mkopo

  1. R

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa wilaya Maswa aagiza waliogoma kurejesha mkopo wa asilimia 10% kukamatwa

    Tunaye rais mwenye huruma kwa watanzania na hapendi fedha za dhuluma (alisema Mwigulu), awasamehe tu hawa watanzania jamani :BBRUHH: ========== Mkuu wa Wilaya ya Maswa, Vicent Anney ameagiza kukamatwa na kufikishwa mahakamani watu wote waliokopa mikopo ya Serikali ya asilimia 10 kupitia...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Makato ya Mkopo na kutorejeshewa fedha

    Mahali pa Kazi: Wilaya ya Meru, Mkoa wa Arusha Ninatoa malalamiko yangu hadharani dhidi ya Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) kuhusiana na makato ya mkopo yaliyofanyika kimakosa na kutorejeshewa fedha hadi sasa. Historia ya Masuala ya Elimu na Ajira: Mwaka 2010, nilichaguliwa kujiunga na...
  3. co fm

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu huyu mdogo wangu mkopo wa milion 100

    Hello wadau, poleni sana na majukumu ya kulijenga taifa. Ipo hivi mimi nina mdogo wangu mwaka jana alipata mchongo kwenye taasisi moja hivi na wanamlipa vizuri sana like 4m kwa mwezi na tena bado ni mdogo sana ni miaka 26 tu. Juzi kaja home nikawa namuulizia habari za kazi akawa anipa stories...
  4. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Je, kuna uwezekano ukakopa mkopo benki wa Tsh 600m kwa kutumia hati za mtu mwingine bila mwenye hati kujua?

    Nimeona Istagram Mhe. PM akiagiza kukamatwa kwa kijana aliyechukua hati za mama fulani na mumewe ambao wana kampuni yao binafsi kuchukulia mkopo wa Tsh 600m taslimu. PM kasema kuwa huyo mama na mumewe walikubaliana kijana awasaidie kutafuta mkopo na kumkabidhi hati ila kijana akajiombea yeye...
  5. comrade_kipepe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Leo mtu mzima nimekula kandarasi ya miezi 6 ya kuitumikia simu ya mkopo

    Ebana daah! Hapa mjini warembo ni wengi sana ila vigezo vyao sasa vinashangaza! Hua naenda kula mgahawa mmoja hivi kwa bimkubwa ambae nishamzoea, hua ananiambia ana mtoto wake wa kike anasoma CHUO (vyuo hivi baada ya kutoka O level, kiufupi bado m'bichi kabisa!) mi sikuwahi kumuona lakini...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Ni ajabu, serikali ya Tanzania kukopesha fedha mwanafunzi anaeanza chuo na kumnyima mkopo aliyemaliza chuo

    Viongozi wa Tanzania, yaani unamkopesha fedha mwanafunzi anayeanza chuo ambaye hana uhakika nae kama atamaliza chuo na kupata kazi halafu unamnyima MKOPO wa biashara mwanafunzi aliyemaliza chuo au kunakuwa na mazingira magumu ya kupata mikopo ya biashara benki na kuwaambia wakajiajiri , je,hii...
  7. Kaluluma

    JamiiForums Tanzania LUG Ina maana gani unapoomba mkopo kupitia HESLB?

    Kwema wakuu changamoto niliyonayo ni kwamba mdogo wangu kaapply mkopo ila ukifungua kwenye akaunti yake inaonekana kama nilivyoambayanisha hapa, Je Kuna yeyote amewahi kukutana na changamoto hii na aliitatua Kwa kutumia mbinu ipi? Natanguliza shukrani zangu za dhati🙏
  8. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mtumishi wa umma Usiombe mkopo ESS CRDB utajuta

    Kama unataka upate pesa ndani ya lisaa limoja omba NMB, nimewaombea wengi mkopo NMB yaani kama HR wako yuko chap ndani ya dk 5 ushapata mkopo. NBC ndani ya masaa 24 uhakika, Azania ndio benki bora zaidi, makato nafuu kuliko benki zote ila kidogo wako slow. Ila haivuki wiki unapata pesa . CRDB...
  9. Ntahandinkimuhila

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Nifanyeje kupata mkopo wa HESLB ili nianze kusoma diploma ya afya mwaka huu 2025 ?

