mkuu

Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Waziri Mkuu Thailand ahukumiwa jela miaka 4

    MAHAKAMA Kuu nchini Thailand, imemhukumu aliyekuwa Waziri Mkuu wa Nchi hiyo Thaksin Shinawatra adhabu ya kifungo cha miaka nane jela. Taarifa hiyo imetolewa na chombo kimoja cha Habari ambapo imeandika kuwa Shinawatra alikamtwa saa chache baada ya kurejea nchini humo baada ya kuwa nje kwa muda...
  2. JamiiForums Tanzania Mjadala wa wadau wa Demokrasia: Lipumba asema Demokrasia iliporomoka sana awamu ya tano

    Mkutano wa kitaifa wa wadau kujadili hali ya demokrasia nchini kuelekea uchaguzi mkuu wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji 2024 na uchaguzi mkuu 2025 === Demokrasia ya vyama vingi nchini Tanzania ilianzishwa mwezi Julai 1992. Tangu wakati huo, serikali imejitahidi kukuza utawala wa...
  3. JamiiForums Tanzania Arusha: Rais Samia ashiriki Maadhimisho ya Miaka 60 ya KKKT - Agosti 21, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Miaka 60 ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) katika Chuo cha Tumaini Makumira – Arusha leo tarehe 21 Agosti, 2023. https://www.youtube.com/watch?v=0du5OfCnYHM Rais wa Jamhuri ya Muungano...
  4. JamiiForums Tanzania Askofu Dkt. Fredrick Shoo: Tusiwagawe watu kwa misingi ya dini

    Wanaukumbi. Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dkt. Fredrick Shoo ameiomba Serikali kukataa na kukemea kwa nguvu yote wale wote wanaoonesha dalili za kuwagawa watu kwa utofauti wa Dini na kusema hata pale Mtu anaposema jambo la kuipendeza Serikali iwapo amejenga...
  5. JamiiForums Tanzania Mhandisi Mohamed Besta, Mtendaji mkuu tanroads atoa maelekezo utekelezaji miradi ya EPC + F

    Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara Tanzania Mhandisi Mohamed Besta amesema TANROADS imepita katika vipindi tofauti lakini sasa ipo katika kipindi ambacho inabidi iwe na ubunifu wa kutumia mbinu mbalimbali na kutafuta namna bora zaidi ya kujenga barabara, na moja ya hatua ambazo zimechukuliwa...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia Amtembelea Mkuu wa Majeshi wa Kwanza Mstaafu, Jenerali Mrisho Sarakikya, Nyumbani Kwake Arusha

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na kuzungumza na Mkuu wa Majeshi wa kwanza Mstaafu Jenerali Mrisho S. Sarakikya wakati alipomtembelea kumjulia hali nyumbani kwake Nkoaranga Wilaya ya Arumeru Arusha tarehe 20 Agosti, 2023.
  7. JamiiForums Tanzania Ndege ya Urusi imetua katika mji mkuu wa Niger

    Huko Niamey leo hii ndege ya kijeshi ya Urusi ikiwa na mamia ya wapiganaji wa Wagner wanaodaiwa kuchukuliwa kutoka Syria wametia timu Niger. Wagner imewaajiri maelfu ya maveterani wa vita kutoka Syria, ambao walikuwa wanapigana kulinda serikali ya Syria dhidi ya ISIS, Al-Qaeda na FSA...
  8. JamiiForums Tanzania DOKEZO Mkuu wa mkoa wa Dar, wadhibiti wanaotaka kujigawia soko la Mbagala Zakhiem kinyume na utaratibu uliopangwa na Manispaa

    Ujenzi wa uboreshaji soko la Mbagala Zakhiem umekamilika na wafanyabiashara wa soko hilo walitegemea warejeshwe kwenye soko hilo kulingana na utaratibu waliopewa kabla ya ujenzi, kinachoendelea hivi sasa ni wamejitokeza viongozi wanaotaka kuvuruga utaratibu wa kuwarejesha wahusika ili wajigawie...
  9. JamiiForums Tanzania Utenguzi: Rais Samia ametengua Uteuzi wa Katibu Mkuu Wizara ya Maji Mhandisi Nadhifa Sadiki Kemikimba

    Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Mhandisi Nadhifa Sadiki Kemikimba Aliteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Februari 2023. Pia ametumikia nafasi mbalimbali ikiwamo Mkurugenzi wa Idara ya Huduma za Ubora wa Maji.
  10. O

    JamiiForums Tanzania Madai ya udhalilishaji wanafunzi, Mkuu wa shule Dar achunguzwa

    Dar es Salaam. Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia na Halmashauri ya Kinondoni jijini Dar es Salaam zimeunda kamati kuchunguza tuhuma za vitendo vya kunyanyaswa wanafunzi kingono zinazodaiwa kufanywa na mkuu wa Shule ya Sekondari Makumbusho, Juma Mulindani. Kamati hizo zinachunguza...
  11. JamiiForums Tanzania Video: Je, hiki ndio kimesababisha Kemikimba, Katibu Mkuu Wizara ya Maji kutenguliwa?

