mkubwa

Bwana Mkubwa is a constituency of the National Assembly of Zambia. It covers Bwana Mkubwa, Chichele, Itawa/Ndeke, Kantolomba, Kavu/Kan'gonga, Mushili, Munkulungwe and Twashuka/Kaloko in the Ndola District of Copperbelt Province.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kuna wanawake wanauelewa mkubwa wa mambo kuliko wanaume kiufupi mi nawaita akili kubwa

    Wanawake ila sio wote maana wanawake wengine akili zao wanazijuaga wenyewe mimi na uanaume wangu wote nikili tu vitu vingi vya tech nimeelekezwa na mwanamke wangu huyu mfano jambo dogo tu ilikua mwaka 2015 nimenunua simu mpya sasa nataka niingie play store nipakue vitu ninavyo vitaka niseme...
  2. JamiiForums Tanzania Ujasiriamali unahitaji uvumilivu mkubwa

    Wapo watu wengi, wanatamani kuwa wajasiriamali; wamiliki biashara zao, kampuni, kiwanda n.k Na wengi wetu huwa tunalenga kupata faida kwa haraka haraka, na inapotokea ukapata faida kidogo, baada ya kuondoa gharama za uendeshaji, ndipo changamoto za biashara uanza; unakuta umewekeza mtaji labda...
  3. JamiiForums Tanzania Chama cha CUF wananchi wilaya ya Kinondoni kufanya mkutano mkubwa wa hadhara Magomeni Februari 2, 2023

    CuF- chama cha wananchi wilaya ya kinondini Mkutano mkuu wa hadhara Viongozi wakuu wa chama watakuwepo wakiongozwa na bingwa wa uchumi dunia prof.Lipumba. Usipange kukosa njoo tuisimamishe kinondoni, njoo tuijaze magomeni. #ChamaMakini #ViongoziMakini
  4. JamiiForums Tanzania Tajiri wa Morogoro Abood najua leo una Furaha kwa Adui yako mkubwa DC Msando Kuhamishwa

    Za ndani nilizozipata kutoka kwa Chawa Wako zinasema leo Jioni utakutana nao mahala na Mzinywe na Wale sana kwani Mtu aliyekuwa akikunyima Usingizi Wakili Albert Msando aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Morogoro uliyoko amehamishwa na Mkeka mpya wa Mama. Ila kwa DC Msando alivyowekeza hapo Wilayani...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mtu anayeaminika kuwa na umri mkubwa zaidi duniani afariki Ufaransa

    Mtawa kutoka Ufaransa anayeaminika kuwa mtu mwenye umri mkubwa zaidi duniani ameaga dunia wiki chache kabla ya kusherehekea miaka 119 tangu kuzaliwa, kwa mujibu wa ripoti iliyotolewa na msemaji wa kituo cha afya Jumatano kusini mwa Ufaransa Lucile Randon ambaye pia anajulikana kama sister...
  6. JamiiForums Tanzania Mkutano wa mjadala wa utekelezaji wa mradi wa uimarishaji ya miliki ya ardhi(land tenure improvement program)

    MKUTANO WA MJADALA WA UTEKELEZAJI WA MRADI WA UHIMALISHAJI YA MILIKI YA ARDHI (LAND TENURE IMPROVEMENT PROGRAM) Tumefungua mkutano wa mjadala wa Utekelezaji wa Mradi wa uhimalishaji Salama ya Miliki za Ardhi yaani Land Tenure Improvement Program. Mradi huu unakwenda kupima, na kutambua Vipande...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mwenezi wa CCM Ndg. Shaka na Mkutano mkubwa na Waandishi wa Habari Januari 12, 2023

    Katibu wa NEC- Itikadi na Uenezi wa CCM Ndugu Shaka Hamdu Shaka leo Jumamosi Januari 14, 2023 Saa 11 Jioni atakuwa na Mkutano na Waandishi wa Habari katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba Jijini Dar es Salaam. #CCMImetimia #KaziIendelee
  8. JamiiForums Tanzania Adui mkubwa wa Mtanzania ni Mtanzania mwenyewe!

    Naomba nizungumzie kiujumla, licha ya kwamba kati yetu binafsi, wapo ambao wako tofauti na walio wengi. Watanzania wengi ni wajinga [wasiozijua haki zao] na ni waoga sana. Mchanganyiko wa hizo sifa mbili ni kikwazo kikubwa sana katika maendeleo ya jamii. Huwezi kupata maendeleo yoyote yale ya...
  9. L

    JamiiForums Tanzania China yaendelea kuwa mchocheaji mkubwa wa TEHAMA barani Afrika

    Sekta ya Teknolojia ya Habari na mawasiliano ya habari (TEHAMA) inatajwa kuwa ni mapinduzi ya tano ya viwanda duniani. Wadau wa maendeleo wamekuwa wakitaja sekta hii kuwa ndio msingi na mwelekeo wa siku zijazo duniani, lakini pia kama nchi yoyote itabaki nyuma kwenye sekta hii, uwezekano wa...
  10. JamiiForums Tanzania Kijana mwenye uwezo mkubwa wa kutengeneza michezo (games) ya kubeti, changamsha siku yako na hii

    Kila mtu anapenda kufanya kitu kitakacho mpa amani na furaha. Ikiwa utapata furaha ukifanya kitu Fulani, basi hicho ndio kitu kinachokufaa sana. Kuna watu wanapenda kupika, wengine kusoma vitabu, wengine kuimba au kuchora. Hizi zinaitwa hobbies, Mambo unayopenda sana,na siku yako haipiti bila...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Hassan kufufua Mradi Mkubwa wa Kilimo Umwagiliaji wa Bugwema, Mkoani Mara

