mkoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wasomi wenye taaluma ya uchumi mko wapi?

    Tatizo la tozo kuwa nyingi sio makusudi ya raisi wala serikali. Lawama hizi napeleka kwa wasomi wenye taaluma ya uchumi kwasababu wanatakiwa kubuni njia nyingine za mapato na kuwasilisha serikalini. Mfano rahisi ni kuwa, badala ya Serikali kuongeza tozo katika miamala ya simu na benk ilipaswa...
  2. N

    Singida wanafaidi tozo kuliko mkoa wowote

    Heshima na burdani kwa wanasingida inayoletwa na team ya singida big stars ni kubwa mno Team imesajili wachezaji ghali inawalipa mishahara mikubwa sana hapo pia kuna wa brazil watatu wanaajua mpira saanaa Pongezi kwa mzalendo wa tozo ubunifu wako umefanikiwa team yako ya kitajiri tozo...
  3. Shaka amwagiza waziri wa Kilimo kumfukuza kazi mara moja Geophrey Chiliga mrajisi wa Ushirika Mkoa wa Tabora

    CCM YAMUAGIZA WAZIRI WA KILIMO KUMUONDOA MRAJISI VYAMA VYA USHIRIKA TABORA Ni kutokana na kudaiwa kuwa chanzo cha kukwamisha usajili wa Vyama vya msingi kwa wakulima wa tumbaku Shaka apigilia msumari wa mwisho...CCM haitokubali kuona mkulima akiendelea kuteseka* Na Mwandishi Wetu, Tabora...
  4. Je wewe ni kijana wa kitanzania elimu kuanzia kidato Cha nne,?na upo Mkoa wa Kagera,Iringa,na Mbeya na unaweza fanya kazi ya Recovery kwa Saccos ?

    Je wewe ni kijana wa kitanzania? Una umri wa kuanzia miaka 30? Je una elimu kuanzia kidato Cha sita na kuendelea? Je una uzoefu wa kufanya kazi ya Ufatiliaji wa Madeni katika vyama vya ushirika? (Recovery?) Je upo Mkoa wa Mbeya?iringa?na kagera? Kama maswali yaliyo ulizwa hapo juu una sifa...
  5. E

    Tujenge shule za michezo kila mkoa tuachane na kuandaa AFCON

    Nawashauri Watanzania tuwekeze katika kujenga shule za michezo kila mkoa. Kila tunapofanya mashindano yale ya shule za msingi tunawachukua wale best students katika kila mchezo na kuwahamishia katika shule hizi za mikoa za michezo. Hapo wawekewe facilities zote, na walimu. Kila mwaka shule...
  6. Barua ya wazi kwa Mkuu wa Mkoa Tanga

    Kwa niaba ya rafiki wangu huko Tanga na-share hii uzi Barua wazi kwa mkuu wa mkoa tanga. Mheshimiwa mkuu wa mkoa Tanga, Ni kwa masikitiko makubwa tunakueletea malalamiko dhidhi ya club ya Ben Bistro hapa wilayani Tanga, kati ya mtaa wa Ekcenforde na ring - Guinea Street Club hii...
  7. S

    DOKEZO CCM - Mkoa wa Ruvuma wapokea rushwa kukata majina ya wagombea

    Makao Makuu ya CCM - DODOMA, Tunaomba mfuatilie suala hili kwa sababu linawaumiza wagombea wengi sana katika mkoa wa Ruvuma katika uchaguzi unaofanyika wa CCM. Mfano wa wazi: Kuna idadi ya watu waliojitokeza kugombea nafasi ya mwenyekiti wa ccm mkoa wa ruvuma na miongoni mwao yupo anayemaliza...
  8. S

    Ubaguzi aliouanzisha Hayati Magufuli umeuathiri sana Mkoa wa Manyara

    Mkoa wa Manyara uliundwa mwaka 2002 baada ya kuugawa uliokuwa mkoa wa Arusha. Bahati mbaya Baada ya Magufuli kupata urais wa Tanzania alitangaza wazi kuwa mikoa ya Kaskazini itabidi isubiri wakati mikoa mingine wakipelekewa maendeleo. Mwanzoni sikuamini, lakini sahivi ndio nimeamini ile kauli...
  9. Hakuna mkoa utaoweza kuja kufikia hadhi ya u-vip kama mkoa wa Zanzibar

    Sio nchi kamili kwa hio hatuwezi kuiita nchi ila itoshe kusema huu ni mkoa vip 5 star, ni tofauti kabisa na mikoa yote ya Tanzania Weka zile hoja za kipumbavu pembeni kwamba Zanzibar kiongozi wao anachaguliwa Dodoma, wanasahau kwamba sharti lazima awe mzanzibari na si Mtanzania bara, hakikisha...
  10. M

