mkuu wa mkoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Area 56

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Geita, Kiongozi pekee wa Serikali aliyekuwepo kwenye ibada ya Kumuombea Magufuli leo Kanisani

    Habari ya kumbukizi ya miaka miwili ya Hayati Magufuli. Familia ya hayati Magufuli ikiongozwa na Mama Janet ilihudhuria ibada hiyo. Nipo Chato hapa toka jana, kwenye ibada ya kumuombea hayati Magufuli iliyofanyika katika Kanisa Katoliki hapa Mlimani, Kiongozi wa Juu wa Serikali aliyehudhuria ni...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Mbeya awataka Polisi kuwakamata Waganga wapiga ramli chonganishi

    Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Comrade Juma Zuberi Homera amewataka makamanda wa Polisi wa Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini, Mbeya, Iringa, Njombe, Rukwa na Songwe kushirikiana katika kuzuia na kudhibiti biashara haramu ya usafirishaji binadamu katika mikoa yao. Homera ameyasema hayo wakati akifungua...
  3. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kunani Kagera? Kuna mvutano kati ya Mkuu wa Mkoa Chalamila na wanasiasa wa Kagera? Msikilize Mwijage!

    Nadhani hali si shwari kati ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera na wanasiasa wa Mkoa huo. Maneno ya Mwijage ni kama vile anatupa vijembe kwa mkuu huyo wa Mkoa. Itakumbukwa kwamba wakati akiingia kagera, Chalamila alikuwa akitoa kauli kwamba Diwani au mbunge akizingua anamuweka ndani, na alikuwa...
  4. The Boss

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa Songwe ni Mtanzania? Jina kama Mkongo au Mrundi?

    Mkuu wa mkoa mpya wa Songwe, Francis Kasavubu Michael ni Mtanzania? Niliposikia jina hili wakati yupo katibu Wizara ya sayansi nilijiuliza hili swali ni Mtanzania? Mbona jina kama Mcongo au mrundi?... Kuna anaemjua vizuri hapa JF?
  5. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kama ikikupendeza mteue Thobias Mwilapwa kuwa mkuu wa mkoa wa Shinyanga

    Sijatumwa na mtajwa hapo juu, wala sio shabiki wa mtu yoyote kwenye siasa. Sema kutokana na uchapakazi wake, uadilifu na uongozi uliotukuka toka akiwa Hanang na Tanga vimenifanya nione kuwa ni mtu anaefaa kupewa nafasi ya ukuu wa mkoa wa Shinyanga.
  6. F

    JamiiForums Tanzania Wanakagera wanavyojiona wao tofauti na mkuu wa mkoa wa Kagera anavyowaona. Nini kifanyike?

    Nawashauri watu wa Kagera mpokee changamoto kutoka kwa mkuu wa mkoa wenu. Kwanza Chalamila hajawataja Wahaya, yeye anazungumzia watu wa Kagera. Sasa huko Kagera kuna Wanyambo, Wahaya, Wakerewe, etc. Kwanini nyie Wahaya mnafikiri kwamba watu wa Kagera ni nyie tu?? Si mnaona mnavyokosea eeh...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Huyu Mkuu wa Mkoa wa Tanga sidhani kama kuna kiongozi pale; labda cheo alipewa Kwa connection

    Nimemsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Tanga sakata la ajali ya Costa iliyoua watu 17. Kwa kumsikiliza Tu unagundua Hana maarifa. Kama si zao la awamu ya tano basi ana vimelea vya Wakuu wa Mikoa wa awamu ya tano. Walikuwa wakuu wa Mikoa wa kukamata, kufunga ,weka maabusu nk Hospitali zetu zinajulikana...
  8. USSR

    JamiiForums Tanzania Sheikh Mkuu wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum atenguliwa

    Baraza la Waislamu BAKWATA lilikaa jana chini ya Mufti Zubery limfuta kazi Shekhe Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Alhaji Mussa Salumu kutokana na mienendo isiyofaa aliyoionesha tangu siku za nyuma na kufuatia kulumbana na baraza la Maulamaa kuhusu talaka ya mke wa Dk Juma Mwaka. Juzi vyombo vya...
  9. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro akemea rushwa mahakamani

    Moshi. Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu amewataka watumishi, watendaji na wadau wa Mahakama kujiepusha na vitendo vya rushwa na kuweka mifumo mizuri itakayowezesha utatuzi wa migogoro kwa njii ya usuluhishi ili kuondoa mrundikano wa mashauri na kesi mahakamani. Babu ametoa rai hiyo leo...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Singida: Wananchi walalamika mauaji ya watu mfululizo, ufukuaji makaburi na kuchukua nguo za ndani

    Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Manyoni imetakiwa kuchunguza mauaji ambayo yamekuwa yakiripotiwa kutokea mfululizo pamoja na vitendo vya ushirikiana vinavyohusisha kufukua maiti na kuchukua nguo za ndani na baadhi ya vitu vya thamani. Maagizo hayo yametolewa Januari 20, 2022 na Mkuu wa...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mara: Mkuu wa Mkoa ashangaa Wanafunzi wa Darasa la 7 kutowafahamu Waziri Mkuu na Rais wa Zanzibar

