mkumbo

Diana Mkumbo Chilolo (born 14 April 1954) is a Member of Parliament in the National Assembly of Tanzania. She has been a member since 2000. She is a member of the Chama Cha Mapinduzi (CCM) party.

View More On Wikipedia.org
  1. JituMirabaMinne

    JamiiForums Tanzania Usinunue gari kwa kufuata mkumbo, inagharimu muda mwingine

    Usinunue gari kwa kufuata mkumbo. Si kwa sababu fulani analo au watu wengi wanalo, au kila mtu ananunua gari hilo then na wewe ndio uamue kununua gari hilo. Inagharimu sana muda meingine. Kuna watu wameyachukia sana magari fulani kwa sababu tu alilipenda baada ya kumuona fulani anaendesha naye...
  2. Azizi Mussa

    JamiiForums Tanzania Muelekeo wa Uwekezaji nchini chini ya uongozi wa Prof. Mkumbo, Tunatokaje tulipo?

    Kuna msemo kuwa ili kupata matokeo yasiyo ya kawaida, ni lazima kwanza kufanya kitu kisichokuwa cha kawaida . Sote tunakubaliana kuwa ili kukuza uchumi wetu, kwa vyovyote vile ni lazima tukuze uwekezaji wa kutoka nje lakini pia wa ndani ya nchi. Hata hiyo sio tu kwamba kasi ya uwekezaji kwa...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Profesa Kitila Mkumbo, wewe ni Waziri jadili hoja za Wizara uliyokabidhiwa

    Nimefuatilia mahojiano ITV Kati ya mtangazaji na Dr. Kitilla Mkumbo kuhusu hoja mbalimbali. Kwa ngazi yake ya elimu na hoja alizotoa unaona namna elimu ya Phd isivyo na umuhimu hasa kwa mwanasiasa. Leo Kitila Mkumbo aliyekosa ushawishi kwa Wana ubungo anatuaminisha upinzani imepoteza imani kwa...
  4. Extrovert

    JamiiForums Tanzania Kabla hujanunua European brand kwa mkumbo zingatia

    Tunaoendesha vigari vya Kijapani esp. Toyota tunabezwa sana humu ooh gari mbaya, mbovu, haziko stable na blaah blaah nyengine. Ni sawa ila zinatibika kwa wepesi bila kuua account bank. Kabla hujajiingiza huko hebu cheki mambo ya Audi A6 huku na hii ni ya 2004. Kwa hisani ya Jerry Spare Parts...
  5. CHADEMA

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo Wapinga Matokeo, Wataka Uchaguzi Urudiwe, pia NEC na ZEC zivunjwe

    UPDATES: 05:55 Asubuhi: Viongozi wa vyama vya ACT na CHADEMA wakiongozwa na Freeman Mbowe, Tundu Lissu na Zitto Kabwe wanaingia kwenye ukumbi ambapo watafanya mkutano na waandishi wa habari. MNYIKA: Viongozi wakuu wa vyama vyetu tumekuwa kwenye vikao vya mashauriano na vimeendelea leo asubuhi...
  6. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Vijana wengi wanafuata mkumbo na kuchukulia kuwa Mpinzani ni fasheni na kwenda na wakati

    Hapo vipi! Binafsi mwaka 2019 nilikuwa mwanachama wa chama fulani cha upinzani, ila nilikaa nikatafakari na nikachunguza hicho chama mbadala nikagundua ni kitakuja kuwa ni chama cha ovyo kitakachokuwa kama kampuni ya watu fulani wanaotoka katika kabila fulani. Pima nimepima sera zake nikagundua...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Prof Kitila Mkumbo aibukia KKKT Kimara kwa Mchungaji Matsai, mchungaji amshukuru Rais Magufuli kwa flyover za Ubungo

    Mgombea Ubunge wa jimbo la Ubungo Prof Mkumbo leo amesali katika Kanisa la KKKT Kimara na hajatakiwa kuongea chochote kwa sababu yeye ni mgombea wa chama cha siasa. Hata hivyo mchungaji Matsai amemtaka Prof Mkumbo kufikisha shukrani za usharika huo kwa Rais Magufuli ikiwemo ujenzi wa flyover za...
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dakika 45 ITV tunaamini baada ya kumhoji Kitila Mkumbo anayefuatia ni Boniface Jacob

    Kama mlivyofanya kwa Wagombea wa Urais kwa kuwahoji wote basi bila shaka ndivyo mtakavyofanya kwa wagombea Ubunge wa Jimbo la Ubungo hasa baada ya kuanza kumhoji Mgombea ubunge wa CCM, Kitila Mkumbo wiki hii ambaye si kiongozi wa CCM. Tunaamini atakayefuatia wiki ijayo ni Boniface Jacob wa CHADEMA.
  9. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu (CHADEMA), aomba mdahalo na Dkt. Pombe Magufuli (CCM)

