mkubwa

Bwana Mkubwa is a constituency of the National Assembly of Zambia. It covers Bwana Mkubwa, Chichele, Itawa/Ndeke, Kantolomba, Kavu/Kan'gonga, Mushili, Munkulungwe and Twashuka/Kaloko in the Ndola District of Copperbelt Province.

View More On Wikipedia.org
  1. Keynez

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano wa uwanja wa Arusha usipewe jina la Samia?

    Imagine mahakama ya ICC wanatangaza kufungua uchunguzi rasmi wa makosa ya jinai dhidi ya Samia, mara anajiandaa kusimama kizimbani huko The Hague, halafu machawa mnazindua uwanja wa AFCON na kuupa jina lake. Hapo italeta picha gani? Hapo hata Motsepe mwenyewe atawakimbia. Naona kuna kasi ya...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Uwezekano mkubwa sana Shambulio la Marekani dhidi ya IRAN ni alfajiri ya ya Jumapili kesho kutwa

    Wadau, taarifa hii ni kwa mujibu wa uchambuzi wa vyanzo mbalimbali vya uhakika duniani na taarifa za ndani, hivyo uwezekano mkubwa ni alfajiri ya kuamkia jumapili tarehe 22.2.2026 kwa saa za Marekani. Shambulio hilo malengo ni kuuangusha utawala wa Kiislamu wa AYATOLLAH KHAMENEI. Kibali...
  3. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Tanzania imeshika nafasi ya 22 Afrika kwa kuwa na IQ (uwezo wa akili) mkubwa zaidi barani Afrika

    Tanzania imetajwa na mtandao wa International IQ Test kuwa ya 22 barani Afrika kwa kuwa na kiwango cha juu cha uwezo wa akili kwa mwaka 2026, huku Algeria, Tunisia na Morocco zikiongoza orodha hiyo kwa upande wa bara la Afrika. Kwa Afrika Mashariki, Kenya imeongoza imeshika nafasi ya kwanza...
  4. PAYE

    JamiiForums Tanzania Rais samia: Nampongeza Museveni kwa ushindi mkubwa wa Uchaguzi

  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ongeza Testosterone zako kwaajili ya nguvu na mamlaka ya uanaume wako

    ONGEZA TESTOSTERONE ZAKO KWAAJILI YA NGUVU NA MAMLAKA YA UANAUME WAKO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Kadiri testosterone zako zinavyoshuka ndivyo nguvu na mamlaka yako inavyodondoka chini. 2. Kutojiamini kunaongezeka. Mwanaume mwenye testosterone ndogo(zilizochini Sana) hata kiwango...
  6. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Tangu alipofariki Shujaa wa Afrika John P Magufuli taifa la Tanzania lina mpasuko mkubwa kisiasa, kidini na hata Ideologically

    Mwenye akilpi ndogo kama punje ya haradali atabisha. Ukweli ni kwamba rais Magufuli alikuwa ameliunganisha taifa kwa kila namna. Na ndio maana hata aliposema tuweke siasa kando hata Wananchi wa kawaida hawakulalama. Maana waliona anapiga kazi kwa wananchi wote. Aliunganisha wananchi wote wa...
  7. aBuwash

    JamiiForums Tanzania Napangisha fremu ipo Songea Mjini kabisa ugabe sehemu yenye mzunguko mkubw wa biashara

    Habari za saiz wadau wa jf, Kama kichwa Cha habari kinavosema, Napangisha fremu ipo SONGEA ugabe mjini kabisa. Fremu ni mpya yakuchangamkia maana songea kupata fremu sio kazi ndogo haswa ukifika mwez wa tatu kutokana na MZUNGUKO wa BIASHARA KILEMBA NI MILLION MBILI KODI NI LAKI MBILI KWA MWEZI...
  8. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Naomba nisaidie mawazo mimi nna miaka 35 nimeolewa miaka 7 iliyopita mume wangu ana uwezo mkubwa sana

    Hebu njoen Dr dogoli kinyamkela ☠️ 💀 naomba nisaidie mawazo mm nna miaka 35 nimeolewa miaka 7 iliyopita mume wangu ana uwezo mkubwa sana Ananipa kila kitu nnachotaka Nakatazwa kutoka nje hata nikienda kwetu napelekwa na kurudi nna mama na pia baba yangu alikufa nna baba wa kambo nakatazwa...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Adui mkubwa wa maendeleo kwa Vijana na wenye maisha ya chini ni BETTING.

