mkubwa

Bwana Mkubwa is a constituency of the National Assembly of Zambia. It covers Bwana Mkubwa, Chichele, Itawa/Ndeke, Kantolomba, Kavu/Kan'gonga, Mushili, Munkulungwe and Twashuka/Kaloko in the Ndola District of Copperbelt Province.

View More On Wikipedia.org
  1. Baada ya kumjua kuwa kumbe Adui Mkubwa wa Simba SC ni Mwekezaji Mo Dewji nawaomba Msamaha 'Mangungu' na 'Try Again'

    Mo Dewji Wewe kweli ni wa Kutufanyia haya Sisi wana Simba SC? Yaani una bahati nimekuja kuyanza Maisha mapya huku Kampaa Uganda ila hakyanani ningekuwa huko Dar es Salaam Tanzania ungenitambua. Yaani Mo Dewji Wewe leo ni wa kuipa Simba SC Shilingi 185 za Operations kwa Mwezi badala ya zile...
  2. Usichukulie mambo kwa mkazo mkubwa

    Katika maisha yetu yenye shughuli nyingi, mfadhaiko unaweza kuwa msumbufu sana. Lakini ni muhimu kujua kwa nini usiruhusu kuchukua nafasi. Hii ndio sababu: 1. Kukaa na Afya Bora: Msongo wa mawazo unaweza kuharibu mwili wako na kukufanya ujisikie mgonjwa. Kwa hivyo, kupumzika ni kama kujipa...
  3. Unajiandaaje na magonjwa yanayotokea kwa sababu ya umri kuwa mkubwa?

    Kwa miaka ya hivi karibuni kumekua na janga kubwa sana la magonjwa yasiyoambukiza, hasa inawapata watu ambao umri unaenda. Watu wanahangaika na kisukari, shinikizo la damu, kansa, figo, ini na magonjwa mengine yanayotokea na ulaji mbovu au life style mbovu ya maisha yetu. Nina rafiki yangu...
  4. Goli la Yanga dhidi ya Mamelodi mzozo ni mkubwa South Africa kuliko Tanzania, CAF inapoteza credibility

    Gumzo linaloendelea hapa South Africa kwenye mitandao ni kwamba Yanga ndio wameshinda mechi lakini Mamelodi ndio walionufaika. Nikiweka ushabiki wangu pembeni Mimi huwa napenda Sana kujifunza Vitu nisivyovijuwa. South Africa wapinzani ni Chiefs na Orlando, lakini ukiwafuatilia vizuri unakuta...
  5. Watu weusi (Black African) wana uwezekano mkubwa zaidi wa kupata Magonjwa ya Moyo kuliko Wazungu

    Leo katika pitapita zangu Mtandaoni nimekutana na taarifa ya kushtua kidogo kwamba Watu wenye asili ya Afrika (Waafrika Weusi) wanakuwa hatarini zaidi kupata Magonjwa ya Moyo ikiwemo Shinikizo la Juu la Damu kuliko Watu weupe (Wazungu). Hili jambo lina ukweli kiasi gani?
  6. Kuna uhuni Mkubwa, Dawa ya kumsaidia mtu kuacha kupiga Punyeto? imekaaje?

    Wale jamaa wanaojichukulia sheria mkononi, wanaopenda kucheza Pool. wanaopiga punyeto. kuna dawa eti inazuia mtu asifanye hilo jambo. maswali yangu 1. Punyeto ni ugonjwa gani? 2. Nini kinasababisha mtu aoige punyeto? 3. Inaenda kutibu nini hiyo dawa? Kuna wauzaji wa dawa hizi za supplement wana...
  7. Msanii Mkubwa Bongo Fleva atabiriwa kifo na Wachungaji kutoka Kenya na Zimbambwe

    Msanii Mkubwa Bongo Fleva atabiriwa kifo na Wachungaji kutoka Kenya na Zimbambwe Sasa shughuli inabaki kwetu kama sio Ally bhasi ni Nasibu, maana ndiyo sifa walizotajwa nazo. Nawatakiwa Asubuhi Njema
  8. Forbes 2024: Michael Jordan, JAY-Z, Lebron James, Rihanna watajwa orodha ya Mastaa wenye Utajiri Mkubwa duniani

    1. Michael Jordan Utajiri: Tsh. Trilioni 8.2 | Miaka: 61 | Uraia: Marekani. 2. Oprah Winfrey Utajiri: Tsh. Trilioni 7.2| Miaka: 70 | Uraia: Marekani. 3. Jay-Z Utajiri: Tsh. Trilioni 6.4| Miaka: 54 | Uraia: Marekani. 4. Kim Kardashian Net Worth: $1.7 Billion | Age: 43 | Citizenship: U.S. 5. Tyler...
  9. Huenda Ijumaa ijayo k Usiku Afrika ikasimama kwa Mshangao mkubwa na Wanaochekwa Kuzimia kwa Furaha ya Kihistoria kutoka kwa Ardhi ya Farao

    Huenda Ijumaa ijayo kuelekea Jumamosi Usiku Afrika ikasimama kwa Mshangao mkubwa na Wanaochekwa Kuzimia kwa Furaha ya Kihistoria kutoka kwa Ardhi ya Farao ( Pharao ) Kati ya wale 48 wanaoenda Kuzuru Kaburi la Nelson Madiba Mandela nchini Afrika Kusini 30 ni Waganga wa Kienyeji na 18 ni Vibaka...
  10. Kila ripoti ya CAG inapotolewa ubadhirifu wa pesa ni mkubwa lakini pesa hizo mtaani na kwenye mzunguko hakuna

