Waswahili huwa hawa appreciate / kupongeza hatua ya mtu ya maendeleo anayopiga utasikia tu wanakosoa nyumba/ gari yenyewe ya mkopo .
ingekuwa kukopa ni rahisi kila mtu angekopa .ukiona mtu bank imemuamini kumkopesha ujue huyo anasifa za kukopesheka , anayesema hivyo yeye hata sifa ya...
Inakaribia wiki ya tatu Sasa nahangaika na hawa tu bila mafanikio. Mara huyo fsp (financial service provider) ali'reject' na kunitaka niongeze miezi (wakati mfumo umekubali). Nafanya hivyo anareject tena ananitaka nipunguze miezi. Mnyonge Hana kususa, narekebisha na kufanya alichosema hii Sasa...
Msaada ndugu zangu, naomba mtu binafsi mwenye uwezo wa kunikopesha 13m kaa riba atakayoitaka yeye naomba anisaidie.
TUtakopeshana kisheria,mahakama, na taratibu zote tutafata.
Nina Shida ya DHARULA naomba msaaada nina DHAMANA kadhaa za mali zisizo hamishika.
Naomba msaada Tafadhali.
Alie...
Kwa mtumishi ambae amewahi kukopa kwenye Bank ya stanibac atupe uzoefu.
Nimetuma maombi ya mkopo leo ni wiki ya pili hamna kitu. Kila ukienda majibu hayaridhi.
Je ndo kusema hawana pesa ndio maana wanafanya hivyo au ndio utaratibu wao.
Au huwa inachukua muda gani mpk ukapata pesa uliyoomba...
Moja kwa moja..
Namuombea dogo mkopo kwenye kipengele Cha kuweka namba ya Napa karibia siku ya Tatu inasema hivyo , nimemwambia anitumie barua ya Napa yenye hiyo namba labda alivyonitumia alikosea , akanitumia nimehakikisha ila bado sasa sijajua tatizo ni Nini ?
Naomba Msaada wakuu..
Cv yake hii
Amesoma private school O-level
A-level amesoma shule ya kata kombi PCB
Shule ya msingi amesoma private school
Nb, anaomba mkopo ngazi ya diploma
Mwenye nae aliwaambia pamoja na kwamba Mimi ni Mwenzenu na nawapenda mno halafu nimeshawapeni sana Wacherzaji wazuri kwa bure bure ila kwa huyu Jonathan Sowah siwapeni hadi mniingizie Shilingi Bilioni 1 ili inisaidie pia katika Kampeni zangu Mkoa wenye Wanawake wazuri, wepesi Kutongozeka na...
Habari JF
Nina omba msaada wa mawazo yenu.. hivi kwa mfano ukiwa na fixed deposit akaunti kiasi cha sh.mil 100 unaweza kuifanya kama dhamana ya kukopea bank, halaf riba ndo iwe inalipa mkopo wako wote?
Wakuu habari zenu, naomba niulize kitu.
Ni wapi au bank gani naweza kukopa zaidi ya milion 2 bila dhamana na nikalipa kwa awamu? Kwa maana siyo kila siku au kila mwezi.
Habari ndugu zangu, nimefikilia kufunga kiyoyozi nyumbani kangiu, kiyoyozi kimoja tu chumbani kwangu, baada ya pitapita zangu mitandaoni nimekutana na hii kampuni ya BARIDIBARIDI ambayo inatoa huduma za aina mbili,
HUDUMA YA KWANZA: AC wanakufungia na utalipia awali shillingi 180,000/= baada...
Halmashauri ya Wilaya ya Geita imetoa mikopo ya Shilingi Bilioni 1 na Milioni 156 kwa vikundi 111 vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu.
Mikopo hiyo imetolewa ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa agizo la Serikali la kutenga asilimia 10 ya mapato ya ndani kwa ajili ya kuwawezesha wananchi...
Mimi ni mjasiriamali.
Nimekopa benki 4 kwa kawaida Nina kipato Cha mil 2.5 kwa mwezi, hiki kias huingia kwa guarantee ya si chini ya 2.5m huingia japo inaweza kuzidi kulingana na biashara zangu. Benki nne zimeniamni na zimenikopesha na kunikata kias kubalika kila mwezi na haijawahi niletea...
Habari wakuu,
Nina goli langu moja la simu, sasa wateja wanaulizia sana simu za mkopo.
Nimejaribu sana kuulizia ninapoweza pata simu za mkopo kwa bei ya Jumla nimekosa.
Mwenye connection anijuze wakuu
Habari
Pasipo kupoteza muda naomba niende Moja Kwa moja kwenye mada,
Ukiwa wewe mfanyabiashara na unahitaji kununua mzigo Toka nje ya nchi lakini kiasi Cha pesa hakitosh au mzigo wako umekwama bandarini sababu umeshindwa kulipia ushuru basi karibu ofisin kwetu tukusaidi,e
MIKOPO yetu huanzia...
Uwepo wa informal sector na watumiaji wachache wa bank ni changamoto na tatizo kubwa sana Tanzania., Nikiwa Rais wa Tanzania ntafanya mambo yafuatayo kuondoa informal sector, kuongeza formal sector na kuongeza watumiaji wa bank
SIFA ZA HAO WAFANYAKAZI
Lazima mishahara yao iwe inapitia bank...
Mwezi April mwaka huu 2025, Benki ya Dunia walifuta mkopo wa kiasi cha shilingi Dola za Marekani Milioni 150 sawa na fedha za Kitanzania zaidi ya Bilioni 400 za mradi wa REGROW Mbuga ya Ruaha kutokana na hoja nzito zilizowasilishwa na Asasi za Kiraia kuhusu mradi huo kukiuka haki za binadamu...
Huu ndio mchakato wa kuomba mikopo ya halmashauri maarufu kama mikopo ya asilimia 10 huanzia ngazi ya kitongoji, kijiji au mtaa.
Katika hatua hii ya mwanzo, kikundi cha watu wasiopungua watano kinapaswa kuundwa kwa ajili ya kupatiwa mkopo, na lazima kitambuliwe rasmi katika ngazi ya chini. Ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.