mke

The MPT (stands for Turkish: Millî Piyade Tüfeği, English: National Infantry Rifle) is a modular rifle family designed by MKEK and produced by MKEK, Sarsılmaz Arms and Kalekalıp to meet the demands of the Turkish Armed Forces and to replace its aging rifles such as Heckler & Koch G3 and Heckler & Koch HK33 due to most of them being near the end of their service life. The MPT was designed for robust high altitude, all weather combat, capable of functioning in extreme hot and cold weather. The MKEK MPT is a rifle intended to take abuse and extreme mistreatment and still maintain high accuracy and reliability in order to survive in true battle environments. The Turkish government has invested US$22 million into the project.It made its first public appearance at the Eurosatory 2014, ADEX 2014 and the MSPO 2014 events.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    Mawifi inakuwaje? Kunakuwa na kutokuelewana na mke wa kaka yao

    Hili halina ubishi tabu inayopatikana ni ya nguo kuchanika, hawa wanaojulikana mawifi inakuwa mtihani katika ndoa japo na wao huwa ni mawifi, yaani inakuwa hapaeleweki, embu wadada tupeni elimu inakuwaje?
  2. N

    Mke wangu nimemleta jana ila mpaka saiv hajarudi nyumbani

    Ukiskia ndoa ndoano sasa nimeanza kuiona mke wangu huyu ni mpya kabisa ndoa haina mda, mimi ninafanyia kazi mkoa mwingime tofaut na tulipokua tunaishi sasa nilimtumia nauli aje huku jana tu ndio nimempokea stendi tena usiku sasa cha kushangaza leo nimetoka kazini sijamkuta mpaka sasaivi saa...
  3. Kwa bahati mbaya mke ameshika ujauzito tena

    I'm too weary, yaani tuna mtoto wa miezi karibia 9 sasa, ila mke wangu jana kapima ujauzito baada ya kuhisi uchovu, kwa masikitiko makubwa ni mjamzito. Nitaficha wapi sura yangu Mimi? Naheshimika mno inakuwaje wakijua mke wangu mjamzito tena? Yaani nionekane primitive Mimi? Nafikiria nimuambie...
  4. Kanali Mstaafu Meliti (78) afunga ndoa umri wa mke miaka 27

    Kanali Mstaafu Mika Metili, mwenye umri wa miaka 78 akiwa na mke wake mpya mwenye umri wa miaka 27 kwenye ndoa Yao iliyofungwa katika kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) usharika wa ILBORU Tofauti ya umri wao ni miaka 51. Nini maoni yako?!
  5. Mume ukifikia hatua ya kusema "sitaki kupigizana kelele na Mke” basi wewe sio kichwa cha familia tena

    Kumekuwa na wimbi kubwa sana la waume wasiopenda kilele za wake zao siku hizi. Naomba kuwauliza ni lini wanaume walipenda kelele za wake zao? Kwa kawaida hakuna mwanaume anaependa kuongea sana. Ukiona mwanaume anaongea sana basi ujue ana kasoro. Mwanaume wa kweli maneno kidogo vitendo kwa...
  6. Natafuta mke!

    Mimi ni kijana, nina miaka 37 kwa sasa, niliwahi kua na girlfriend tu,tukapata mtoto mmoja, tokana na changamoto za hapa na pale, tuliachana na kila mtu akawa na maisha yake, mtoto wangu kwa sasa yuko form 1. Kazi yangu nimeajiriliwa serikalini, kwenye moja ya taasisi zake za vyombo vya Ulinzi...
  7. Aliyeua Mke apatikana Muleba alikokwenda kujificha, akutwa katika harakati za kujiua

    Wana JF Habari za kuaminika kutoka Muleba ni kwamba, mme wa Irene Mzava amepatikana akiwa hoi katika jaribio la kutaka kujua jana kwa rafiki yake ambaye alienda kujificha lakini ikashindikana baada ya watu kutoa taarifa kuwepo kwake eneo hilo. Aliona wakinyatia, akafunga milango, akatafuta...
  8. Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi na mke wake Isaura Nyusi wamekutwa na virusi vya corona

    Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi na mke wake Isaura Nyusi wamekutwa na virusi vya corona na wamejitenga kwa sasa. Kwa mujibu wa taarifa kutoka ofisi ya rais Bw. Nyusi na mke wake wameamua kujitenga kwa kuzingatia muongozo wa afya baada ya kupatikana na virusi , ijapokuwa hawakuonesha dalili...
  9. K

    Mke wangu ananinyima unyumba, haniheshimu na anatoa siri zetu za ndani kwa nduguze

    Wasalamu wakuu. Ni hivi, huyu binti kanichosha. Tukiwa kitandani usiku ana vitimbi sio poa. Nikimgusa au kumtomasa ananitolea kauli za ajabu. Mara utasikia “wewe hebu niache”, mara “mambo gani hayo mi sitaki”. Wakati mwingine nikimshika anaukamata Mkono wangu na kuurusha kutoka kwenye...
  10. Unapokuwa na Mpenzi, Mume au Mke wa mtu hakikisha unakuwa na code(viashiria) vya mawasiliano ili kujua ni yeye unayewasiliana nae kwa wakati huo

