mkoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Watu wa Mwanza tumemkosea nini Rais kutuletea Chalamila kuwa Mkuu wa Mkoa? Tumekosa nini Yarabbi!

    Hili suala limenihuzunisha sana. Jiji la Mwanza linaenda pelekewa Chalamila awe Mkuu wa Mkoa. Mbeya wameondolewa a Clown ambaye ameletwa jiji la Mwanza kama adhabu kwetu. Huyu mtu alipaswa apumzishwe. Hakuwahi kuwa na hekima au akili ya kuwa na cheo hicho. Mbeya wanashukuru sana maana...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri hashutumiwi?

    Naomba kujua siri ya huyu mtu aliyekuwa mkuu wa Mkoa Tabora. Mbona alikuwa tishio sana kutisha wananchi na kuongea hovyo lakini hashutumiwi kwa lolote? Huyu ni mtu wa aina gani?
  3. J

    JamiiForums Tanzania Anthony Mavunde akutana na Walimu, Maimamu na Masheikh wa kata wa Jiji la Dodoma

    Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mh Anthony Mavunde akiongozana na Sheikh wa Mkoa wa Dodoma Alhaj Mustafa Rajabu Shaban leo amekutana na walimu,maimamu na masheikh wa kata wa Jiji la Dodoma na kutoa salamu zake na ujumbe kuelekea sikukuu ya Eid El fitri katika hafla iliyoenda sambamba na...
  4. JamiiForums Tanzania Tunaomba kila Wilaya iwe na stendi ya magari ya mikoani ili kuepuka usumbufu na msongamano

    Habari wadau! Kiukweli stand ya mkoa Mbezi Luis ni kero kwa wasafiri tuliopo nje ya wilaya ya Ubungo. Jana jioni nilienda kumpokea wife pale stand ya mkoa Mbezi, wakati nipo Gerezani stand ya mwendokasi nikampgia simu akasema yupo Chalinze fasta nikakaa foleni kusubiri gari za Mbezi ila...
  5. JamiiForums Tanzania Je, Mkuu wa Mkoa Katavi apiga marufuku Walimu wa kujitolea?

    Ikiwa serikali inasema kipaumbele kwenye ajira 6000 zilizotangazwa na Rais, Samia kuwa ni walimu waliojitolea, mkuu wa mkoa wa Katavi bw. Juma Homera, amewahi kupiga marufuku walimu hao kufundisha katika mkoa wake na kudai Serikali inaajiri walimu kila siku. Msikilize kwenye video hapa chini...
  6. JamiiForums Tanzania Tanzania ina mikoa 26 na kila mkoa una wazee. Kwanini Rais wa JMT azungumze na wazee wa Dar pekee?

    Huu ni ubaguzi wa wazi kabisa kwa wazee wa mikoa mingine. Maana kama rais wa JMT hatakiwi kuwabaghua wazee wa mikoa mingine maana nao ni wazee wa taifa. Kama ulitaka kuzungumza na wazee ungeteua walau kila mkoa upeleke wazee kumi na kisha kuwaita Dodoma na kufanya nao mazungumzo. Kwani Dar es...
  7. JamiiForums Tanzania Tujuzane: Je, mkoa gani wenye Wasanii wengi?

    Habari za kushinda wakuu. Uzi huu nataka tujuzane je, ni mkoa gani wenye wasanii wengi hapa Tanzania? Hapa naongelea wasanii wote kuanzia waigizaji, waimbaji na wachekeshaji. Je, itakuwa mkoa gani unaongoza hapa Tanzania. Tunaweza saidia kutaja wasanii na mikoa watokayo ili tufahamu zaidi. Kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Niende mkoa au jiji gani kwaajili ya kufanya biashara ya mitumba?

    Habari ya majukumu wanafamilia wa JF, natumai nyote mpo wazima wa afya na poleni kwa walio wangonjwa. Nimekuja kuomba msaada wa mawazo ya kibiashara kwa mkoa au jiji lililo changamka katika Sekta ya Biashara. Mimi ni kijana ambaye kwa sasa naishi Kigoma mpaka hapa nahisi napoteza welekeo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…