mkubwa

Bwana Mkubwa is a constituency of the National Assembly of Zambia. It covers Bwana Mkubwa, Chichele, Itawa/Ndeke, Kantolomba, Kavu/Kan'gonga, Mushili, Munkulungwe and Twashuka/Kaloko in the Ndola District of Copperbelt Province.

View More On Wikipedia.org
  1. Mlipuko mkubwa watokea Nairobi, wahofiwa kusababisha vifo, majeraha

    Watu kadhaa wanahofiwa kufariki katika kijiji cha Mradi, mtaa wa Embakasi, mjini Nairobi baada ya mtambo wa gesi kulipuka muda mfupi kabla ya sita usiku wa Alhamisi, na kuliingiza jiji katika hofu, gazeti la Daily Nation liliripoti. Wengine dazeni kadhaa wanaripotiwa kupata majeraha ya kutishia...
  2. Israel imeachiwa ishinde vita na haijashinda. Inasikitisha sana na kuna ujumbe mkubwa

    Kinachoendelea pale Gaza ni kama walimwengu wameamua waiache Israel ishinde vita vyake vya kuwamaliza Hamas na kuitawala Palestina. Kundi jengine la walimwengu ni kama wale wapenzi wa filamu za vita ambao wameamua waachwe wafaidi uhondo wa vita vya kweli badala ya kila siku kuangalia maigizo...
  3. Mikoa 8 kukumbwa na Mvua kubwa kwa siku 5 kuanzia Januari 30, 2024

    Mikoa ya Lindi, Iringa, Mtwara, Mbeya, Songwe, Njombe na Ruvuma inatarajiwa kupata Mvua za Juu ya Wastani kuanzia Januari 30, 2024 ikiwa ni siku chache tangu Mikoa ya Dar na Morogoro ikumbwe na Mafuriko. Kwa mujibu wa taarifa ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) Mvua hizo zinaweza...
  4. Houth wamepata ushindi mkubwa Red Sea

    Marekani kwa nafsi yake imepiga maeneo ya Yemen yanayotawaliwa na Houth mara 8 na kila mara husema wamepiga rada zao na pia kuyawahi makombora ya kuripulia meli yakitayarishwa kurushwa hewani. Mafanikio hayo kiuhalisia yalikuwa ni madogo sana kuliko uwezo wa kujificha wa Houth. Hatimae katika...
  5. PreGE2025 Makonda: CHADEMA kuna mgawanyiko mkubwa. Lissu hawezi kuwa Rais wa Tanzania, anaishi nje na kuja nchini kimatukio

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Itikadi, Uenezi na Mafunzo Paul Makonda akiwa mkoani singida Makonda Januari 25, 2024 amesema kuwa ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuna mgawanyiko unaochochewa na uwepo wa makundi mawili ambayo yote yanataka kumuweka Mwenyekiti wa Chama hicho...
  6. G

    Wivu na chuki ya maendeleo mbaya sana: Waigbo wa Nigeria ndio kabila lenye akili na uwezo mkubwa kibiashara, wanakomolewa ila bado wanadunda

    Nigeria kuna makabila 371 ila kuna makabila matatu maarufu 1. Hausa = Hili ndio kabila lenye watu wengi zaidi Nigeria na Afrika, Hawa wapo nyuma sana mambo ya elimu na hata huko kwao hakuna sana maendeleo miji imejaa omba omba lakini ndio walioshikilia power ya nchi kwenye siasa, Jeshini...
  7. F

    Ugomvi mkubwa wa Mirathi. Familia ya Mandela yaanza kuuza mali za marehemu. Kweli Africa tunafanana Tabia

    Habari wadau. Ugomvi mkubwa wa mirathi ya marehemu Nelson Mandela umefikia pabaya. Baada ya baadhi ya wanafamilia kuanza kuuza mali za Marehemu. Watoto na Wajukuu wa mandela wameingia kwenye ugomvi mkubwa wa kugombania mali za babu yao marehemu Mandela. Africa tunafanana tabia. Kwenye swala...
  8. Mamlaka ya majisafi na usafi wa mazingira Tanga kuna uozo mkubwa, Serikali imulikeni

    Kwanza nianze kwa kuwapa salam. Muende moja kwa moja kwenye malalamiko yangu. Ni jumanne ya wiki hii nyumba tunayoishi Mimi pamoja na wapangaji wenzangu tulikatiwa maji kutokana na baadhi yetu kulimbikiza malipo ya Ankara za Kila mwezi. Siku ya jumatano tulifanikiwa kulipa bili pamoja na faini...
  9. Uchumi wa Bangladesh ni mkubwa kuliko uchumi wa taifa lolote Afrika

    Alietuloga kwa kweli hana huruma. South Africa, Nigeria Egypt wote wamezidiwa na Bangladesh Afrika tuna matatizo gani. Nchi 54 wote tumefeli. Hata hizo za kaskazini (Arab countries) wamefeli. Uchumi wa Morocco, Egypt, Algeria, Tunisia, Libya hauendani na uhalisia. Wote tumefeli vibaya mno...
  10. S

    Je, ni dhambi kumuahidi mtu anayekunyanyasa kuwa wakati mwengine akikutana na wewe utakuwa mkubwa kuliko yeye akumbuke hilo