    Imbainika kuwa kuwa chanzo cha Rais Samia kutengua uteuzi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji ni kitendo cha kuonesha kiburi, dharau na kutoa lugha za kejeli kwa mfanyakazi wa Wizara hiyo aliyeenda kwenye Podium wakati akiwa anazungumza na kumpa 'Kinote'. Jambo hilo lilionekana kumkasirisha Katibu...
  12. JamiiForums Tanzania Albert Chalamila, Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam aliyelishika jiji kwa uharaka

    Inawezekana nikawa nipo sahihi au sipo sahihi . Kwa maoni yangu tangu Chalamila afike DSM jiji limetulia, kila kitu ni shwari. Kinachofurahisha zaidi Chalamila ameishika Dar bila Kiki wala ubabe, ametulia anachapa kazi. Namuona mtu huyu akija kuwa kiongozi mkubwa zaidi siku za usoni. Mnyonge...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa tunakuomba uende ukamalize mgomo wa daladala Arusha

    Hii nchi bado ina rule of law ila watu wachache ambao wana maslahi binafsi wanashindwa kufata na kusimamia sheria kwa personal benefits zao. Tunaomba Waziri Mkuu Majaliwa, mtumishi wa watu uende Arusha ukamalize mgomo ulioanza tarehe 14/8 na ambao utaendelea bila kikomo hadi madereva wa...
  14. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa akerwa na kasi ndogo ya Mkandarasi mradi wa REA Newala

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amehoji kwanini mkandarasi wa Rea, Newala hachukuliwi hatua ikiwemo kusimamishwa licha ya kuwa na kasi ndogo ya utekelezaji wa mradi wa kuunganisha umeme katika baadhi ya vijiji wilayani humo. Kauli hiyo ameitoa wakati wa ziara yake Wilayani Newala ambapo amesema...
  15. JamiiForums Tanzania CCM imfanyie utafiti Katibu wake wa wilaya ya Hai huko Kilimanjaro, anadaiwa hajui kuandika matokeo yake siri za chama ziko mitaani

    Chama cha Mapinduzi Taifa au Mkoa ninawaomba mfanye uchunguzi wa kina kama sio utafiti kumwangalia au kumfuatilia Katibu wa CCM Wilaya ya Hai Kilimanjaro., kama kweli hajui kuandika. Kuna kila Dalili mtu huyo hajui kuandika hivyo ili kuandika siri au taarifa za chama anafanyia kazi hizo...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Shehe Mkuu wa Tanzania kufanya ziara ya siku tano Makka

    MUFTI KUZURU MAKKAH. Mufti kuondoka kesho kuelekea Makkah Saudi Arabia kwa Ziara ya siku ya siku tano Akiwa mji Mtukufu wa Makkah atahudhuria mkutano mkubwa wa siku Mbili wa viongozi wakuu wa taasisi kuu 150 za kitaifa za kiislamu kutoka mataifa mbalimbali Duniani. Mufti anatarjiwa kurejea...
  17. JamiiForums Tanzania Kisa Maji, Madiwani Ilemela Mwanza, wahofia kukosa Kura Uchaguzi mkuu Ujao

    Swala la Ukosefu wa Maji katika halmashauri ya Wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza imekuwa sugu kiasi kwamba wananchi wanakosa walalamike kwa nani kutokana na kero ya ukosefu huo wa maji safi na Salama. Kijografia Ilemela imezungukwa na Ziwa Victoria lakini upatikanaji wa maji safi na salama kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Rorya hii si sawa

    Hiki anachofanya DC wa Rorya, Mh. mchopanga je ni sahihi?
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania Waziri Mkuu akijiuzulu na Baraza la Mawaziri linavunjika?

    Wakuu ni kwa nini nchini kwetu waziri mkuu akijiuzulu na Baraza la Mawaziri linavunjika na hali yeye siyo kiongozi wa baraza la mawaziri wala aliyewateua kama kwa nchi kama Uingereza?
  20. J

    JamiiForums Tanzania Saidi Yakubu: Serikali inaunga mkono Uni Awards

    Na Eleuteri Mangi, WUSM Dar es Salaam Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw Saidi Yakubu ametoa tuzo UNI AWARDS na kusisitiza kuwa Serikali inashirikiana na taasisi za kifedha za benki ya CRDB na NBC na wafadhili wengine ndani na nje ya nchi kupitia Mfuko wa Utamaduni na Sanaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…