mkoa wa mara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wana Mkoa wa Mara ( Musoma ) nimewamisi sana tokea mwaka 2009, ila Mungu akipenda 2024 hii nakuja Kuwa nanyi na Kutambika pia

    Haya Ndugu zangu wa Kizanaki ninaomba kuanzia sasa anzeni kuniandalia Kichuri, Pombe Jani na Totooz za maana. ONYO Ukijijua fika Wewe ni Mhaya kutoka Mkoa wa Kagera, Mrangi kutoka Wilayani Kondoa Mkoani Dodoma, Mnyaturu na Mnyiramba kutoka Mkoani Singida, Muha kutoka Mkoani Kigoma, Mkara...
  2. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa mkoa wa Mara naye asikiliza kero za wananchi kijijini Butiama

    Tumeamka asubuhi na makelele ya loudspeaker: "Mkuu wa mkoa wa Mara anafika Butiama leo, ndio mara yake ya kwanza kuja hapa toka alipoteuliwa na Dakta Samia, mama wa shoka............." Nasema "naye", maana yake kama Makonda. Alikuwa anasikiliza kero za wananchi: ugomvi wa viwanja, matatizo ya...
  3. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Mbunge Agnes Marwa akiwakilisha vyema Bungeni Mapema Aprili 24, 2024 kwenye kipindi cha Maswali na Majibu

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara Mhe. Agnes Marwa Akiwakilisha vyema Bungeni Mapema Aprili 24, 2024 kwenye kipindi cha Maswali na Majibu. Swali: Kwakuwa tatizo la maji linaathiri shule za bweni (boding) na haswa watoto wa kike ndio waathirika wakubwa. Je, Serikali ina mpango gani wa haraka...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Huu Mjengo wa Boniface Jacob ni kwa kuuza mayai? Mbona watu kibao wa mkoa wa Mara ni wakongwe tunasikia wana maisha ya kawaida?

    Siwezi kuliita kasri lakini itoshe kusema kijana angalau kajenga nyumba nzuri. Mayai naona ni zuga tu, watu kibao wa Mkoa wa Mara wanaoishi Dar wanapiga hii business ila wana maisha ya kawaida.
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Mara atembelea Mradi wa Kituo cha Polisi Butiama unaojengwa kwa Tsh. Milioni 802

    Nimesoma kupitia mitandao ya kijamii kuhusu mjadala wa kukamilika kwa kituo cha Polisi Butiama kwa thamani ya sh mil 802. Kwanza nawapongeza waandishi kwa kuibua hoja na mjadala, ingawa hoja na mjadala haukusikia wala kutaka kufahamu kutoka upande wa serikali. Kwa kuwa serikali yetu ni...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Kituo cha Polisi Wilaya ya Butiama chajengwa kwa Tsh. Milioni 802, kukamilika Desemba 2023

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na Mbunge wa Jimbo la Butiama, Jumanne Sagini ameagiza kukamilika kwa wakati Mradi wa Ujenzi wa Kituo cha Polisi Daraja B cha Wilaya ya Butiama Mkoani Mara, ifikapo mwezi Disemba 2023 kama ilivyoelekezwa. Maagizo hayo ameyatoa leo Novemba 18, 2023 wakati...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya Bilioni 1.4 yajenga Ofisi ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Sagini atoa neno

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi (Mb), Jumanne Sagini amefanya ziara ya kutembelea na kukagua Mradi wa Ujenzi wa Jengo la Ofisi ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara katika eneo la Manispaa ya Musoma wenye thamani ya shilingi Bilioni 1.4. Akizungumza baada ya kukagua wa Mradi huo, Sagini...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Waziri wa TAMISEMI fumua uongozi wote wa TARURA Mkoa wa Mara

    Wakandarasi karibu wote wa Mkoa wa Mara tumepata mateso makubwa kutokana na vitendo vya rushwa vinavyoendekezwa na Mameneja hawa. Kwanza kupata kazi lazima utoe millioni tano. Bila millioni tano hupati kazi. Pili, kama ukiwa umepata kazi lazima utoe asilimia 10 ya malipo yako kama rushwa...
  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Chege Cup Kuanza Kutimua Vumbi Mkoa wa Mara Desemba 2023

    CHEGE CUP NGAZI YA MKOA KUANZIA KUTIMUA VUMBI DESEMBA 2023 NDANI YA WILAYA YA RORYA MKOA WA MARA "Nimeamini tunaweza kutengeneza timu nzuri sana ya Wilaya ya Rorya na tukashindana kokote. Michezo ya leo siyo mwisho, lengo ni kukimbizana na Michezo ya Fainali ambayo tunaenda kuandaa Chege Cup...
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ujenzi Nyumba za Makatibu UWT Mkoa wa Mara Wapamba Moto