    Mwaka huu pekee nimewadunga mimba wanawake watatu, sipati usingizi

    Mwezi wa March mwaka huu Somoe alinipigia simu kuwa Valentine day imejibu,maana tulioelekeana moto akiwa kwenye danger days, Nikamwambia wow! Haina shida nitalea. Mwezi wa sita ndani ya wiki mbili Herieth na Tina nao wakasema hawazioni siku zao Uwezo wangu ni mdogo sana kulea hizo mimba tatu...
  11. Geita: Mayanga Contracts LTD, imeshindwa kumaliza ujenzi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa baada ya Mwenye Kampuni kufa?

    Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martin Shigella amesikitishwa na kitendo cha Mkandarasi MAYANGA CONTRACT LTD Kampuni ya ujenzi iliyopewa Tenda ya kujenga Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Geita kushindwa kukamilisha kwa wakati ofisi hiyo. Naye Eng.Makoye Luhya Kwaniaba ya Mkandarasi Mayanga Contractors Amesema...
  12. Afisa Elimu mkoa wa Tabora usitumie mtihani ya (dhihaki) Mock kulamba asali!

    Mkuu Pole KWA majukumu Nimepata malalamiko kutoka KWA wakuu wa shule za secondari hapo mkoani Tabora kwamba maandalizi ya mitihani ya mock kidato cha nne na cha pili hayakuridhisha! Kuna kasoro nyingi kama hizi;- 1.Mitihani ilichapiwa kule Mwanza matokeo yake ikachelewa kufika mashuleni KWA...
  13. Rais Samia akiwasalimia wananchi wa Chalangwa wa Mkoa wa Mbeya, leo Agosti 6, 2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwasalimia wananchi wa Chalangwa Mkoani Mbeya tarehe 06 Agosti, 2022.
  14. Napata wapi samaki aina ya kibua kwa mkoa wa Mwanza

    Nahitaji kujua wanakopatikana samaki aina ya kibua au samaki wengine wa baharini mkoani Mwanza, daktari amependekeza nitumie mboga hiyo kuimarisha afya. Tafadhali kama unajua wanakopatikana tusaidiane
  15. Rais Samia atengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Mara, Dkt. Raphael Chegeni

    Kwa mujibu wa Taarifa ya Ikulu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu Hassani, amemteua Meja Jenerali Suleimani Mungiya Mzee kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara na kutengua uteuzi wa Dr. Raphaeli Chegeni. Pia Soma: Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wake wa kwanza Ikulu. Gerson...
  16. Daniel Chogolo , Katibu Mkuu wa CCM Taifa ,anatarajiwa kutembelea mkoa wa Kilimanjaro kwa ziara ya kikazi.

    Taarifa zaidi kuwafikia .
  17. Tv E hamna mkoa unaoitwa Songea

    Nimeshangaa sana Tv E ya Boss Majizzo ambayo imejaa waandishi vijana na wenye uweledi mkubwa kupitia kipindi cha michezo cha Number 10 kuandika mkoa wa S
  18. Mambo machache niliyoyaona mkoa wa Geita

    Na haya ni mambo machache niliyoyaona na kujifunza nilipokuwa mkoani Geita. (1) watu hawawezi kuutambua utajiri wako au kuuthamini uwezo wako wa kifedha kama hujaingia bar ukawanunulia watu pombe au unywe pombe kwa kiasi kikubwa mpaka ulewe. (2) kila mwanamke hujiona ni wa thamani kubwa sana...
  19. C

    SoC02 Jinsi mila zilizopitwa na wakati zinavyochangia tatizo la ndoa katika umri mdogo na ukeketaji katika mkoa wa Mara

    Picha kwa hisani ya Haki Elimu 1. UTANGULIZI Elimu ni moja ya sekta za kipaumbele zilizoainishwa katika Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025, na katika Sera ya Mafunzo ya Elimu (ETP, 2014) ambayo Serikali imejitolea kutoa miaka 11 ya elimumsingi bila malipo kwa wote kuanzia elimu ya awali hadi...
  20. Shida ya umeme mkoa wa Pwani kubaki historia. Bil. 130/- zatengwa kumaliza kabisa tatizo

    Serikali ya Rais Samia Suluhu itatumia kiasi cha Tsh. Bil 130/- kwenye ujenzi wa kituo cha kupooza umeme Chalinze mkoani Pwani. Kituo hiko kinatajwa kuwa kikubwa, na cha kwanza nchini ambacho kitakuwa na jukumu la kupooza umeme unaotoka katika bwawa la Mwalimu Nyerere (JNHPP). Mradi huo unaitwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…