Je tasnia ya habari imejiandaa na Program za Akili Bandia (Generative Artificial Intelligence) zenye uwezo wa kutengeneza Fake News and Misinformation

kilio

Member
Jan 24, 2014
11
15
Tumeshuhudia siku za karibu waziri Dorothy Gwajima akitoa tamko juu ya maudhui ya mwanadada anayeishi na nyoka. Huu ni mwanzo tu, mengi yanakuja kupitia programu za akili bandia. Program hizi zina uwezo wa kutengeneza fake picha, fake video and fake sauti ili mradi kuleta utata na upotoshaji katika jamii.

Je Tasnia ya habari na watanzania wamejiandaaje na kupambana na taarifa potofu/chonganishi zinazotengenezwa na programu za akili bandia katika siku zijazo!
 
Back
Top Bottom