mkoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Karibu kila mkoa hapa Tanzania una sifa ya uchawi, kwanini mkoa wa Kilimanjaro umeshika mkia?

    Na hapa nikiwa specific zaidi ni sehemu walizopo wachaga maana Mkoa huu hata wapare wanaishi na habari za uchawi zipo huko kwao Same. Na kweli nikifikiria uchawi hauna maendeleo na nikiona vijiji vya huko vilivyoendelea watu wanashusha mijengo bila hofu ya kupigwa vipapai nazidi kuona huku...
  2. Mkuu wa Mkoa Mbeya, Homera usiingilie sana masuala ya Walimu na Wanafunzi utawatia ukaidi zaidi wanafunzi

    Mh. Homera RC Mbeya: usiingilie sana mambo walimu na wanafunzi kwamba umejivika kuwa mtetezi wao hata kwa mambo ya kipumbavu na usichukulie mambo ya walimu na wanafunzi too emotional hasa haya ya kinidhamu unakosea sana. Nadhani umeaona mlivyo dhalilika kwenye swala la yule binti wa Dandahili...
  3. Natafuta mchumba (KE) Njombe

    Mimi kijana (ME) wa miaka 25, natafuta mchumba serious, awe na miaka 22-30 Nipo mkoa wa Njombe. Nimeajiriwa kipato 200k kwa mwezi. Shukrani.
  4. Mbunge Martha Mariki Achangia Milioni 29 Kuinua Uchumi wa Wanawake Mkoa wa Katavi

    MHE. MARTHA MARIKI ACHANGIA MILIONI 29 MAKUNDI YA AKINA MAMA MKOA WA KATAVI ILI KUJIKWAMUA KIUCHUMI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Festo Mariki ameendelea na ziara yake katika Kata mbalimbali za Mkoa wa Katavi huku akikabidhi Shilingi Milioni 29 za kuwawezesha wanawake...
  5. Mtwara: Wanaume walalamika kurukishwa kichurachura ili wapewe tendo la ndoa

    WANAUME WALALAMIKA KURUKISHWA KICHURA CHURA ILI WAPEWE TENDO LA NDOA Baadhi ya wanaume wamelalamikia kunyanyaswa na wake zao kwa kupewa unyumba kwa masharti ikiwemo kuwataka kuruka kichura-chura kuzunguka kitanda ili kupewa haki Yao hiyo. Hayo yameelezwa na Mwenyekiti wa Mtaa wa Namkuku...
  6. Mapendekezo: Tuuze mkoa wa Kagera

    Ndugu. Kutokana na kasi ya uwekezaji ni muhimu sasa tufikilie kuuza mkoa wa Kagera. Mnunuzi atanunua kwa makubaliano ya miaka 30, 50 au hata 90. Kulingana na kiwango cha fedha ako nacho. Kwanini mkoa wa kagera? Kwanza ni mkoa ambao unatamaniwa na mataifa mengi jirani hivyo upo katika soko...
  7. Mbunge Lucy Mayenga awawezesha Mama lishe majiko ya gesi Mkoa wa Shinyanga

    Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Lucy Thomas Mayenga ameendelea kuwafikia Wajasiriamali Mkoani Shinyanga ambapo leo ilikuwa zamu ya Mama Lishe Manispaa ya Shinyanga kupatiwa msaada wa Majiko ya Gesi 165 yenye thamani ya Shilingi Milioni 8.2 kwa ajili ya kuwarahisishia kazi katika...
  8. Bilioni 11.6 Kujenga Chuo cha TIA Mkoa wa Kigoma

    MBUNGE ASSA MAKANIKA AMESEMA SERIKALI IMEPELEKA SHILINGI BILIONI 11.6 KUJENGA CHUO CHA TIA MKOA WA KIGOMA Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini, Mhe. Assa Makanika ameendelea na ziara yake katika maeneo ya Kidahwe, Mungonya na Ziwani kufuatilia shughuli za maendeleo, kuonana na Makundi na...
  9. Mbunge Kainja ajikita kuwainua Wanawake kiuchumi mkoa wa Tabora

    MBUNGE KAINJA ATOA MILIONI 81 KWA WANAWAKE (UWT) KUWAWEZESHA KIUCHUMI KATIKA MKOA WA TABORA Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Tabora Mhe. Jacqueline Kainja Andrew ametoa fedha kiasi cha Shilingi Millioni 81 kwa Kata 206 za Mkoa wa Tabora yenye lengo la kuwawezesha wanawake wa Jumuiya ya...
  10. Sakata la Panda Hill: Mkuu wa Mkoa na RPC Mbeya mnapaswa kuachia nafasi zenu haraka

