mkoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wananchi wa Kata ya Kitongo Sima, Wilayani Magu hatuna maji kwa wiki ya tatu, ila bili kila mwezi tunapewa

    Naomba kupaza sauti yangu kama mkazi wa Kata ya Kitongo Sima, Wilaya ya Magu, Mkoa wa Mwanza. Tumekaa takribani wiki tatu sasa bila kupata maji. Hali ni ngumu sana na wananchi tunateseka kwa kukosa huduma hii muhimu. Tunaomba Serikali kupitia Wizara ya Maji itusaidie kufuatilia na kukagua mradi...
  2. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TAESA Dodoma wanatoa nafasi za internship na fursa nyingine kwa upendeleo

    Ofisi ya TAESA Mkoa wa Dodoma, inatoa nafasi za internship na fursa nyingine za kazi kwa upendeleo wa kujuana, badala ya kuzingatia sifa na vigezo vinavyostahili. Aidha, baadhi ya wanaopata fursa hizo huwahudumia waombaji kwa dharau na kuwajibu kwa lugha isiyofaa. Tunaomba mamlaka husika...
  3. JamiiForums Tanzania Mikeka 100 yaibiwa ofisi za Bakwata mkoa wa Kigoma

    KIGOMA: Tukio la wizi limetokea usiku wa kuamkia leo katika ofisi za Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Mkoa wa Kigoma, ambapo mikeka 100 imeibwa ikiwa na thamani inayokadiriwa kufikia shilingi milioni 1.5. Mikeka hiyo ilitolewa na Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini, Mhe. Babalevo, kwa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania TBT: Karume alimwambia Nyerere yupo Tayari kuwa nchi moja na Tanganyika, Nyerere alikataa !! Nyerere ndie katufikisha hapa tulipo

    Kinachonisumbua zaidi ni namna anavyosimulia maamuzi hayo kana kwamba hatma ya Tanganyika ilikuwa jambo ambalo alikuwa na mamlaka binafsi ya kuliamua. Kana kwamba nchi ilikuwa mali yake kiasi kwamba angeweza kuamua mustakabali wake bila kuwashirikisha Watanganyika wenyewe. Tanganyika ilikuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali iufanye mji wa Mikumi kuwa mji mkuu wa mkoa wa Morogoro ili kukuza utalii mkoani humo.

    Mji wa Mikumi uko njiapanda ya maeneo mengi ya mkoa wa Morogoro pia uko katikati ya huo mkoa. Mji wa Mikumi umezungukwa na maeneo mengi ambayo ni vivutio vya utalii kama mbuga ya Mwalimu Nyerere, Mikumi, Ruaha na milima maarufu kwa mimea na viumbe pori kama ilivyo Arusha, pia ni mji uliofikiwa...
  6. JamiiForums Tanzania Jonathan Mabihya, Ateuliwa tena kuwa Katibu wa CCM Mkoa wa Singida , ila sio maadilifu kabisa

    https://www.jamiiforums.com/threads/inadaiwa-katibu-ccm-kilimanjaro-akwapua-mamilioni-ya-fedha-za-kina-mama-moshi.2065675/
  7. JamiiForums Tanzania Kwa Nini Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Hataki Maeneo Yote ya Wazi ya Moshi Manispaa Kupatiwa Hati za Umiliki?

    Kwa nini Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Mohammed Babu, hataki kuagiza maeneo yote ya wazi (Open Spaces) yaliyopo katika Manispaa ya Moshi kupatiwa Hati za Umiliki, ili kuweka utaratibu wa kisheria wa umiliki na matumizi ya maeneo hayo?
  8. W

    JamiiForums Tanzania KERO Hizi ni changamoto kubwa zinazohitaji uchunguzi katika Ofisi za Wizara ya Ardhi Mwanza

    Tunaomba mamlaka husika zifanye uchunguzi kuhusu changamoto zinazowakabili wananchi na watumishi katika Ofisi za Wizara ya Ardhi Mwanza, ili zipatiwe ufumbuzi wa kudumu. Changamoto ya vyoo vya matumizi ya pamoja Jengo hilo lina mlango mmoja wa kuingia kwenye eneo la vyoo, ambavyo vinahusisha...
  9. JamiiForums Tanzania Ofisi ya mkuu wa mkoa Ruvuma haina watalaamu wa kugundua UFISADI ....