    Wakuu nimeianza 2024 nikiwa wa moto sana kwasababu ya kujua hatima yangu itapofika 2024 sitakiwi kuwa na ndoa na jamaa wa 2023 alokuwa akinitumikisha, kwani 2023 alishadiriki kuivunja ndoa yetu na akaomba hiyo 2023 kabla haujaisha mwaka turudiane, kweli tukarudiana mi nikiwa na akili mbili mbili...
  11. Kumuonyesha Mbwembwe za Kishamba Adui aliyekuzidi Akili, Maarifa na Mbinu ni Upumbavu mkubwa

    Na kibaya zaidi huyo Unayejitutumua kumuonyesha Mbwembwe zako si tu anakumudu bali anakujua ulivyo na mpaka Jikoni na Chumbani Kwako pia anakujua. Wewe hujiulizi tu hata Miwani niliyovaa si ya kawaida ( ni ya Kinjagu tupu ) na nilikataa Kusalimiana kwa kupeana Mikono na Wanafiki Watatu kwakuwa...
  12. TANESCO mtihani wa umeme mliowaingiza watanzania ni mkubwa sana, ila Mungu anawaona

    Swala la umeme nchini mwetu linafikirisha sana,ni mzigo mkubwa sana,ambao watanzania tulio wengi tunashindwa kuubeba.Jambo la kushangaza ni kwamba hakuna anayepaza sauti yake kuongelea swala la umeme,si Wabunge,viongozi wa vyama vya siasa au viongozi wa dini,kila mtu amefumba kinywa,kuna nini...
  13. PreGE2025 Vyama vya Upinzani nchini Tanzania vina uwezo wa kuitoa CCM madarakani?

    Ni utapeli unao fanywa na Vyama vya Upinzani nchini Tanzania kuwaaminisha watanzania kwamba vina uwezo wa kuitoa CCM madarakani wakati vinajua kabisa havina uwezo huo. Mtanzania kataa huo utapeli. # Come 2025, I will "Samia" my vote . What about u?
  14. Askofu Ruwaichi: Wajumbe wa Tume ya Uchaguzi kuteuliwa na Rais wanakosa Uhuru

    Akiwasilisha maoni mbele ya Kamati ya Bunge kuhusu na Miswada ya Sheria za Uchaguzi iliyowasilishwa na Serikali Bungeni, Askofu Mkuu wa Jimbo la Kanisa Katoliki Dar es Salaam, Askofu Jude Thaddaeus Ruwai'chi amesema Uhuru wa Wajumbe hao unapaswa kutiliwa maanani kwasababu Uteuzi wao unatoka kwa...
  15. R

    PreGE2025 Nabii Sanga: Mgawanyiko mkubwa utaikumba CCM mwaka 2024 na 2025, tuiombee

    Salaam, Shalom. Katika Unabii wa mwaka 2024, Nabii Sanga ametoa ujumbe Kwa Watanzania kuingia katika maombi kukiombea chama tawala CCM, amesema ameambiwa kuwa mwaka huu 2024 kutakuwa na mgawanyiko mkubwa utakaokikumba chama hiki. Amesema pia kuwa, mgawanyiko na mtikisiko utakaokikumba chama...
  16. Kwanini 90% ya Maafisa wa Vyeo vya Juu wa JWTZ Wakistaafu Ugonjwa wao mkubwa huwa ni 'Stroke: tu?

    Tafadhali naomba huu Uzi uwe na Mjadala wenye Mantiki kwa Faida ya Wengi kwani kwa Utafiti wangu GENTAMYCINE nikienda Kuona Wagonjwa Lugalo Military General Hospital na hata Majumbani / Mitaani 90% ya Wagonjwa wa Kiharusi ( mliosoma mnauita Stroke ) huwa ni Wanajeshi Wastaafu ( tena waliokuwa na...
  17. Mtu yeyote anaeishi kwa kujikombakomba ni mvivu mkubwa

    Angalia sifa kuu ya mtu yeyote ambae huishi kwa kujikomba komba au kujipendekeza kwa watu, mara nyingi hawa ni watu wenye sifa kuu ya kuwa wavivu wakubwa...mfano ndugu zangu warangi hawapendi kazi ngumu, hawapendi kazi zinazotumia kiwango kikubwa cha kufikiri yaani kutumia akili nyingi....
  18. Majengo zaidi ya 100 ya kihistoria na ya kale yamebomolewa na Israel. Ni msiba mkubwa kwa dunia

    Jumla ya majengo yanayozidi 100 yamebomolewa katika eneo la Gaza. Mojawapo lina umri wa zaidi ya miaka 1500 kabla Mtume Muhammad s.a.w hajazaliwa. Imeelezwa ubomoaji huo umepoteza historia muhimu kwa wapalestina na dunia yote kwa jumla. Kwa mujibu wa wasimamizi na wanahistoria wa kipalestina...
  19. kuna mambo mawili hapa......

    kuna mambo mawili hapa aidha aliishakula vya kwake vyote na hana alichobakiza au ametafuta saana na akakosa mwisho wa siku kakata tamaa, tujitahidi sana kuwakwepa hawa watu hasa sisi vijana wenye muelekeo wa kujipata.
  20. S

    BASATA ni lini mtampa tuzo rais Samia kwa uwezo wake mkubwa wa kuigiza?

    Kwa miaka yote ktk harakati zake za kisiasa rais Samia alikuwa hajajipata kipaji chake. Lkn alipoingia ikulu ndipo kipaji chake cha uigizaji kikadhihirika na sasa kimekomaa. Alianza na movie ya "Royal tour" na leo ameweka wazi kuwa movie yake mpya iitwayo "Kijiji cha milele" inakuja sokoni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…