    Pole kwetu wote kwa msiba mzito uliolipata Taifa letu mwaka huu, mwenyezi Mungu awarehemu ndugu zetu waliotangulia mbele za haki, Amina 🙏. Enyi viongozi, muwe na hekima, madaraka ni ya kupita tuu, tutakufa tunaacha vyote hapa duniani tupendane tuu ndugu. Sasa, nilifanya mtihani wa kidato cha...
  10. Tommy 911

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mkopo Tsh. 350,000/=

    Habarini wanaJF nina shida nahitaji mkopo wa haraka w 350,000 tsh. Riba iwe ata 20% ni sawa. Msaada tafadhali
  11. dogman360

    JamiiForums Tanzania Mwaka huu watu wa diploma wanaoenda Bachelor hamna mkopo

    Kila mtu wa diploma ninayr mfahamu hamna aliyepata hata aliye weka cheti cha kifo . Ni kazi kweli kweli kama mikopo ni ya form six tu waseme
  12. Bei Rahisi Electronics

    JamiiForums Tanzania Nataka nichukue mkopo dhamana mshahara

    Nina shida ya million 5 ni mtumishi wa umma nawezaj kupata mkopo na utaratibu upoje.Napokea laki 5
  13. Beberu Mwitu

    JamiiForums Tanzania Application ya mikopo ya ukopeshaji imegonga mwamba, sijui nilipe huu mkopo au niingie mitini?

    Habari zenu wana JF, Niende moja kwa moja kwenye mada hii tata; Ipo hivi, mwanzoni mwa mwezi Septemba nilichacha sana kifedha ikabidi nifanye re-installation ya App moja ya mikopo na kuchukua kiasi cha Sh 200,000. Baada ya hapo update ikaja kuwa mkopo ulipwe ndani ya siku saba ilhali mwanzo...
  14. Wickama

    JamiiForums Tanzania Simu za Mkopo: Unalipia karibu simu mbili

    Wakuu, Kiufupi ukifatilia wimbi la "simu za mkopo" hususan kutoka makampuni makubwa ya mawasiliano ya simu za mikononi utagundua mteja akimaliza mkopo basi kalipia karibu simu mbili za cash. Mteja anakopa Samsung Galaxy A15 (kwa cash ni Tshs 450K) tuseme kwa mwaka. Kila siku anakatwa Tshs 2200...
  15. darautobroker

    JamiiForums Tanzania Car4Sale TOYOTA IST yenye sport rim za kuombea mkopo inauzwa

    Bei/Price TSH 16.8M Call+255 747 999 927 TOYOTA iSt Year: 2002 Engine: 1,490Cc Mileage: 99,000+ Transmission: AUTO Fog Lights Sport Rims Android Radio Clean Interior In Good Condition Exchange Possible
  16. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Mwinyi: Tuna akaunti maalum ya kulipa madeni, nitaondoka madarakani sitaacha deni hata la Senti 5

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema dhamira yake ni kuhakikisha kuwa atakapoondoka madarakani hatoacha deni lolote ambalo serikali imelikopa. Amesema hilo litawezekana kutokana na serikali kufanikiwa kuweka mfumo wa kulipa madeni ya serikali kwa...
  17. I

    JamiiForums Tanzania Airtel simu ya mkopo "Wanataka kutapeli"

    Habarini!, kuna ndugu yangu alichukua simu airtel kwa mkopo...simu yake ilipata hitilafu kidogo na akawarudishia ili waitengeneze...wakamuahidi baada ya wiki 3 watamrudishia...akalipa gharama ya matengenezo huku akiendelea kulipa malipo ya siku...mwezi wa pili sasa yaani ana wiki 6 sasa...
  18. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Kobbie Mainoo ameijulisha Manchester United kuwa anataka kuondoka kwa mkopo

    Kiungo Kobbie Mainoo (20) ameijulisha Klabu yake ya Manchester United kuwa anataka kuondoka kwa mkopo kabla ya Dirisha la Usajili halijafungwa Septemba 1, 2025. Amecheza mechi 16 kati ya 45 ambazo zimesimamiwa na Kocha Ruben Amorim. Newcastle United inadaiwa kukubali kulipa Pauni Milioni 69 ili...
  19. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Unaweza kukisia hisia wanazopitia watu walionunua magari kwa mkopo

    Ujue unapomiliki usafiri wish kubwa ni kuona chombo chako kiwe chuma cha kazi kila kitu kiwe on point kuanzia muonekano mpaka performance hapo unavimba popote kuanzia kwa wahuni mpaka watoto wazuri. Kilichonitokea leo kimenifanya niwaze kuhusu ndugu zetu wanaomiliki ndinga kupitia mikopo the...
  20. Ahead

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wale wa mkopo ESS usijichanganye kuchukua mkopo Azania benki

    Hii benki imenirudisha enzi za ujima na analogy tulipokuwa tunasubiri mkopo wiki mbili mpaka tatu,yaani naenda siku ya tano, kila sehemu umetishwa na makato yameingizwa ila wao hawataki kunipa hela, watumishi wenzangu siku hizi mkopo unaweza kupata hata ndani ya masaa manne ilimradi wapitishaji...
Back
Top Bottom