    Kiongozi huyo wa Mkoa, Meja Jenerali Suleiman Mungiya Mzee ameyaeleza hayo wakati akizungumza na Walimu wa shule tofauti Mkoani hapo. Amesema amewauliza wanafunzi wengi na wameonekana hawana ufahamu juu ya Sikukuu ya Mapinduzi, kutomfahamu Waziri Mkuu wa Tanzania wala Rais wa Zanzibar. Amesema...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa Mara aagiza wazazi wa watoto 70 waliokeketwa wakamatwe

    Mkuu wa Mkoa wa Mara Meja Jenerali Suleiman Mungiya Mzee tarehe 10/1/2023 ameliagiza Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Tarime/Rorya kuwakamata wazazi/walezi wa watoto 70 waliokuwa wamekimbilia AFTGM Masanga kukwepa ukeketaji na baadaye kurejeshwa kwa wazazi wao baada ya kipindi cha ukeketaji...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Songwe Waziri Kindamba kuongoza maombi maalumu ya kumuombea Rais Samia na taifa

    Ndugu Zangu Watanzania, Mkoa Wa Songwe unaoongozwa na mh Waziri Kindamba unafanya maombi maalumu ya kumuombea mh Rais wetu mpendwa Mama Samia Suluhu Hassan pamoja na Taifa letu,Mkoa wa songwe kwa kutambua kazi kubwa na ya kutukuka iliyofanywa na mh mama Samia umeona umuhimu wa kumwomba Mwenyezi...
  14. Serengeti DC

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Mara kukagua na kupokea madarasa 58 Serengeti

    Mkuu wa mkoa wa Mara Meja Jenerali Suleiman Mzee ameanza Ziara ya kukagua na kupokea vyumba 58 vya Madarasa vikiwa na samani zake Katika shule 21 za sekondari zilizogharimu kiasi cha Billion 1.16 zilizotolewa na serikali ya awamu ya sita ,ziara hiyo itakayofanyika kwa muda wa siku Mbili...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Tabora mjini, Komanya Kitwala ahukumiwa kulipa fidia ya Tsh. milioni 80

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Tabora imemhukumu aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Tabora mjini, Komanya Kitwala kumlipa fidia ya shilingi milioni 80 Alexander Ntonge mkazi wa kata ya Ipuli Tabora mjini, baada ya kupatikana na hatia katika mashitaka aliyofunguliwa ya kuwaamuru Askari Polisi...
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Simiyu atoa siku 7, watoto 24,000 waandikishwe shule

    Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Dk. Yahaya Nawanda, ametoa siku saba kwa uongozi wa Wilaya ya Maswa mkoani humo, kuhakikisha unakamilisha kuandikisha watoto 24,000 wanaotarajiwa kuanza masomo ya darasa la kwanza na awali wilayani humo. Aidha, Dk. Nawanda amemuagiza Mkuu wa Polisi pamoja na Mkuu wa...
  17. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania RC Mwanza, RPC, Brela, TRA Mwanza. Hawa Matapeli wanapatikana hapa. Wakitumia vielelezo vyenu

    Nimeona bandiko la member mmoja akitahadhalisha kuhusiana na Ponze Scheme moja inajiita Champions Investments ltd. Inadai ipo Mwanza. Nami nimeomba Link ya kuingia kwenye group lao. Hawa jamaa ni matapeli. Ukiangalia Hata members wao wengi ni kutoka nchi flani flani kwa mujibu wa namba zao za...
  18. Street Hustler

    JamiiForums Tanzania Kama kweli Watanzania tupo makini na taifa letu, basi Mkuu wa Mkoa wa Tanga hastahili kuwepo ofisini

    Kama taifa tuna Mambo na vitu vingi vya kufanya lakini kwajili alilofanya Omary Mgunda aisee hapana huyu bwana arudi tuu kule kwenye Biashara ya mazao. Haiwezekani kijana Mdogo aliefanya jambo lake kishujaa na kiitifaki kama Taifa na serikali lishakubali na kumpa medani, Sasa katika kipindi...
  19. May Day

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa mkoa kuwaamuru Jamii moja kuondoka mkoani haijakaa sawa

    Leo asubuhi kwenye taarifa nimesikia ya kuwa Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Zainab Talak amewapa siku mbili Wafugaji walioingia mkoani hapo kuondoka. Kwa upande wangu sioni kama hii imekaa sawa, anachopaswa kujiuliza Kiongozi huyu ambaye ni Muwakilishi wa Raisi wa nchi hapo Mkoani kwake ni "waende wapi...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Vifo barabara ya kijenge, nakuomba mkuu wa Mkoa ingilia kati

    Naandika kwa majonzi sana hawa ndugu zetu wa huku Arusha nao wamebahatika kuwekeawa lami mwaka huu japo ni nusu mradi kamili wa kuifikisha lami inapotakiwa kuishia bado aujakamilika. Lami hii sasa imekuwa ikileta huzuni baada ya furaha kwani waendesha bodaboda wa huu mtaa wameigeuza rami hii...
Back
Top Bottom