    Akiwa mkoani Iringa leo tarehe 13 Septemba, Lissu amesema "Natoa rai kwa Mgombea Urais wa CCM na vyombo vyetu vya habari, kufanikisha mdahalo kuhusu mustakabali wa Taifa letu la Tanzania" ===== LISSU IRINGA: MDAHALO NA MAGUFULI, MIKOPO ELIMU YA JUU NA HIFADHI YA JAMII KWA WOTE Mgombea Urais...
  10. Cicadulina

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi yamrejesha Boniface Jacob jimbo la Ubungo

  11. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Kitila Mkumbo kuzindua kampeni zake za Ubunge Jimbo la Ubungo Ijumaa Septemba 4

    Mgombea Ubunge Jimbo la Ubungo kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, Prof. Kitila Mkumbo, ambaye ni mwanazuoni mbobevu na mkazi wa Ubungo kwa zaidi ya miaka 20, kesho atazindua rasmi kampeni zake kwa jimbo hilo. Prof. Kitila ambaye anapewa nafasi kubwa ya kuwa mshindi wa jimbo hili, atazindua...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kitila Mkumbo Ubungo wanakudhalilisha, Waliokutoa Singida walikudanganya

    Nimeona mkutano wa Kitila Mkumbo Ubungo Maji, kwa idadi ya watu alionao na kwa nanmna viongozi wa ccm wa mashina wanavyotumia nguvu kumnadi na kuamasisha wanachama wahudhurie mikutano yake sidhani Kama atapata hata kura elfu mbili, ukiona unakosa mvuto kwa wananchi Wanaokuzunguka hata Salam...
  13. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ubunge Jimbo la Ubungo: Boniface Jacob aweka pingamizi dhidi ya Prof. Kitila Mkumbo kwa madai ya kukosea kujaza fomu

    Mgombea Ubunge Jimbo la Ubungo kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Boniface Jacob amemuwekea pingamizi mgombea wa CCM Prof. Kitila Mkumbo akitaka msimamizi wa uchaguzi wa jimbo hilo kumuondoa Prof. Kitila kwa kile alichodai kukosea kujaza fomu za uteuzi.
  14. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania GE2020 Profesa Kitila Mkumbo achukua fomu kuomba ridhaa ya CCM kumteua kugombea Ubunge Ubungo

    Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Profesa Kitila Mkumbo, amejitokeza kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya chama chake kimteue ili aweze kugombea Ubunge katika Jimbo la Ubungo kupitia CCM.
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nakukumbusha Kitila Mkumbo , kwamba 2015 CHADEMA ilimshinda Didas Masaburi wa CCM kwa tofauti ya zaidi ya kura elfu 10

    Nimepata habari nikiwa safarini kutoka Kyela kuja DSM kwamba eti wewe Kitila Mkumbo umemkimbia Mwigulu kwenu Iramba na kuja kujaribu bahati yako jimbo la Ubungo , Nakukaribisha , lakini nakutahadharisha kwamba Ubungo si Jimbo jepesi na hasa kwa wanasiasa wasaliti kama wewe . Mtoto wa Mjini ...
  16. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania GE2020 Profesa Kitila Mkumbo akimbia Singida, atangaza nia jimbo la Ubungo

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Profesa Kitila Mkumbo ametangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Ubungo katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu kupitia Chama Cha Mapinduzi. ==== Kitila Mkumbo ni muhadhiri katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, ana phd ya Saikolojia, Maters ya Elimu...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Picha: Katibu Mkuu Wizara ya Maji aenda kuchimba mtaro wa maji wilayani Chato

    Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Kitila Mkumbo anaonekana akichimba mtaro wa kulaza bomba katika mradi unaogharimu zaidi ya TShs bilioni 8 kupeleka maji kwenye vijiji vitatu.
  18. M

    JamiiForums Tanzania Jeraha la kisiasa ( political casuality) la Prof. Kitila Mkumbo kwenye kuwania Ubunge

    Joto la harakati za kupata ubunge limezidi kupamba moto miongoni mwa watia nia wa chama tawala pamoja na vyama vya upinzani. Ni sarakasi , vitimbi na mnyukano vinaendelea huko majimboni. Hapa nataka nizungumzie jimbo la Iramba Magharibi ambalo lipo chini ya Dr Mwigulu kupitia chama Cha...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Hiki kiburi, jeuri na dharau Prof. Kitila Mkumbo nguvu anaipata wapi

    Hivi majuzi, Katibu wa Siasa na Itikadi Ndg Humphrey Polepole, Kwa niaba ya Chama aliongea na wandishi wa habari Kama mlivyomsikia alisema, 1) Wale wasaka Ubunge wanaovuruga majimbo ya CCM hawatateuliwa maana ni walafi wa madaraka. 2) Wale walioteuliwa na Rais katika majukumu mbalimbali mfano...
Back
Top Bottom