mkubwa

Bwana Mkubwa is a constituency of the National Assembly of Zambia. It covers Bwana Mkubwa, Chichele, Itawa/Ndeke, Kantolomba, Kavu/Kan'gonga, Mushili, Munkulungwe and Twashuka/Kaloko in the Ndola District of Copperbelt Province.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Spika Dkt.Tulia Ackson ana uelewa mkubwa sana wa masuala ya kisheria

    Kama ni uchawa basi mm niko tayari kuwa chawa wake, ni kama Maria Sarungi alivyo chawa wa Tundu Lissu au God bless Lema alivyo chawa kwa Mbowe, mimi ni chawa wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwanini, nimekuwa nafatilia sana shughuli za bunge na leo asbh naangalia kipindi...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Ayoub Lyanga ni msaada mkubwa endapo Simba mtakuwa naye msimu ujao

    Nimeona Azam wameachana na Ayoub Lyanga, huyu kiungo ni mzuri sana, mwanza anajua kupiga kona, pili, ni mzoefu, tatu bado boli analo, mm bado naamini Lyanga ni moja ya making hatari sana hapa nchini, pale azam amekumbana na akina Kipre junior, Nado, Nk lkn hakuwa chaguo la kocha ila Lyanga ni...
  3. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Hili ndilo kundi la wanadini wenye uwezo mkubwa kuliko wasioamini dini na wanadini wengine

    Kuna propaganda kubwa zinaendelea duniani na JF za kuwaponda wanaoamini dini, na kuwaona wanaopuuza mambo ya imani kuwa ni majiniasi. Hii ni kweli kwa aina flani ya wanadini na sio sahihi kabiss kwa kundi kubwa la wanadini pia. Dini namaanisha watu wanaoamini kuhusu uwepo wa Mungu na nguvu...
  4. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Je uwezo wa kimaisha wa Tanzania (Purchasing Power) ni mkubwa kuliko Nigeria?

    Naomba kuuliza wachumi, je uwezo wa kimaisha ama kiwango cha kimaisha cha watanzania ni kikubwa kuliko cha wanigeria? Nauliza hivyo kwa sababu nilikua natumia YouTube Premium Service (You Tube ambayo haina matangazo, unaweza ku download video, unaweza kuangalia ama kusikiliza hata screen ya...
  5. haszu

    JamiiForums Tanzania EX hapokei simu na hatujaachana kwa ugomvi mkubwa

    Sasa yupo kitengo fulani, namtafuta kun jambo anifanyie liende kwa wepesi ila naona kanikaushia hapokei simu, text hajibu, sasa ni bora ani block tu kabisa nijui hataki kuongea na mimi na si kudharau call na text zangu. mi simtaki, nataka tu anisaidie ili mchakato wangu ambao yeye kwa nafasi...
  6. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano mkubwa kati ya muonekano/unadhifu na Kupendelewa

    Unadhifu wa kimavazi, kiakili na kimaneno (lugha) unauhusiano mkubwa sana na kupendelewa au kupewa kipaumbele kwenye jamii. Watoto waliovaa vizuri na wasafi hata kwenye bus au hospitalini kila mtu anataka kuwa karibu nao. Ukiwa katika safari za vijijini makonda na wapiga debe wanapata taabu...
  7. BabuKijiko

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo: JamiiCheck imekuwa Msaada mkubwa kwa Jamii katika Kuhakiki Taarifa

    Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo amesema baada ya kutembelea Mikoa tofauti ya Tanzania Bara na Zanzibar, walipata wazo la kuja na mfumo wa uhakiki wa taarifa, ndipo ikawa mwanzo wa kuanzishwa kwa JamiiCheck ambayo ilizinduliwa Mwaka 2022 Maxence ameyasema hayo wakati akichangia...
  8. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Inawezekana Wazungu ni wabaya, lakini ubaya tuliowavika ni mkubwa kuliko ubaya wao

    Tumia hali ya bara la Afrika na watu wake kupinga au kukubali.
  9. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha TOBA kina msaada mkubwa kiroho. Mimi Nina ushuhuda.

    Kitabu kinaitwa TOBA na kimeandikwa na Mai Godrey. Ni kitabu chenye sala za TOBA za aina nyingi ambazo ukizisali kwa Imani na utulivu unatengeneza ukaribu na Mungu wako. Kuna wakati nilipitia changamoto nzito na nikachagua moja ya sala za TOBA kwa siku 21 nikawa naamka saa 8 usiku na pia...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Nchini Namibia, mshahara wa security guard ni mkubwa kuliko wa profesa UDSM

    Nchi ya Namibia imefanya mambo makubwa sana, mpk unajiuliza Tanzania tulikosea wapi siye? Nadhani tumefika hapa kwasabb ya siasa chafu na uongozi mbovu. Namibia ina rasilimali gani za kuizidi Tanzania hadi wao wawe mbali kiasi hiki? 1. Wazee wanalipwa. 2. Walemavu wanalipwa. 3. Matibabu kwa...
  11. butinibuti

    JamiiForums Tanzania Mbinu rahisi za kuwafikia wateja wa kike ni zipi?