    Habari wandugu. Harufu ya UFISADI. Kweli inasikitisha sana nchi hii hivi kweli ofisi ya mkuu wa mkoa imekosa watalaamu wa kugundua ufisadi uliofanyika . Badala yake mkuu wa mkoa anasimama anabariki kilichofanyika Kama jambo hili lingefanyika china hapo naamini wachina wangeanza na mkuu wa mkoa...
  10. JamiiForums Tanzania Hongera Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dodoma, ndugu Alhaj Adam Omari Kimbisa kwa kuzifanya wilaya zote za mkoa wa Dodoma kua ngome kuu za CCM Tanzania

    Kwa hakika unafanya kazi nzuri na kubwa sana kwa niaba ya Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Dodoma. Asante kwa kazi kubwa na nzuri unazofanya katika kuuheshimisha mkoa wa Dodoma na makao makuu ya nchi. Katika mkutano mkuu maalumu wa CCM taifa mwaka jana, wakati wa kuteu na kuthibitisha jina la...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wananchi wa Igoma, Mwanza, tunakabiliwa na changamoto ya usafiri wa daladala kwenda maeneo mbalimbali

    Sisi wananchi wa Igoma, Mwanza, tunakabiliwa na changamoto ya usafiri wa daladala kwenda maeneo mbalimbali, ikiwemo katikati ya jiji, Buhongwa, Airport na Ilemela. Kwa sasa, tunategemea daladala zinazotoka Kisesa au Kishili. Hata hivyo, zinapofika Igoma huwa tayari zimejaa, hali inayosababisha...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kamanda wa Polisi mkoa wa Singida afariki dunia

    Msiba mwingine jeshi la Polisi👇
  13. JamiiForums Tanzania Migogoro mingi ya ardhi inahusisha watu wa mkoa wa Kilimanjaro

    Wamama na watu wanaolalamika kubomolewa nyumba zao ukifuatilia aliyehusika kubomoa nyumba hizo ni mtu wa Kilimanjaro. Watu wa mkoa huo kukudhulumu eneo lako ni kitu cha kawaida sana. Fuatilia migogoro inayoibuka kwa kasi sasa hivi huko Madale, Goba, Mbweni, Bagamoyo, Kibaha
  14. H

    JamiiForums Tanzania Serikali imeelekeza zaidi ya Sh1.4 trilioni katika Mkoa wa Simiyu katika kipindi cha Serikali ya Awamu ya Sita, katika.. - Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba

    Serikali imeelekeza zaidi ya Sh 1.4 trilioni katika Mkoa wa Simiyu katika kipindi cha Serikali ya Awamu ya Sita, katika utekelezaji wa miradi ya umeme, barabara, maji, elimu na afya. 📍Itilima-Simiyu 🗓️Septemba 14, 2026 —————————— Amesema hayo wakati akizungumza na wananchi wa Itilima, mkoani...
  15. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa Chalamila, usipoe, bajaji na bodaboda waondoke katikati ya jiji na major highways.

    Kupanda bajaji na Bodaboda ni roho mkononi. Waendeshaji wa vipando hivyo hawaheshimu sheria wala watumiaji wengine wa barabara. Matokeo yake ni kama hiyo bajaji, lori na daladala "wamemfanyizia" bajaji,
  16. JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Samia Akiwaapisha Viongozi Wateule, Ikulu Ndogo Ya Tunguu, Zanzibar | 02 Septemba, 2026

    https://www.youtube.com/live/BdUex_A8m7A Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwaapisha Wakuu wa Mikoa na Katibu Tawala wa Mkoa, Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar Septemba 02, 2026.
  17. JamiiForums Tanzania Katibu wa Chadema Mkoa wa Mara amuasa Heche kukaa meza ya maridhiano ili Lissu atoke

    Katibu wa Chadema mkoa wa Mara anetoa wito huo akirejea mifano ya Nelson Mandela alivyoweza kukaa meza moja na makaburu na muafaka ukapatikana. My Take:Inaelekea kuna misimamo miwili kinzani ndani ya CDM juu ya hatua za kufanya katika utatuzi wa maswala muhimu ndani ya chama chao.
  18. JamiiForums Tanzania Mkoa wako upo?

    CCM hoyeee!
  19. JamiiForums Tanzania Jumanne Sagini awafunda viongozi na watendaji Dira 2050 Mkoa wa Songwe

    Imeelezwa kuwa namna ya kufikisha na kufanikisha Utekelezaji wa Dira 2050 ni kuwepo na uundaji wa Kamati za Usimamizi, Ufuatiliaji na Utekelezaji kwenye ngazi zote pamoja na mkakati mawasiliano utumiwe ipasavyo kufikisha ujumbe kwa viongozi na wananchi. Hayo yameelezwa na Jumanne Abdallah...
  20. JamiiForums Tanzania Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga: Tunamtafuta ndugu wa Mtoto ambaye Mama na Kaka yake walifariki katika ajali ya basi

    TAARIFA KWA UMMA Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga inawatafuta ndugu au jamaa wa mtoto huyu wa kiume anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 5, ambaye hajafahamika jina lake. Mtoto huyo alinusurika katika ajali ya barabarani iliyotokea tarehe 20 Juni 2026 eneo la Wendele, iliyohusisha gari la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…