Unaumwa uchungu unaambiwa utazaa kesho, lakini siku inafika na uchungu unakatika. Unaambiwa ufanye mazoezi, bado kimya. Kesho kutwa unarudishwa nyumbani, ukifika uchungu unaanza tena. Unarudi hospitali unaambiwa njia zimefunga, unahitaji upasuaji wa haraka.
Unajifungua mwanao kwa mateso...