    Mwaka ndio bado mmbichi kabisa naamini uko salama salimini. Ni ukweli kwamba mtu kuoa au kuolewa haimaniishi kwamba ndio amefungiwa kabisa kupenda na kupendwa na mwingine ila kinachofanyika huwa heshima ya kiapo tu. lakini pamoja na kiapo bado hisia na tamaa au mazingira huwa yanalazimisha...
  11. Jamaa amemkumbatia mke wa Mjeda na kumbusu, kuja kutahamaki kumbe Mwenye Mke alikuwa pembeni ya fensi na panga lake akifyeka miti!

    Wakuu habari za Leo! This is true story. Imetokea hivi karibuni hapa jijini Dar, Kuna jirani yangu amenisimulia nimshauri afanyaje maana, hivi karibuni akiwa anaingia kupata Moja moto moja baridi kwenye glossary ya jirani yetu mwingine ambaye ni Mjeda na amemfungulia glossary mke wake hapohapo...
  12. Mume auawa na mke Kisa wivu wa kimapemzi

    Heri ya mwaka mpya in advance.. Wanaojua kupenda wamefanyana yao huku. Kama huwezi kuvumilia usaliti acha kuoa au kuolewa.Yaani niende kufia jela Kisa mtu katoa mbunye yake? Will never happen. Wanaume muwe mnaangalia wake mnaooa ukiona ana viashiria vya ushari achana nae mapema maana utakuja...
  13. Mke amuua mume kisa wivu wa kimapenzi

    Mwalimu wa Sekondari ya New Kiomboi mkoani Singida, Simon Roman (33) amefariki dunia baada ya kuchomwa moto na mkewe sababu ikitajwa kuwa ni wivu wa mapenzi. Tukio hilo lilitokea Desemba 27, 2021 jioni baada ya mume kurudi kutoka matembezi huku mkewe akitaka kujua kuhusu uhusiano wa mumewe na...
  14. Ndoa za sasa zimejaa unafiki mkubwa sana, jana mke wa mtu kanitumia picha ya matiti yake hadi nimechoka mwenyewe

    Hivi vile viapo wanavyoapa makanisani/misikitini huwa wanaviishi kweli? Ni mke wa afisa mmoja wa ngazi ya juu huko serikalini, sasa jana wakati nawasiliana nae nikamtania na hamu ya kunyonya maziwa akanitumia emoji ya kucheka. Eeh! Sijakaa sawa nikatumiwa picha za maziwa na alivyo mweupe...
  15. Ni sahihi kumkamata ugoni dada yako?

    Hivi dada yako ukimfumania ugoni na jamaa mwingine tofauti na mume wake unaweza kumkamata ugoni? Naomba mnisaidie ushauri wa haraka ili nijue cha kufanya.
  16. Mahakama yaitupilia mbali kesi ya Mchungaji Mwingira

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeitupilia mbali kesi ya madai iliyofunguliwa na Dk William Morris, raia wa Marekani dhidi ya mkewe Dk Phills Nyimbi na Mchungaji Josephat Mwingira. Akisoma hukumu hiyo leo Februari 26, 2018, Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba amesema Dk Morris katika kesi hiyo...
  17. Wanawake mjitahidi sana pale mnapotofoutiana na wanaume zenu huko kwenye ndoa msikutane na sisi wanaume

    Hii kitu ni mbaya sana kwa wanawake, kwa ufupi nimegundua ndoa nyingi zina mifarakano mikubwa na wenza wengi wanaishi ili siku zisonge tu. Hisia na kujaliana kwa wenza wengi hakupo tena, wanaume wengi pia hawajali kuhusu kujua ratiba za wake zao zipo vipi. Mwisho kabisa niwaase wana ndoa kama...
  18. Mke wangu nampenda ila nashindwa kujizuia nionapo warembo

    Ndugu zangu habiri nyingi sana hamjambo? Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu. Kiukweli nampenda MKE WANGU sana ila wakati mwingine shetani anapitaga tu na pisi kali kinoma basi najisemea kimoyomoyo ujue mimi nimeoa afu afu toto kama hili linakatiza basi najisahaulisha naanza kutia...
  19. Je, ni sahihi mke kutumia majina haya kwa mwanaume mwingine mbele ya mume wake?

    Hapa nimekaa sebuleni nasoma nyuzi kadha wa kadha huku Jamii Forums Simu ya Mke wangu Iko pembeni. Mara ikaita akiwa nje, nikaona namba haijaseviwa nikauchuna Hadi ikakatika. Ikaita Tena safari hii Mke wangu akaingia ndani akaisikia na kupokea "Niambie Boss Wangu"! Kisha nikafahamu Anayeongea...
  20. Niliishi na mwanamke kwa miaka 2 bila kujua ni mke wa mtu

    Moderator please DELETE huu Uzi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…