    Habari zenu? Nimekaa na kufikiria kitu ambacho kina ukweli ndani yake, kitu kinachorudisha maendeleo ya vijana chini ni kamari. Leo ukipoteza 1000 baada ya siku 10 ni 10,000. Baada ya siku 100 laki 1. Hapo unajikuta ndani ya siku 100 umeshinda mara 3. Maana kuna watu wana lost zilizokithiri...
  10. appoh

    JamiiForums Tanzania Mambo madogo yanaanza kua mkubwa kidogo kidogo

    Wanayotaka wananch wasikilizwe kabla hali haijawa mbaya tuna nafas kubwa sasa ya kubadilisha hali hii
  11. K

    JamiiForums Tanzania Nyerere angewasikiliza Mtei na Kambona uchumi wa Tanzania ungekuwa mkubwa sana

    Nyere alishidwa sehemu moja tu kwenye uchumi. Wakati wa nyerere Tanzania ilikuwa masikini na hakufanikiwa kuja na suluhu ya maana. Sera na maazimio yake hayakufanikiwa ndiyo maana hadi leo Kenya nchi ndogo zaidi imetuzidi uchumi. Kuna watu wawili ambao angewasikiliza tusingekuwa hapa Edwin...
  12. Mhaya

    JamiiForums Tanzania El Mencho ndiye bosi wa dawa za kulevya anayeogopwa zaidi na mwenye ushawishi mkubwa zaidi duniani kwa sasa.

    Nemesio Oseguera Cervantes, anayejulikana zaidi kama El Mencho, alizaliwa Juni 17, 1967 katika kijiji kidogo cha Michoacán, Mexico. Alikulia katika familia maskini, akikabiliana na ukosefu wa fursa na mazingira magumu ya vurugu na umasikini, ambayo yaliunda msingi wa akili yake ya kibiashara na...
  13. Keynez

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano mkubwa wa Tanzania kupoteza uenyeji wa AFCON 2027

    Bila juhudi za kweli, za dhati na makusudi kuleta suluhisho la kudumu ndani ya Tanzania, kuna uwezekano mkubwa wa Tanzania kupoteza uenyeji wa AFCON 2027. Wanaharakati wanaendelea na juhudi za kupush uwajibikaji katika matukio yaliyotokea kwenye MO29 na naona kama mwakani ndiyo hizi juhudi...
  14. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Nina ugomvi mkubwa na dada Yangu..nitumie njia Gani kuleta amani?

    Niligombana na dada Yangu miaka ya 2018..kwa sababu mbalimbali zikiwemo utoto wangu kwa wakati ule na weekness zake. Sasa ni miaka Mingi imepita hatuongea hata nikijaribu kumtafuta napokea matusi TU ya nguoni.. Mama hana la kusema kwasababu ameshasema sana juu ya hili lakini naona ni...
  15. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Kwa nini maombi yetu kuhusu mkubwa fella hayajibiwi?

    Watanzania tuna kesha na kuomba. Ila kwa nini maombi yetu kuhusu mkubwa fella hayajibiwi? I wish..............
  16. The Magnifico

    JamiiForums Tanzania Abate Christian Temu OSB: Wakati nakuja, nimeona umati mkubwa wa watu waliovaa vizuri, sijaona aliyevaa dera wala kijora

    "Nimeona umati mkubwa wa watu waliovaa vizuri, watu ambao wana malengo, watu ambao wanajielewa". "Nikaangalia angalia kama kuna aliyevaa dera au kijora lakini sijaona". Abate Christian Temu OSB | Abate wa Abasia ya Ndanda.
  17. nyiokunda

    JamiiForums Tanzania Donald Trump ni bepari mkubwa

    Nilikuwa naangalia kikao cha Trump live akiwa White house kupitia Aljazeera, Trump alikuwa na makamu, waziri wa mambo za nje, waziri wa nishati pia aliwaalika wakuu wa makampuni makubwa ya mafuta. Alisema Venezuera sasa ni mshirika na jana mapipa ya mafuta yalisafirishwa Marekani. Wakuu wa...
  18. Fbn

    JamiiForums Tanzania Sanaa na wasanii, Mkubwa Fella unalilia wakati pesa zipo! Someni hapa

    Si ndani wala nje ya nchi ila wasanii wanaishi maisha ya sanaa. Marehemu ruge respect sana kwa kutuambia ogopa mungu na teknolojia. Hii ilikuwa mwaka 2021
  19. H

    JamiiForums Tanzania Utofauti mkubwa wa umri na dini

    Happy new year 2026 MMU. Kuna binti wa ki-islamu nimefikiria nianze kufanya mchakato wa kufikisha taarifa kwa wazazi wake kuhusu nia ya kutaka kumuoa binti yao. Hii ni baada ya penzi la mtu wangu wa muda mrefu kufa kabisa. kabla sijaamua kufikisha taarifa kwa wazazi wa huyu binti wa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo lilianza pale mliposema kuwa Simbachawene ana uwezo mkubwa na Busara kuliko Mwigulu Nchemba

    Mlipomsifia tu kuwa Simbachawene anabusara na uwezo mkubwa wa kufanya shughuli za umma. Hapo ndipo yalianza matatizo
Back
Top Bottom