    Nchi ya maelekezo kila mahali, kuna siku mtaleta maafa makubwa sana nchi hii. Ndugu Watanzania, tukiwa katikati ya sakata la DPW, lilibuka sakata la mwanafunzi wa Panda hill school kupotea, kwa jina Ester. Sakata hili lilivuta hisia za wengi kiasi cha waziri mkuu kutoa tamko kuwa anawaagiza...
  11. Nasikia Mkoa wa Pwani unajiandaa kuanza Kutengeneza Simu

    Yaani Mkoa umeshindwa Kumaliza tatizo Kubwa la Umasikini, Ujinga na Maradhi bila kusahau Ushirikina ulioota Mizizi huko leo hii hii hao hao wanataka Kutengeneza Simu. Wewe RC Ababukary Kunenge bhana...!!
  12. Smartphones Kuanza Kutengenezwa Mkoa wa Pwani

    Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge amesema mkoa huo unajiandaa kuanza kutengeneza simu janja. Kunenge amesema hayo mjini Kibaha kwenye kikao maalumu cha Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Mjii Kibaha. Kikao hicho kilijadili hoja za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) za...
  13. Mwaza mkoa au jiji kubwa lakini watu wake hawabadiliki kwanini?

    Hi Mwanza ni jiji nzuri sana na lina muongiliano mkubwa wa watu kwa maana ya watu kutoka mikoa tofauti iko pale lakini watu wake bado wana ushamba sana licha ya kuwa na muingiliano mkubwa kwanini hawataki kubadilika? Pia mwaza biashara kila kona iz ndogo ndogo sijajua kama mwaza mzungu wa...
  14. Dkt. Slaa: Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ni 'mjinga fulani'

    Baada ya RC Chalamila kumtisha Dkt. Slaa kwa "kutoa maoni ya kupotosha" kuhusu bandari, Dkt. Slaa nae arudisha mawe... Dkt. Slaa kasema hajui hata jina la RC wa Dar lakini ni mjinga fulani, mtu wa ajabu ajabu, anayosema hayana kichwa wala mkia, hapaswi kuogopwa wala kututoa kwenye reli ya...
  15. Geita: Mkoa "tajiiri" usiokuwa tajiri

    Sipajui sana Geita, lakini napafahamu, alau kidogo. Habari zake zimevuma ndani na nje ya Tanzania, hasa kwa shughuli za "uvunaji" dhahabu! Hivi karibuni, nimesimuliwa kuwa baada ya Mzungu mmoja huko ughaibuni kukutana na dhahabu iliyodaiwa kuwa ilichimbwa na kampuni ya Geita Gold Mine (GGM)...
  16. Changamoto ipi unakumbana nayo katika mkoa wako au jamii yako na Serikali haijashughulikia?

    Hellow Africa 🌍 Tanzania kubwa lakini pia tuna viongo ambao tumewachagua kutoka kwenye jamii zetu kwa namna moja wanapatia na nyingine wanakosea. Je, kwako wewe katika eneo lake unalo is ishi au kwenu ulikozaliwa changamoto kubwa ni nini? Mimi kwangu ni barabara ni changamoto kubwa kutoka...
  17. SoC03 Ofisi za kazi mkoa tatueni kero hizi wanazopitia wafanyakazi wa viwandani

    Viwanda ni katika sekta zinazotoa ajira nyingi sana kwa wananchi, Sekta hii ni ya muhimu katika ukuaji wa uchumi , Nikiwa kama mdau ambaye nimefanya kazi viwandani nathibitisha hilo kuwa viwanda vinatoa ajira kwa watanzania wengi. Pamoja na umuhimu huo, Kwa muda ambao nimefanya kazi viwandani...
  18. Mkoa wa Mara ni moja ya mikoa ya iliyo nyuma kimaendeleo katika nchi hii

    Nimefika wilaya ya Tarime daah ni hovyo kwelikweli, stand ni mbaya. Hakuna daladala zaidi ya probox mnawekwa hata 10 hadi kwenye buti huko. Sehemu kubwa ya wilaya na mkoa ni pori tu, ikifika saa mbili watu wamelala mji hauna watu. Maji ni tatizo japo wamepakana na ziwa victoria. Watu wa huko...
  19. B

    Joining Instructions ya Form Five Sekondari ya Masonya, Ruvuma

    Ndugu zangu mwenye join instructions za kujiunga kidato cha tano shule ya sekondari MASONYA iliyopo RUVUMA anisaidie tafadhali. Nimetazama kwenye website ya wizara hakuna info yoyote. with much thanks in advance
  20. Wenye nongwa na madukuduku mmekaribishwa na mkuu wa mkoa, Dar es Salaam kujadili mkataba wa Bandari

    Nimeona chanel ten mkuu wetu wa mkoa wa Dar es Salaam amewakaribisha wale wote ambao wangependa kuelewa nini kipo ndani ya mkataba wa mwendeshaji wa bandari yetu, mtausoma, kipengele kwa kipengele, na pengine hata kopi atakupatieni mkalale nazo ili mjiridhishe. Nashukuru mama Samia kwa kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…