    Mimi na biashara yangu ya viatu vya shule, wateja wengi ni wamama wenye watoto mashuleni. Sasa nawaza nitumie mbinu gani ili wamama wengi wanijue au waone biashara yangu.. wenye mbinu tafadhali nisaidieni. Na Mungu atawabariki.
  12. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Naona kama mkosi Mkubwa kwangu kuzaliwa jamii ya watu weusi

    Binafsi kuzaliwa mtu wa jamii ya watu mweusi kumegeuka mkosi na sio tu kuzaliwa katika jamii ya mtu mweusi pia kuzaliwa Afrika& muafrika na pia sio tu kuzaliwa muafrika pia kuzaliwa Tanzania na Mtanzania. Ni mambo ambayo kabla ya kuzaliwa kwangu kama ningepewa machaguzi hakika nisinge fikiri...
  13. Ene_transporter

    JamiiForums Tanzania Personal driver mwenye uzoef mkubwa, natafuta kazi

    Naitwa ernest ni personal driver mwenye uzoefu mkubwa Nimefanya kazi ya Uber sio chini ya miaka mi 4 Nina leseni yenye madaraja makubwa. Natafuta kazi ya udereva binfsi. Mwenye uhitaji naomba unipgie. 0783610244
  14. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Viongozi Simba hawajitambui. Eti Mgunda hawafai? wanatafuta kocha Takataka yoyote kutoka nje? au wanatafuta kocha wa Mshahara mkubwa.

    Mgunda kampiga Azam na Kikosi cha Tatu na Timu nzima haieleweki. Takwimu zinambeba lakini kila siku wanatafuta kocha duu.
  15. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Uhuni mkubwa wanaofanyiwa watumishi wa umma katika michango ya PSSF

    Huu ni uhuni mkubwa unaofanywa either na PSSSF or Hazina kwa maana kwamba michango ya pesa zinazotakiwa kuingia PSSSF haionekani kabisa na hii inapelekea kupunguza kiasi cha pesa ambacho mtumishi mstaafu anastahili kukipata kama kiinua mgongo baada ya kazi kubwa ya kulitumikia Taifa. Ni...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Watanganyika tuilinde nafasi ya Urais kwa wivu mkubwa ili kuokoa rasilimali zetu

    Wazanzibari walipoweka sharti la "Mzanzibari mkazi" kwa kila anayetaka kuwania nafasi yoyote nchini kwao hawakuwa wajinga. Walifanya hivyo ili kulinda maslahi ya nchi yao, wakiamini kwamba wakiongozwa na "wa kuja" wanaweza kuuzwa ama kuingizwa mjini. Kuna kila sababu na huku Tanzania bara...
  17. figganigga

    JamiiForums Tanzania Waliotoa Kibali cha kuua Mamba Mkubwa Duniani wafikishwe Mahakamani

    Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema kuwa anaamini kuuawa kwa mamba aliyedaiwa kuwa mkubwa zaidi duniani ni njama na uhujumu uliofanywa na watumishi wasio waaminifu wa Wizara ya Maliasili na Utalii. Mpina amesema hayo bungeni jijini Dodoma wakati akichangia bajeti ya wizara tajwa kwa mwaka...
  18. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Wanawake na Wasichana wana uwezekano mkubwa wa kuuliwa na Watu wa karibu nao

    Mauaji yanayohusiana na Jinsia (mauaji ya Wanawake) yanaweza kuchochewa na Majukumu ya Kijinsia yaliyozoeleka, Ubaguzi dhidi ya Wanawake na Wasichana, uhusiano usio sawa wa Kijinsia, au kanuni hatari za kijamii. Licha ya miongo kadhaa ya uanaharakati kutoka kwa Mashirika ya kutetea Haki za...
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Je, kuna mkubwa anambania Mwakinyo?

    Suala la kusema kuwa Rais wa WBO hajalipwa haiingii akilini maana mtu hawezi kutoka alipotoka hadi Tanzania kwa ajili ya mechi halafu awe hajalipwa. Baadhi ya wadau walisema Hassan Mwakinyo ana-ugomvi na watu wengi kwa hiyo wanambania kwa kumfanyia figisu figisu kama hizi. Je, unadhani ni nani...
  20. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kutana na kobe Jonathan mnyama mwenye umri mkubwa kuliko wote duniani alitotolewa mwaka 1832

    Ni dume na mate wake anaitwa federik huyu mate wake sio mkubwa sana kwani kazaliwa 1991..Jonathan anaishi huko saint Helena kisiwani ana kilogram 150..alitotolewa kwenye visiwa vya shelisheli Bahari ya hindi.. Walitotolewa yeye na wenzake watatu yeye akahamishiwa huku saint Helena kwenye shamba...
Back
Top Bottom