Bwana Mkubwa is a constituency of the National Assembly of Zambia. It covers Bwana Mkubwa, Chichele, Itawa/Ndeke, Kantolomba, Kavu/Kan'gonga, Mushili, Munkulungwe and Twashuka/Kaloko in the Ndola District of Copperbelt Province.
Mashirika hasa ya dini kama KKKT na RC pamoja na wawekezaji binafsi watusikie Wazazi wa Dodoma.
Dodoma kuna uhitaji mkubwa sana wa Shule bora za Sekondari za kutwa, kwa sababu Mwakani 2027 Watoto watamaliza shule ya msingi wakiwa wadogo wengi katika wastani wa miaka 10 mpaka 11.
Hivyo, wazazi...
Anonymous (e1e0)
Thread
dodoma
mashirika
mkubwa
shule
taasisi
uhitaji
uhitaji mkubwa
Moja kwa Moja..
Leo Rais wa Marekani Donald Trump katika post yake amejipost picha yake ya kutengeneza na AI ikimuonyesha yeye akiwa katika nafasi ya Yesu .
Picha hiyo imepata ukosaaji mkubwa mitandaoni baadhi wakisema anafanya kufuru kwa kuleta mzaha kwenye dini , kujipa nafasi ya Mungu na...
kuna watu wanafanya umri wa kuzaliwa kama ni mashindano, na pale wanapogundua wao ni wakubwa wanafarijika na wanajisifia sana vitu vitokanavyo na ukubwa wao
watu wa namna hii huwa wananifikirisha na ninaiona hii kama changamoto ya afya ya akili kwasababu kimsingi umri wa kuzaliwa unaonyesha tu...
Mbona off target zimekuwa nyingi sana? Pamoja na kuendelea kushukuru kwa h*hivyo vidogo* lakini ni muhimu sasa kujiuliza kuhusu wingi wa off targets
Kwenye ngono pia kuna off target
Kwenye kabumbu pia kuna off target
Kwakuwa lengo ni on target..! Off target zikizidi Sana lazima watu wajiulize...
Kuna bibie nilikua namtafuna hapa,sasa usiku kucha alikua analalamika eti uume wangu ni mkubwa sana.
Sasa naomba kuuliza ,uume mkubwa huwa unaanzia size gani
Wasiojulikana? Inakuwaje taifa linakuwa na watu wasiojulikana?
Tangu afariki Mzee Kibao kwa kifo ambacho kilishangaza dunia kwa mtu kunyakuliwa kama kuku kwenye basi kisha kupatikana amekufa kinyama taifa letu limegawanyika na kupasuka.
Leo hii watu wanashangilia hadharani kwenye majukwaa ya...
Tunaamini vibaka, wezi, wahuni, na watu wasiokuwa na tabia njema, nao pia huzeeka. Je, katika uzee wao, huwa tunawachukuliaje, kuna cha kujifunza chochote kutoka kwao? Je ni sahihi kuwaheshimu?
My Take
Tiba zingine ni upuuzi mtupu 😂
😂
============
Wakati wanawake wakikabiliana na changamoto mbalimbali za kiafya zinazohusiana na sakafu ya nyonga, matumaini mapya yanaanza kuonekana kupitia tiba za kisasa, zikiwemo huduma za kurekebisha na kuboresha via vya uzazi pamoja na urembo wa...
Miongoni mwa waliohudhuria Misa Takatifu ya kumbukizi ya miaka mitano ya kifo cha Rais wa Awamu ya Tano, John Pombe Magufuli, ni Wilfred Mwango, aliyewahi kuwa mlinzi wake binafsi.
KUMBUKIZI | Magufuli: Siku moja mtanikumbuka, na mimi najua mtanikumbuka kwa MAZURI si kwa MABAYA
Picha hii...
Kwa kila namna taifa limepasuka. Matajiri na wenye mali ndio wanaofaidi taifa hili. Watoto wa masikini wanauza mahindi ya kuchoma na karanga ili waende shule. Watoto wa matajiri na wanasiasa matajiri wanasoma shule zinazoitwa za njano.
Siasa za taifa letu zimegubikwa na rushwa , upendeleo na...
Tanzania hivi sasa tunakabiliwa kwa kiwango kikubwa sana cha vijana tunaowaita Elimu Ndogo Pesa Nyingi (Tuwaite EP kwa kifupi - Elimu Pesa), ambao utawatambua katika namna ya maongezi yao, kutamba kwao na kujionyesha kwao. Hata humu JF wapo wengi tu. Utaongea nae dakika tatu tu na kujua kwamba...
Kamisheni ya Umoja wa Afrika imeonyesha wasiwasi mkubwa kuhusu mashambulizi ya kijeshi ya Marekani na Israel dhidi ya Iran, ikisema hatua hiyo inaongeza ukali wa mzozo Mashariki ya Kati.
Mwaka 1961, mwanasaikolojia wa Chuo Kikuu cha Yale, Stanley Milgram, alifanya jaribio ambalo lilionyesha jinsi ubongo wa binadamu unavyofanya maamuzi unapokua chini ya mamlaka fulani na kuibua swali zito kuhusu utii wa binadamu kwa mamlaka.
Katika jaribio hilo linalojulikana kama Milgram...
Kwa maoni yangu kuliko kuchukua vimikopo vidogo vidogo vya kulimbikiza Bora nichukukue pesa ndefu miaka 10 kabisa au zaidi nifanye jambo linaloeleweka.
Ukiona wale waliokopa na wakafanya ujenzi ukaishia njiani, wengi wao ni walichukua Mkopo wa muda mfupi (less than 5 years).
Lakini ukichukua...
Mheshimiwa Spika wa JF. kwanza napenda kumpongeza mungu kunichagua mimi kuwa mbunge na kumshukuru mama kunipitisha kwa ushindi wa kishingo.
Kwa kweli mama mitano tena. Tumeona maendeleo ambayo amefanya toka uhuru hayajawahi fanyika.
Swali kuu. Je baada ya kampeni kali za kumtembeza Mch...
Imagine mahakama ya ICC wanatangaza kufungua uchunguzi rasmi wa makosa ya jinai dhidi ya Samia, mara anajiandaa kusimama kizimbani huko The Hague, halafu machawa mnazindua uwanja wa AFCON na kuupa jina lake. Hapo italeta picha gani? Hapo hata Motsepe mwenyewe atawakimbia.
Naona kuna kasi ya...
Wadau, taarifa hii ni kwa mujibu wa uchambuzi wa vyanzo mbalimbali vya uhakika duniani na taarifa za ndani, hivyo uwezekano mkubwa ni alfajiri ya kuamkia jumapili tarehe 22.2.2026 kwa saa za Marekani. Shambulio hilo malengo ni kuuangusha utawala wa Kiislamu wa AYATOLLAH KHAMENEI. Kibali...
Tanzania imetajwa na mtandao wa International IQ Test kuwa ya 22 barani Afrika kwa kuwa na kiwango cha juu cha uwezo wa akili kwa mwaka 2026, huku Algeria, Tunisia na Morocco zikiongoza orodha hiyo kwa upande wa bara la Afrika.
Kwa Afrika Mashariki, Kenya imeongoza imeshika nafasi ya kwanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.