Asalaam,
Natumaini wote mpo salama na poleni na mihangaiko yote ya week nzima.
Niende direct kwenye mada yangu, Ndugu zangu wanaume kiukweli kabisa tunajisahau sana kwenye kuweka ukaribu mkubwa na familia zetu kipindi tupo kwenye peak ya mafanikio au maendeleo makubwa zaidi kwenye maisha yetu. Hii sana sana ipo kwa wanaume wengi waliopo kwenye mfumo wa ajira rasmi kama za utumishi wa umma. Unakuta kipindi jamaa anapata work promotion, remuneration increase na deals mbalimbali za kumpa kipato kikubwa kazini anasahau kabisa kuweka ukaribu na familia yake. So long as ana provide kila kitu na analipa bills basi anaona kashamaliza na hapo ndo where we are going wrong.
Your co workers, driver, fellow businessmen, leaders na watu wengine wengine tunaojuana nao ukubwani hawastahili kuwa na ukaribu mkubwa kwako zaidi ya familia yako. Inabidi ujue kabisa kwamba hilo kundi tajwa hapo juu ni full of strangers ambao watakuwepo kwenye maisha yako in full strength kwa kipindi kifupi sana na kwa kipindi kirefu sana watakuwa very dormant na almost ni kama hawatakuwepo kabisa. Your family will be there forever.
Nimeona niongee haya leo after i came across a scenario where a retired man anaona his family haipo close zaidi na yeye baada ya kuwa retired from work, which is wrong pia hicho kinachofanyika. Lakini ukifatilia zaidi unaona huyu baba kipindi akiwa kazini alikuwa full focused na 3rd parties na ukaribu pekee uliopo na familia yake ilikuwa kwenye provision of payment vouchers. Hela pekee hazitoshi jamani wazee wenzangu, tuwaweke karibu hawa. Tuwafanye marafiki zetu. Muwe na usiku mwema na mnisamehe kwa kuchanganya lugha.