ameondoka kwenye eneo la bandari ya magharibi mwa Japani baada ya milipuko mikubwa kusikika kabla hajatoa hotuba. Kishida alikuwa anazuru bandari ya Saikazaki mkoani Wakayama leo Jumamosi asubuhi. Waziri Mkuu wa...
  12. JamiiForums Tanzania Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu ya Mwaka wa fedha 2023/24

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama amesema Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu imezingatia vipaombele muhimu katika maeneo yote yanayoratibiwa na Ofisi hiyo ili kuendelea kutekeleza majukumu yake kwa ufanisi na tija kwa Taifa...
  13. JamiiForums Tanzania Mufti Zubeir amteua Sheikh Ngeruka kuwa Naibu Kadhi Mkuu

    Mufti wa Tanzania, Sheikh Mkuu, Abubakari Zubeir amemteua Sheikh Ally Ngeruka kuwa Naibu Kadhi Mkuu wa Tanzania na ustaadh Said Mwenda Anayekuwa Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa Utawala na Fedha wa Bakwata. Taarifa iliyotolewa jana Jmatano Aprili 13, 2023 na Msemaji wa Mufti, Sheikh Khamis Mataka...
  14. JamiiForums Tanzania Halmashauri zitaacha ubadhirifu wa fedha za umma pale wakurugenzi hawatakuwa wasimamizi wa uchaguzi mkuu

    Kila mwaka hawa wakurugenzi walio wengi wanakutwa na tuhuma za ubadhilifu wa fedha za umma kwenye halmashauri zao. Swali: jeuri hii wanaipata wapi? Na aliyewateua mbona kama anawagwaya hivi? Nionavyo mimi ni kuwa wakiondolewa kwenye kusimamia uchaguzi mkuu, ndipo tatizo hili litapungua au...
  15. JamiiForums Tanzania Baada ya Uhuru, Tanzania imewahi kuwa na uchaguzi mkuu HURU na HAKI?

    Tuanzie kwa Baba wa Taifa Mwl. J. K. Nyerere hadi uchaguzi wa 2025. Ni uchaguzi upi ambao ulikuwa huru na haki? Ikumbukwe enzi za Mwalimu, uchaguzi wa Rais ilikuwa ni Nyerere against kivuli. Hata baada ya vyama vingi hakujawahi kuwa na TUME HURU YA UCHAGUZI ambapo kikundi cha waratibu wa wizi...
  16. JamiiForums Tanzania Mussa Mangu ashinda rufaa ya kupinga kunyongwa kwa mauaji ya Erasto Msuya

    Habari wana jukwaa natumaini mpo salama! Mfungwa Mussa Mangu aliyekua anatumikia adhabu ya kunyongwa hadi kufa kwa kuhusika katika mauaji ya Bilionea Erasto Msuya ameachiwa huru jana baada ya kukata rufaa yeye na wenzake wanne. Mahakama ya rufaa imeamua Mussa Mangu kuachiliwa huru mara moja...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Hongera kwa Mkurugenzi Mkuu na Wafanyakazi wa Hospitali ya Rufaa ya Bugando

    Leo jioni nilienda kumjulia hali mgonjwa wangu aliyelazwa Cancer Center. Sikuamini macho yangu kutokana na usafi niliouona pale Cancer Center. Chumba cha wagonjwa ni safi sana na sasa ukija kwenye mashuka ambayo ni meupe ni masafi kweli kweli. Hapa Bugando wodi zote ni safi. Mimi binafsi...
  18. JamiiForums Tanzania Mhandisi John Nzulule Mtendaji Mkuu wa Wakala wa ndege za serikali amekua akishirikiana na nani?

    Bila shaka yo yote huyu Mhandisi John Nzulule aliyetenguliwa na Rais si mara yake ya kwanza kutupiga katika ununuzi wa ndege za serikali. Nadhani ametupiga katika ununuzi wa ndege serikali na pia ndege za ATCL ambazo zimekuwa zikinunuwa na serikali kukwepa kukamatwa na wadeni wa ATCL huko majuu...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya ufisadi kubainika, bodi shirika la reli yavunjwa na mtendaji mkuu wa wakala za ndege za serikali atenguliwa.

  20. JamiiForums Tanzania Je, uwezo na sifa za viongozi na watendaji wanaoteuliwa unaweza kupimwa na report ya CAG?

    Hilo ni swali: Naomba kila mmoja atoe jibu na mawazo yake:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…