    Madudu na mawashawasha ya ripoti za CAG nyingi tunasikia ubazilifu mkubwa kila kona pesa ambazo zimetumika vibaya ila cha kushangaza huku mtaani hakuna mwenye pesa kwa wale mimi na wewe. Kipindi cha jakaya angalau tumeona pesa ilikuwepo na maisha kwenye mzunguko ukilinganisha JPM na Samia...
  11. M

    Kuna uwezekano mkubwa sana Simba kushinda. Yanga ni mtihani

    Katika maandalizi yanayoendelea kwa Simba na Yanga kuelekea mechi zao dhidi ya Al Ahly na Mamelod inaonyesha Simba wana nafasi kubwa sana ya kushinda mechi yao tena kwa idadi kubwa ya magoli hapa nyumbani. 1. Inaonyesha wachezaji wao wamedhamiria sana safari hii kufika nusu fainali. 2...
  12. M

    Eee Mola uipe ushindi mkubwa Al Ahly dhidi ya Simba

    Wape ushindi wale wanaokuabudu kwa dhati ya Moyoni. Na wanyime wale wanafanya ushirikina ili washindi. Eee Mola iwapo kuna mwana Simba yeyote atakayeshirikiana na waganga na washirikina basi iadhibu timu yao ifungwe goli 5. Pia nakuomba usiwape ushindi Simba kwa kuwa wamejaa dhihaka na...
  13. Wanawake hawanitaki, nahisi nina mkosi mkubwa

    Salam za wakati huu jamvini, naimani hamjambo na wazima wa afya kabisa na mnaendelea kulijenga taifa la mpate japo kitu kiende kinywani. Bila kupoteza muda na kuifupisha makala hii, naweza kusema kuwa napitia wakati mgumu sana pale ambapo naona binadamu wenzangu wakidekezana wao kwa kao (male +...
  14. RC Mwassa Awasihi Wananchi Kutochafua Ziwa Victoria Walilinde kwa Wivu Mkubwa

    RC MWASSA AWASIHI WANANCHI KUTOCHAFUA ZIWA VICTORIA WALILINDE KWA WIVU MKUBWA Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mhe. Hajat Fatma Mwassa amewataka Wananchi na wadau wa usafirishaji wanaofanya shughuli ndani ya Ziwa Victoria, kutofanya yale yote yanayoweza Kuathiri au kusababisha uchafuzi wa Ziwa Victoria...
  15. Top 5 Most Secure Smartphones in the World

    Explore these top 5 most secure smartphones ruling the world right now In an era dominated by technological advancements and interconnectedness, the security of our data is paramount. Smartphones, being an integral part of our daily lives, often store sensitive information ranging from personal...
  16. M

    CWT cha sasa ni mchwa unaotafuna faida iliyotengenezwa na CWT ya Gratian Mkoba. Walimu waamke na kupiga kelele juu ya unyonyaji huu mkubwa

    Chama cha walimu kilianza miaka ya 2000 kikiongozwa na baadhi ya viongozi akiwemo Magreth Sitta aliyepokelewa kijiti hicho na ndugu Gratian Mkoba. Ni katika kipindi cha miaka ya 2010's ndipo chama kilianza kuweka mipango na dira ya maendeleo ya chama kwa kutumia michango ya walimu kama ilivyo...
  17. B

    Naomba ajira. Nina uzoefu kusimamia Clearing and forwarding and logistics

    Nina uzoefu wa miaka kumi kusimamia Kampuni za clearing and forwarding. Nimebobea kwenye importations, Exportations, Transit pia usimamiaji wa Customs Bonded Warehouse. Naombeni connections wadau 0753 132 133
  18. B

    Utata mkubwa kifo cha Dkt. Mkamilo wa TARI

    Dk. Mkamilo akizungumza wakati wa kukabidhi Ofisi baada ya kumaliza muda wake kama Mkurugenzi wa TARI hii ilikuwa Februari 20, 2024 baada ya kutoka kwenye tukio hilo akafariki tarehe 2.3.2024 Kifo cha Dk. Mkamilo aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa TARI kimeacha simanzi na huzuni kubwa kwa wanataaluma...
  19. Houth ilivyobadili mbinu kupambana na US,UK na France na huku Hamas wakiua komando mkubwa wa Israel

    Kuanzia majuzi wanamgambo wa Houth wameanza kuzipa onyo meli zinazokatiza maeneo yao kabla ya kuzirushia makomboa. Wakitumia meli yao ya wanamaji wiki iliyopita walimuonya kapteni wa meli ya True Confidence kwamba alikuwa akikatisha njia ambayo si salama kwake. Kwa mara nyengine akaelekezwa...
  20. P

    Ulikuwa na ndoto za kuwa nani utakapokuwa mkubwa? Umeiishi ndoto yako au maisha yamekupeleka kwingine?

    Alhamisi inaendaje wakuu? Tukiwa watoto kuna hili swali huwa tunaulizwa shuleni au hata nyumbani tu, "Fulani ukiwa mkubwa unataka kuwa nani?" Wengine huwa na majibu ya kazi nzuri nzuri na wengine majibu huwaacha hoi wanaosikiliza majibu yao. Mimi nilikuwa na ndoto za kuwa Daktari, lakini baada...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…