    MBUNGE AGENS MARWA ACHANGIA UJENZI NYUMBA YA KATIBU UWT MKOA WA MARA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Mhe. Agnes Marwa amekabidhi mifuko 10 ya Saruji katika ujenzi wa nyumba ya Katibu wa UWT Mkoa wa Mara ikiwa ni sehemu ya matofali 1000 pamoja na laki tano (500,000) zilizotumika kununua...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mzee Wassira unatuaibisha Mkoa wa Mara kwa Unafiki, Kutumika na Propaganda za Kipuuzi

    Mzee pumzika sasa, hili la DP World linakuabisha na kukuvua kabisa nguo kwa unavyolitetea hovyo.
  12. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Mara ni moja ya mikoa ya iliyo nyuma kimaendeleo katika nchi hii

    Nimefika wilaya ya Tarime daah ni hovyo kwelikweli, stand ni mbaya. Hakuna daladala zaidi ya probox mnawekwa hata 10 hadi kwenye buti huko. Sehemu kubwa ya wilaya na mkoa ni pori tu, ikifika saa mbili watu wamelala mji hauna watu. Maji ni tatizo japo wamepakana na ziwa victoria. Watu wa huko...
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Juliana Masaburi Ahoji Utekelezaji wa Mradi wa REA III Mkoa wa Mara

    Mbunge wa Viti Maalum Vijana Taifa, Mhe. Juliana Didas Masaburi katika kipindi cha Maswali na Majibu Bungeni Jijini Dodoma amehoji Wizara ya Nishati kuhusu utekelezaji wa Miradi ya REA III awamu ya Pili Katika Mkoa wa Mara Maswali yote yalijibiwa na Naibu Waziri Wizara ya Nishati Mhe. Wakili...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa Takwimu hii nikiwa natokea Mkoa wa Mara naikataa na nakata Rufaa

    Mikoa inayoongoza kwa Uvutaji Bangi nchini Tanzania ni hii ifuatayo..... 1. Arusha 2. Manyara 3. Iringa 4. Morogoro 5. Ruvuma 6. Mara Tangia lini Watu wa Manyara na Morogoro wakawa na Uthubutu wa Kuvuta Bangi / Bange? Takwimu hii ingekuwa kama ifuatayo si tu ningeamini bali ningefurahi mno...
  15. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Ukiolewa Kanda ya ziwa sahau kurudi kwenu

    Kwa wasio wenyeji wa kanda ya ziwa. Nimeona malalamiko mengi sana kina mama na kina dada wasio wenyeji wa mkoa wa Mara (na kanda ya ziwa ) wakilalamika sana kuhusu swala la kusahau kwao. Inasemekana kuna UCHAWI mzito sana wanafanyiwa ili kusahau nyumbani kabisa. Basi nawasogezeeni hili...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Agnes Marwa: Wananchi wa Mkoa wa Mara walipwe fidia ya ardhi yao

    MHE. AGNES MARWA AISHAURI WIZARA YA MADINI, WANANCHI WALIPWE FIDIA ZAO Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara Mhe. Agnes Marwa amechangia bajeti ya Wizara ya Madini kwa mwaka wa fedha 2023/2024 katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania huku akisisitiza sana wananchi wa Mkoa wa Mara walipwe...
  17. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Kipi hupelekea kabila la wamasai, mkoa wa mara na baadhi ya wachaga kuwa na ndevu chache

    Licha ya watu hawa wengi kubarikiwa urefu, miili yenye nguvu na ujasiri lakini kwenye suala la kuwa na ndevu kuna kipengere wapo wenye chache, wengine wanazo kwa mbali, wengine hawana kabisa. Hali hii huenda inatokea kwajili gani?
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Agnes Marwa alipongeza Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara

    Nguvu zilizotumika kulinda wanawake zielekezwe pia kwa watoto wa kiume Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara Agnes Marwa amelipongeza jeshi la polisi Mkoa wa Mara kwa kazi nzuri na ushirikiano mkubwa kwa jamii katika kutokomeza Ukatili wa kijinsia kwa Wanawake na watoto Mkoani Mara. Ameyasema...
  19. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa mkoa wa Mara walalamika kuingiliwa kimwili na washirikina

    Taharuki imetanda kwa wakazi wa kijiji cha Nyamuswa wilaya ya Bunda mkoani Mara, baada ya kuibuka kwa watu ambao wanawaingilia kimwili usiku wanawake na wanaume pamoja na watoto wakike kwa njia za kishirikina.
  20. Serengeti DC

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Mara kukagua na kupokea madarasa 58 Serengeti

    Mkuu wa mkoa wa Mara Meja Jenerali Suleiman Mzee ameanza Ziara ya kukagua na kupokea vyumba 58 vya Madarasa vikiwa na samani zake Katika shule 21 za sekondari zilizogharimu kiasi cha Billion 1.16 zilizotolewa na serikali ya awamu ya sita ,ziara hiyo itakayofanyika kwa muda wa siku Mbili...
Back
Top Bottom