    SERIKALI YARIDHIA KUFUFUA MRADI MKUBWA WA KILIMO CHA UMWAGILIAJI BONDE LA BUGWEMA *Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alikusudia kuanzisha kilimo kikubwa cha umwagiliaji ndani ya Bonde la Bugwema. Hii ilikuwa mwanzoni mwa miaka ya 70. *Bonde la Bugwena ni kubwa mno. Eneo...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Mzee Tanzania na Mama Mkubwa CCM

    Toka mzee wetu azaliwe na kubahatika kumpata mke wa kwanza wa kumtunza Februari 5, 1977 na kuwa mama wa Watanzania wote bara na visiwani kwa miaka mingi, hatimaye mwaka 1992, mzee kwa kushirikiana na mke mkubwa, aliweka wazi wazo lake la kuwa na wake wengi. Wakaibuka wengi kwa namna ambayo...
  13. JamiiForums Tanzania Samia Suluhu Hassan aingia kwenye orodha ya watu wenye ushawishi mkubwa Duniani miongoni mwa Waislamu

    Samia Suluhu Hassan ni Rais wa Tanzania aliyeingia madarakani baada ya kutokea kwa kifo cha mtangulizi wake John Magufuli Machi 2021. Ameweka rekodi ya kuwa mwanamke wa kwanza kushika wadhifa huo wa juu zaidi nchini Tanzania. Pia anakuwa rais wa pili wa Tanzania kutokea Zanzibar, wa kwanza akiwa...
  14. JamiiForums Tanzania Muhimbili waanza kutoa huduma kupunguza uzito, watatu wenye kilo 100+ wamepata huduma kwa Sh milioni 3.5 hadi 4

    HOSPITALI ya Taifa ya Muhimbili-Mloganzila,iliyopo jijini Dar es Salaam, imeanza kutoa huduma ya kupunguza uzito uliokithiri, ikiwa ni hatua ya kukabiliana na magonjwa yasiyoambukiza. Hadi sasa watu watatu wenye uzito zaidi ya kilogramu 100 wamepata huduma hiyo inayogharimu kiasi cha Sh milioni...
  15. JamiiForums Tanzania Waafrika tulimtuma Kolo Muani kuwapiga kibao Wamorocco, leo tunamtumia Kylian Mbappe

    Mfalme wa Morocco alikuwa rafiki mkubwa wa Shujaa Magufuli, kwa sababu ya urafiki wao tumejengewa msikiti wa Kinondoni na tumeahidiwa kujengewa uwanja wa mpira jijini Dodoma. Tunawapongeza sana ndugu zetu Morocco kwa kuweka historia ya kuwa timu ya kwanza Africa kufika nusu finali ya Kombe la...
  16. JamiiForums Tanzania Mika Mwamba ndiye Producer mwenye uwezo mkubwa wa kutengeneza beats kali kuwahi kutokea kwenye historia ya Bongofleva

    Jina lake ni Miikka Kari, Hapo kwenye Kari alibadili iwe kwa kiswahili na tafsiri yake ni Mwamba, hivyo aliamua kujiita Miikka Mwamba ila wengi tukaizoea Mika Mwamba Ngoma za huyu mwamba zilikuwa na vinanda vyenye ma-vibe ya kufa mtu: Tamara + ni wewe - Hard Mad Eno maiki - Ziggy Dee...
  17. JamiiForums Tanzania Ni kipi humfanya mtu kupata GPA ndogo chuoni? Kati ya mwenye GPA ndogo na kubwa ni yupi ana uwezo mkubwa?

    Kuna watu hapa wana GPA chini ya 3.5 na wengine chini ya 3.8. Jambo hili linawafanya wengi wao kukosa baadhi ya nafasi za kazi. Sasa je ni kipi husababisha mtu kupata GPA ndogo. Na je kati ya mwenye GPA ndogo na kubwa ni yupi anauwezo mkubwa?
  18. JamiiForums Tanzania Dani Alves kuweka rekodi ya nahodha mkubwa zaidi wa Brazil katika Kombe la Dunia

    Beki huyo anatarajiwa kuiongozi timu yake ya taifa katika mchezo wa kukamilisha Hatua ya Makundi dhidi ya Cameroon, leo Desemba 2, 2022. Alves (39), beki wa kulia ambaye anaichezea UNAM Pumas ya Mexico atapewa nafasi hiyo kwa kuwa tayari timu yake imeshakata tiketi ya kucheza Hatua ya 16 Bora...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa Umafia huu mkubwa wa FA ya Mbeya, Ihefu FC wakisaidiwa na Watu wa Simba SC 'Unbeaten Record' ingeisha tu leo

    Kwa Kawaida Makomandoo wa Yanga SC na hasa Mganga wao Hatari hupenda Kutangulia (Kuwahi) Mkoa ambao Yanga SC inacheza kisha wanaanza Kuufanyia Umafia na Uchawi (Ndumba) Uwanja ambao Utachezewa. Hivyo basi baada ya FA ya Mkoa wa Mbeya (hasa Kiongozi wao Mmoja mwana Simba SC) Kugundua Janja ya...
  20. JamiiForums Tanzania Mlima mkubwa zaidi duniani wa Volcano walipuka huko Hawaii

    Mlima wa volcano mkubwa zaidi duniani, Mauna Loa wa Hawaii, umelipuka kwa mara ya kwanza baada ya takriban miaka 40. Huduma ya Jiolojia ya Marekani (USGS) imeonya hali ya mazingira na hewa inaweza kubadilika haraka kuwa ya hatari kwa haraka sana. =================== Mauna Loa, the largest...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…